Kilimanjaro Stars wana mechi na Zanzibar Herroes, kwanini Kilimajaro Stars wanatumia bendera ya Tanzania?

Wadau wenye uelewa, mnaweza kufafanua? Kilimanjaro Stars hawana bendera yao? Naona Zanzibar Herroes wana bender yao
Zanzibar ni autonomous government within Tanzania na haina kiti Umoja wa Mataifa. Kwa hiyo Kilimanjaro Stars inastahili kutumia bendera ya Tanzania. Sawa na England icheze versus Gibraltar
 
Tanzania tuna muungano wa changu changu, chako changu. Ifikie wakati Wazanzibari wajitegemee sasa kama nchi kwa 100%.

Maana wana wimbo wao wa Taifa, wana Rais wao, wana Bunge lao, wana mipaka yao, wana vyombo vya dola, nk! Sasa kuna sababu gani ya wao kuendelea kuwa kupe wa Tanganyika?
 
kama Muungano Unakuuma Jinyee
 
Back
Top Bottom