Narubongo
JF-Expert Member
- Nov 3, 2010
- 2,768
- 2,750
opportunity is every where is just a matter of oppening ur eyes, kiongozi usikate tamaa sisi tuliopo pwani tunanufaika na soko kuwa karibu so this is our competitive advantage ukilinganisha na wewe ila kuna maeneo wewe ni mzuri zaidi kuliko sisi and this we call comparative advantage na ndizo hizo unatakiwa kuzijua na kuwekeza katika maeneo hayo.
Mathalani hali ya hewa ya pwani una support kilimo cha mboga mboga na matunda ambayo ni perishable sasa kuna mazao mengine kama vannila hayakubali kabisa huku pwani ila maeno kama Bukoba na manyovu kigoma ndio mahara pake na bei yake the last 2 yrs ilikuwa 1o,ooo/= kwa kilo sasa pamoja na kuporomoka kwa thamani ya sarafu yetu nadhani sasa inawezekana ikawa may be 15,ooo/= kwa kilo sasa pamoja na maeneo mengine mengi hili ni moja ya eneo ambalo wewe hatuwezi kupambana nawe kwa sababu wewe ni mzuri zaidi and we cant do any thing to beat you, take your advantage and explore the opportunity!
Mkuu hiki kilimo cha vanilla nilikuwa nakifikiria sana, tatizo ni muda na source of info jinsi ya kuanza, ardhi, hali ya hewa, gharama za kilimo, na bei ya zao sokoni. Nashukuru sana kuona mchango wako, umenipa mwanga kiasi.
SWALI: Naomba unisaidie mbali na kigoma, bk (ulimaanisha bukoba?), maeneo ya kanda ya ziwa zao linakubali? mfano sengerema, geita? maana hapo ktk maeneo uliyoweka yote ni sehemu ya ziwa. Pia naomba unieleweshe ya hapo juu jinsi ya kuanza, ardhi, hali ya hewa, gharama za kilimo
Kilimo kwanza