TUMBIRI
JF-Expert Member
- May 7, 2011
- 1,933
- 1,199
Nilipenda sana niwe mchumi, ila du Dr. Karamagi alinifanya nikimbie!
Yule Mwalimu ni mbaya sana. Alinitesa sana nikiwa 2nd year!
Nilipenda sana niwe mchumi, ila du Dr. Karamagi alinifanya nikimbie!
Habari ndiyo hiyo wakuu.
Jambo lingine ni kwa serikali kupitia benki kuu kuwauzia dola moja kwa moja waagizaji wakubwa wa mafuta kupitia benki zao .
Naikubali hoja mia kwa mia
Hili lilichangia sana, maana kila importer mmoja anapotafuta favourable exchange rate kwenye maduka mawili matatu kwa ajili ya kununua labda $200,000, alikuwa ana send false alarm kuwa kuna demand ya $600,000 sokoni, na hivyo kuathiri bei ya kuuzia dola wakati huo...na hata ikitokea amepata, dola haishuki kwa kuwa kuna wengine wanaendeleza circle hii.
Kingine ni lazima to boost exports zetu, otherwise hii haitakuwa strong basis ya kuhold stability ya shilingi yetu.
Si bureDa. Sisi tunaolipwa mshahara kwa dolllar hii habari si njema kabisa. Huyo atakuwa dr mwamba kaja na mikakati hiyo. Ee mola haribu mipango hiyo ili shillingi iendelee kuporomoka T
Kwa mara ya kwanza katika historia ya Tz Tsh. 1850 ilinunua 1 USD, hii ilikuwa mwaka jana tu! Lakini wiki hii Tsh 1598 imenunua 1 USD. Kwa haraka ninaona kwamba Tsh imepata awheni haraka kuliko ilivyotarajiwa na wengi.
Nimepata taarifa zisizo rasmi (heresay) kwamba mabadiriko haya ya haraka yametokana na utafiti uliofanywa na BOT uliogundua kwamba mfumo wa malipo ya import ya mafuta uliokuwepo ndio umechangia kwa kiasi kikubwa. Mfumo uliokuwepo awali ulikuwa ni kwa Commercial banks kutumika kulipia imports za mafuta nao walikuwa waki hike rates ili kujipatia faida kubwa.
Lakini sasa malipo yote yanafanywa kupitia BOT hivyo hakuna tena nafasi ya kufisadi. Inasemakana kwamba tangu kubalishwa kwa mfumo ndio TSH imeendele kufanya vizuri.
Wanaoujua ukweli wa jambo hili bonyezeni botton.
Mambo makubwa matatu yaliyochangia shilingi ya Tanzania kupanda thamani ikilinganishwa na dollar ya Marekani ni benki kuu kuingilia soko na:
1. Kupandisha "Base lending Rate"- Nadhani kwa 100 basis points
2. Kupunguza "Forex Net Open Position" kwa mabenki kutoka 20% mpaka 10%
3. Kuongeza "Statutory Minimum Reserve" kwenye deposits za serikali kutoka 15% to 30%.
Hizi measures zote kwa ujumla zikiwa na lengo la kupunguza fedha nyingi zilizo kwenye mzunguko kwa ajili ya ku-control "inflation" na kupungua kwa shilingi katika mzunguko kumesababisha watu wauze sana dola walizonazo ili kupata shilingi.
Jambo lingine ni kwa serikali kupitia benki kuu kuwauzia dola moja kwa moja waagizaji wakubwa wa mafuta kupitia benki zao .
kwa sisi tuliohifadhi dola hii sio taarifa njema!
ila kwa sasa mlio hifadhi dola nadhani ni furaha kwenu kwa shilingi ya tz kushuka thamani