Kilichojiri uchukuaji wa fomu ya mgombea Urais kupitia UKAWA-Lowassa

kwa hiyo mkuu unatuhakikishia kuwa ofisi yenu yoote watu woote oktoba 25 watapigia ukawa?? Kama ni hivyo basi ni vema na haki, hamasisheni na zile ofisi za majirani zenu (stakeholders) na familia zenu zooote wapigie ukawa ili tuanze upya kuijenga nchi yetu.... Safi sanaaaa.. Mungu awape afya njema tufike oktoba....

aisee hapa hilo halina pingamizi,tena bosi alitupa likizo ili tukajiandikishe bvr kwa hiyo kila mtu ana kikato
 
Mpaka 25.10.2015 lazima kutakuwa na heshima.JK hana haja ya kupoteza pesa zetu za Kodi kuzungunga na Magufuli.
Badala yake atulie kumsubiri swahiba Magogoni kumkabidhi Ofisi.

Hatukukutana Barabarani .
 
Hii ni kali kama kweli watu hawajapewa 10, 10 ili waunge msafara! Huyu jamaa ni tishio ila nawapongeza kwa kuimalisha ulinzi. Nimeona kwenye picha mpaka wale jamaa wa china na mikanda mweusi tiii!

Wazee wa kung fu.
 

Attachments

  • 1439209459001.jpg
    1439209459001.jpg
    51.5 KB · Views: 247
  • 1439209499471.jpg
    1439209499471.jpg
    76.9 KB · Views: 703
Mimi niko mikoani lakini nimeangalia picha inayo onyesha imepigwa tokea juu labda kwa helkopter.Mbona kama kalibeba jiji zima?Lakini naona mods wanazitoa nyuzi hizo au wanaziunganisha hadi kupotea.Tunaomba mods mtusadie nasisi wa mikoani tuone japo kidogo jamani huyu mmasai anavyo taka kuchukua nchi

Hahahaaaaa,nijisikia furaha Sana kuona CCM ina collapse
 
Hili liko wazi kabisa, watu wengi watapoteza muda mwingi kumshangilia Lowasa lakini wengi wao hawatampigia kura. Watu hawa ni wale ambao wanamshangilia kwasababu tofauti kabisa na zile watu wanazozifikiria. Watu wengi wanamshangaa Lowasa kwa sababu hizi lakini hawana mapenzi yoyote naye-
(a) Wanashangaa kumuona Makapia aliyekatwa na CCM-wengi hawajamuona tangia kipindi kile (b) Wanashangaa kumuona jinsi asivokuwa na afya njema lakini bado anahangaika na Urais. (c) Wanashangaa kumuona mtu aliyepwa majina lukuki mashafu na watu hao hao waliomweka front (d) Wanashangaa kumuona Lowasa akivaa gwanda.
(e) Wanataka kula hela zake kwani wamesikia anatoa elfu tano tano kwa boda boda. (f) Wanashangaa mtu aliyesema Kikwete hakukutana naye barabarani, lakini Kikwete huyo huyo akamtosa (g) Wanashangaa kumuona mtu anayetoa sababu tofauti tofauti kila anapoulizwa kuhusu Richmond. (h) Wanashanga kumuona mtu aliyekuwa anasema ‘WATATUWEZA’ halafu CCM wakakata kichwa. (i) Wanashaangaa kumuona mwanaume aliyewaweka kumfukoni MBOE na MTEI (j) Wanashangaa kumuona kibabu kitavyopigika punde atakaposhindwa uchaguzi. (k) Ongeza na za kwao (l) …… (m) ….. (n) …… (o) ……
 
Hili liko wazi kabisa, watu wengi watapoteza muda mwingi kumshangilia Lowasa lakini wengi wao hawatampigia kura. Watu hawa ni wale ambao wanamshangilia kwasababu tofauti kabisa na zile watu wanazozifikiria. Watu wengi wanamshangaa Lowasa kwa sababu hizi lakini hawana mapenzi yoyote naye-
(a) Wanashangaa kumuona Makapia aliyekatwa na CCM-wengi hawajamuona tangia kipindi kile (b) Wanashangaa kumuona jinsi asivokuwa na afya njema lakini bado anahangaika na Urais. (c) Wanashangaa kumuona mtu aliyepwa majina lukuki mashafu na watu hao hao waliomweka front (d) Wanashangaa kumuona Lowasa akivaa gwanda. (e) Wanataka kula hela zake kwani wamesikia anatoa elfu tano tano kwa boda boda. (f) Wanashangaa mtu aliyesema Kikwete hakukutana naye barabarani, lakini Kikwete huyo huyo akamtosa (g) Wanashangaa kumuona mtu anayetoa sababu tofauti tofauti kila anapoulizwa kuhusu Richmond. (h) Wanashanga kumuona mtu aliyekuwa anasema ‘WATATUWEZA’ halafu CCM wakakata kichwa. (i) Wanashaangaa kumuona mwanaume aliyewaweka kumfukoni MBOE na MTEI (j) Wanashangaa kumuona kibabu kitavyopigika punde atakaposhindwa uchaguzi. (k) Ongeza na za kwao
(l) …… (m) ….. (n) …… (o) ……
 
Back
Top Bottom