Tangantika
JF-Expert Member
- Aug 12, 2018
- 4,941
- 6,199
Si wataalamu wanadai hizo papai zinadumu zaidi ya wiki sio kama ya kienyeji.Bado hujanishawishi kuhusu soko la papai, papai iliyokomaa ikishachumwa inakaa si zaidi ya siku 3 ama 4 inakuwa ishaiva kabisa hasa kwa joto let say la hapa Dar.
Sasa kama umevuna papai 10,000 kwa siku na unategemea local market - lazima yakuozee sokoni...
Soko ni changamoto haikwepeki.