Online Brigade
Member
- Jun 26, 2012
- 39
- 10
Kabla ya yote ingefaa usearch nyuzi zote zinazohusiana na kilimo cha mitiki upandaji,matunzo,uthamani wake na soko lake limekaaje. Vyote hivyo vimo humu na vishaongelewa sana ndugu!
Kisha mimi ntakusaidia kupata mbegu zake iwe kwa punje(uoteshe kitaru chako mwenyewe) ama mche(upande moja kwa moja miche iliyokwisha andaliwa)
Kwa kukuondoa tongotongo tu ni kwamba wazo ulilofikiria ni hatuamoja mhimu na adhimu ya kuupiga teke umasikini na kusonga mbele zaidi.
Nakushauri usirudi nyuma mkuu mimi nipo kwenye mchakato wa kuvuta kitu kama M300 mkopo kutokana na mitiki. Je, unahisi kuna uwezekano wa kuwa masikini tena?!
Nawasikitikia sana vijana wenzangu kuendelea kutumikishwa na mkoloni na vilio visivyoisha juu ya mtaji wamesahau kuwa Bongoland full tambarareeeee!
mitiki yako ina miaka mingapi?
mkopo wa m300 ni kwa mitiki mingapi?
ni aina gani ya mkopo?