Kila nikimwona Binti kavaa nguo za kutega Jamaa Anasimama!!

Hiyo ya revola ni hatari zaidi maana itafika wakati hata ukiangalia kiganja chako nyege inakupanda!!!!!!
 
Daaaaaaaah hako kashakuwa kaugonjwa kangu ka siku nyingi, ila si mchezo kanasumbua na ukichukuliwa wife yuko far away basi balaaa, hua natumia muda mwingi sana kwa ofisi so nikitoka na kuwaona mfano hawa wasuaso hapo chuo daah inakuwa hivyo, kinachosaidia nakua kwenye gari so inakuwa very short kisha napita, na nikifika home full TV sina pa kwenda labda kwa tizi jioni,najisikia ulijali kuliko km kitu ingekuwa doroooo si ningewaona wamasai.Nakushauri uvae skin tight sile za kiume angalau zitazia mkulu kufutuka sana, ila hizi za kawaida utauza mechi kaka.
 
Uwe unampiga makonzi kabla hujatoka nyumbani.
Mwenyewe utaona atakavyotulia ndani ya boxer.
 
pole
nikawaida ..urijari uo bt jaribu kuwa na demu wako...au km unaye uwe unamalizana nae mzigo kamili siyo mnapena nusu nusu ukitoka nje ukiona paja kitu inastand up....PUNGUZA KUWAZA NGONO...wewe ukiona mapaja tu akili yako unaiamisha unaipeleka kuleeeeeee...jaribu kujicontrolll...POLE

Mi nikisomaga komenti zako tu huwa nashikwa na hamu...
Hivi nifanyeje jamani?
 
Eng .

Wako binadamu wenye tabia kama "fisi maji" so sio ugonjwa ni "uhlka"!

Pili unaweza kununua REVOLA za kutosha ili ikifika jioni unatumia muda mwingi bafuni!

Tatu, acha ubahili, siku hizi pesa inaweza kukata "kiu" ya kitu chochote unachohitaji!
Unaakili
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom