Kila nikimnyonya naishia kutapika, kumuacha siwezi sijui nifanyeje!

ndyoko

JF-Expert Member
Nov 2, 2010
4,971
1,650
Ama kweli mapenzi yana raha na karaha yake. Ila hii ya huyu dada ni kali kwa kweli.

Kama ilivyo kawaida ya wadada walioshibana wawapo zaidi ya wawili, hawakosi kuongelea mambo yao ya ndani ya malovee. malalamiko ya shosti huyu ni juu ya mpenzi wake wa kiume ambaye amedumu naye kwa miezi sita hadi nautundika huu uzi.

Kimsingi dada wa watu analalamika kuwa bf wake ambaye hajaenda suna anapenda sana kunyonywa 'mkono wake wa sweta' na kwa kuwa binti wa watu amempenda amekuwa akimtimizia hiyo haja yake. Ila tatizo kwa dada wa watu ni kwamba pindi anapokuwa ametulia baada ya kupeana raha ya mapenzi, na hasa anapo-recall ile exercise nzima ya 'kulamba koni' isiyofanyiwa tohara hijisikia kichefu chefu nakuishia kutapika.

Kuna siku dada yake alimtilia shaka na kwenda kumpima akidhani huenda ana mimba baada ya kutapika mara 3 siku alotoka kufanya mapenzi na huyo bf wake mwenye 'mkono wa sweta'. Baada ya kumweleza dadake sababu ya kutapika, dada mtu alimshangaa iweje anakubali kulamba koni ya mkono wa sweta! Binti wa watu hajui itakuwaje maana mwanaume anampenda ila hiyo karaha ya kunyinya na kutapikatapika ndiyo inayomkosesharaha ya mapenzi na bf wake.

Kidume kimekataa katakata kufanyiwa tohara kwa madai kwao ni mwiko na kwamba anajisikia raha sana ku-sex na sweta hivyo hawezi kuliondoa. Sitaki kuulizwa huyo mwanaume anatoka mkoa gani na kabila gani!

My take: Kina dada vumilieni tu maisha ya mapenzi ndivyo yalivyo, mweeeeee!
 
Unafiki tu mnatapika nini? Wanawake wakikatwa ndio mnaita TOHARA; UDHALILISHAJI WA KINJINSIA; akiachwa ndio vizuri; sasa mwanaume asipokatwa MARA SWETA, SIJUI UCHAFU, NK. Sasa kwa taarifa yenu hiyo ndio nzuri zaidi tena kimapenzi. Big up wewe mwanaume DUMISHA MILA BABA...Na huyo ataendelea kutapika sana...
 
Kinyaa jamani, kaka plz nenda katahiri, mwee....! Utamuua mwenzio kwa kutapika khaa!
 
That dada has to apply this saying of the wise - "If you can not get what you love, then love what you have"

unafaa sana kuwa mke msiri wangu mwaJ.....sijui ndo tayari ila usitoe siri
 
Last edited by a moderator:
Ptuuuuuuu. Mwambie atuondolee hapa mauchafu yake. Katika karne hii huyo bro bado anaendekeza mimila isokuwa na faida zaidi ya hasara tele. Dada mshauri atoe hilo lijisweta kwani halina dili yoyote zaidi ya kuficha miuchafu tu inayokuchea na kukutapisha
 
Back
Top Bottom