kilichopelekea maandamano tunisia ni kijana kujiwasha moto

zamlock

JF-Expert Member
Dec 25, 2010
3,840
657
nimesikiliza habari jioni hii bbc kumbe maandamano yalisababishwa na kijana mmoja ambaye askali jiji walimkamata akiwa anauza matunda mitaani na alipofuatilia na kutaka kupewa mzigo wake ndipo walipo mwambia awezi kuonana na gavana na biashara yake hiyo ya matunda awezi kupewa ndipo kijana alipojiona ana haki kwenye nchi yake na ukizingatia maisha magumu ajira akuna kijana wa watu akachukua jukumu la kwenda kununua petrol na kujimwagia na kujiwasha mwili mzima ndipo hasiraa zilipowajaa wananchi na wakaamua kufanya kweli ya kumuondoa raisi wao madarakani kwwa njia nzuri ya maandamano.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom