Kila siku wewe tu ndo kikwazo jamaniiiiiiiiiii

jamani unakasirika nini nani hajui huku kama umeshaoa mara 4 pitapita humu ndani utapata majibu ka sikuwezi unataka kumwibia nani hapa

Hujaniona nikikasirika bado, na wala usiombee.

Na kama huko kuoa mshenga ulikuwa wewe sawa, lakini kama unakwenda kwa porojo za JF angalia kuparamia habari za wanaume, utaolewa wewe bila mshenga wala mahari.
 
hujaniona nikikasirika bado, na wala usiombee.

Na kama huko kuoa mshenga ulikuwa wewe sawa, lakini kama unakwenda kwa porojo za jf angalia kuparamia habari za wanaume, utaolewa wewe bila mshenga wala mahari.

shemeji naona hujapona kale kaugonjwa ukishameza dawa njo tukumbushane nitakuja kwa jina lile unalolijua mbona utaona aibu lo
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom