Kilimanjaro International Airport -KIA (JRO) hali yake ni TETE, haieleweki.
Waziri wa Mali Asili na Utalii aulizwe ni sababu zipi watalii wengi wanaokuja Tanzania wanatua NAirobi Jomo Kenyatta Airport na ndipo waje Tanzania? Je Wizara itachukuwa hatua gani ili Landing fee ya KIA ishuke bei na mafuta ya ndege hapo KIA yashuke Bei ili ndege nyingi zitue KIA Tanzania kuliko Kenya.
Ajira zitaongezeka, watalii wataongezeka, na serikali itakusanya kodi nyingi. Pia Ni aina ya marketing,