Utotole
JF-Expert Member
- Oct 28, 2010
- 6,604
- 4,259
Amesema jamaa yake hataki...ni mwiko kwao kufanya hivyo, plus...anapata raha zaidi na sweta hilo kwa hiyo hana mpango wa kukata huo 'mkono wa sweta'.Si amshauri aende akatahiri tu simple, shilling 20 elfu. Na hiki ni kipindi kizuri sana
Dada anatakiwa 'kusuka au kunyoa', simple!!!