ntmgenesis
Senior Member
- Apr 22, 2010
- 167
- 30
Mkuu, naona unajua sana hii habari ya Sesame. Nahitaji kwa ajili ya kununua/jamaa fulani hapa kwetu wanahitaji.
Soma ujumbe hapo juu na niandikie kama una habari za wapi unauzwa: Ssambali@hotmail.com. Huenda nikapata soko.
Aiseeeh ujumbe wako sijauelewa ila kuhusu muda wa kununua ufuta kwa hapa TZ uwa ni kuanzia May mapa August kila mwaka muda huu ukipita uwa si lahisi kupata ufuta maana wengi ulima kipindi cha masika yaani February to May hapo nitakutafuta maana ufuta uwa unakuwepo mwingi sana; kwa sasa labda walio hifazi subili niongee na jamaa zangu wa uko lkn ujanipatia bei unanunua kwa bei gani?