Kuna mbegu nyingi zilizofanyiwa utafiti duniani kama F1 Hybrid Taiwan Princess mbegu hii sio genetic kwahiyo inaweza kulimwa nchini na ni nzuri kwasababu shelf time yake ni kubwa kulinganisha na papai zetu za kienyeji na zinaweza kuuuzika nje ya nchi (Ideal for export)
nitaanza kilimo 1 uko naona akuna stress sana
Hizi mbegu za F1 Hybrid Taiwan Princess zinapatikana wapi mkuu? vp zinakubali katika mazingira ya pwani? Dar?
Mkuu kilimo kinalipa sana ila kinahitaji uvumilivu, mimi naweka mambo sawa nikimaliza najikita kwenye kilomo maana huko watu wa kodi hawasumbui na mazao (unprocessed) hayana kodi.
Kweli mkuu TRA hawakuvamii kabisa
Hivi hicho kilimo kinalipa kweli?
Kilimo cha mapapai ni kizuri sana, make utomvu wake pekee huwa unatafutwa sana, na kuna watu wanalima kwa sababu ya utomvu, ingawa hata tunda lake ni zuri sana na kwa wanao fuga kuku majani ya mipapai ni mazuri sana kwa kuku make ni dawa, na kuna artical nilisoma kwa west aftica wanatumia mbegu za papai kutibu Newcastle ua mdondo. Nikiipata nitaiweka hapa
]Mkuu utomvu unatumiwa kwa nini?
Poowaa!! Inabidi ufanye kama ka utafiti hivi! Unaweka vipimo tofauti tofauti hadi kieleweke! Inawezekana kabisa.ntaanza kuifanyia kazi home niijaribu then ikiwork intaifanya kibiashara zaidi, thanks for info.
Hizi mbegu zinapatikana India na Philippines inabidi uombe kibali kuziingiza. Papai ni tropical fruit na maeneo uliyoyasema yanatimiza vigezo vya kulima zao tajwa.
Hivi papai hadi linapovunwa muda gani?