Hili li-article lako hakuna atakayelisoma. Umeliandika ovyo sana. Weka aya, na maandishi makubwa zaidi kidogo.
.Jibuni hoja nyiye Wagalatia msiokuwa na akili. Badala ya kama huyu farasi/twigammmmmmmmmmhhhhhh......................
Tanzania ni mfano mzuri. Pamoja na jitihada kubwa sana zinazoendelea usiku na mchana za kumtukuza Mwal. Julius Kambarage Nyerere, Nyerere alikuwa ni mmoja wa viongozi hao. Mwandishi Jan P van Bergen katika kitabu chake Development and religion in Tanzania, amefichua taarifa za kikao cha siri Ikulu ya Dar es Salaam mnamo Agosti 3, 1970 kati ya Rais Julius Nyerere, Padri Robert Rweyemamu na muwakilishi wa Papa, Giovanni Cerrano. Kwa mujibu wa van Bergen, katika kikao hicho Nyerere aliwaeleza viongozi wake wa dini kuwa ameunda idara ya elimu ya siasa katika TANU na amemuweka Padri aiongoze kwa sababu ya imani yake madhubuti. Aliwaeleza pia kuwa katika Kamati kuu ya chama ameweka Mapadri lengo likiwa kulipa Kanisa fursa na uwezo mkubwa hapa Tanzania.
Hili li-article lako hakuna atakayelisoma. Umeliandika ovyo sana. Weka aya, na maandishi makubwa zaidi kidogo.
Hili li-article lako hakuna atakayelisoma. Umeliandika ovyo sana. Weka aya, na maandishi makubwa zaidi kidogo.
Kwa kifupi kitabu hiki kilikuwa kinawazungumzia wafanyakazi wa Uingereza ambao hali zao za kimaisha zilikuwa duni sana. Kilikuwa kinawaashangaa ni kiasi gani walikuwa HAWAJIONEI au KUWAONEA HURUMA WATOTO WAO kwa kuleta mabadiliko ya kisiasa, ukizingatia kuwa uwezo wa kufanya hivyo walikuwa nao kupitia kura zao.Kwa mfano, pamoja na kwamba kule nchini Uingereza hali ya wafanyakazi wengi ilikuwa ni duni sana, jitihada za chama chao cha Labor kushika madaraka ya dola ili kuboresha hali zao za maisha zilikuwa zinakwamishwa na wafanyakazi wenyewe! Makada wa Labor walikuwa wakitukanwa, kubezwa na hata wakati mwingine kupigwa. Hali kwa makada wa Labor waliokuwa wanaendesha 'Operesheni Zinduka' hiyo iliendelea kuwa mbaya hadi mwaka 1914 pale kitabu cha hadithi cha mwandishi Robert Tressel, kinachoitwa 'The Ragged Trousered Philanthropists', yaani, 'Wasamaria wema waliovaa viraka', kwa tafsri isiyo rasmi, kilipochapishwa.
na huu ndio ukweli wenyewe na haupingiki.HAKUNA VITA VYA MSALABA TANZANIA KUNA VITA KATI YA WAILO NA MTIZAMO KIMAMBOLEO NA MTIZAMO WA KALE, WATU WANAOTAKA MABADILIKO YA DHATI NA WAHAFIDHINA YAANI WASIPENDA MABADILIKO.