Kila nikimkamata ananizushia...!

mzee wa nguna

Senior Member
Dec 5, 2012
132
113
Ndugu yangu wa karibu ameniomba nimsaidie ushauri,nami nimelileta hapa jamvini tusaidiane kumshauri...............''Jamani hebu nisaidieni mwenzenu. Mimi ni mwanamke mwenye umri wa miaka 31. Nina mpenzi ambae ninaishi nae na tumezaa mtoto mmoja,tatizo lake ni serial cheater,ukimkamata leo na huyu kesho kaishahamia kwa mwingine na haachi na mara nyingine mambo hadharani kama meseji za kupongezana jinsi gemu lilivyonoga n.k ni kawaida kukuta kwenye simu yake. Sasa tatizo ni kwamba nilikutana nae nikiwa na watoto wawili tayari bali baba zao tulishaachana kabisa hata mawasiliano nao sina na niliamua kuachana na mahusiano yote kabisa ndipo nikaanza mahusiano mapya na hatimaye kufuata taratibu za kimila na kuanza kuishi naye. Kila Nikithubutu hata kumuuliza hao anaotembea nao ni kina nani au kwa nini ananifanyia hivi ananigeuzia kibao mimi kwamba sina usafi wowote wa kumuuliza ningekuwa msafi nisingekuwa na watoto wawili kila mmoja na baba yake. Ukweli jambo hili linaniuma nashindwa la kufanya maana yeye ni mpekupeku akikuta hata nasalimiana na mtu anashuku vibaya na kutoa matishio kibao,nipo lonely vibaya maana namuogopa na ninajisikia kuteseka sana rohoni. Nifanyeje ili kumfanya walau aone anayofanya ni mabaya na kwamba mimi pamoja na historia iliyopo ni mtu mwema wala si entertain masuala ya kukosa uaminifu?? Kumuacha ni ngumu maana nachelea kutengeneza historia ya kutisha kwa jamii na kumnyima mwanangu mdogo haki ya kukua na baba yake.'' Haya,wale wenye neno hebu tupia hapa,lakini msilete mzaha
 
additional detail: Na yeye pia nimemkuta ana watoto wanne toka kwa mkewe aliyefariki miaka mingi iliyopita bali ni wakubwa wa kwanza anasoma chuo kikuu.
 
usipende kuifikiria jamii itakuchukuliaje wakati unaendelea kuteketea rohoni,we kama unahisi huwedhi kuendelea mbele na huyo mtu bora utafute ustaarabu mwingine,mkalishe kitako muelimishe ikishindikana achana nae jishughulishe kutafuta kipato cha kuwalea watoto,dunia ya leo magonjwa ni mengi.
 
yaani wife ndo umeamua kuja kuanika mambo yetu humu? pouwa...tutakutana kitandani utanieleza tu!
 
Using'ang'anie kuwa eti utajenga historia mbaya kwa jamii maana dunia ya leo imejaa magonjwa mengi ya zinaa ambayo ukiyapata huyo mwanao anaweza asiishie tu kukosa matunzo ya baba bali hata mama na kuitwa yatima, chagua moja kutizama jamii itasema je ama uhai wako then make desicition otherwise pole kwa yaliyokusibu
 
Ndugu yangu wa karibu ameniomba nimsaidie ushauri,nami nimelileta hapa jamvini tusaidiane kumshauri...............''Jamani hebu nisaidieni mwenzenu. Mimi ni mwanamke mwenye umri wa miaka 31. Nina mpenzi ambae ninaishi nae na tumezaa mtoto mmoja,tatizo lake ni serial cheater,ukimkamata leo na huyu kesho kaishahamia kwa mwingine na haachi na mara nyingine mambo hadharani kama meseji za kupongezana jinsi gemu lilivyonoga n.k ni kawaida kukuta kwenye simu yake. Sasa tatizo ni kwamba nilikutana nae nikiwa na watoto wawili tayari bali baba zao tulishaachana kabisa hata mawasiliano nao sina na niliamua kuachana na mahusiano yote kabisa ndipo nikaanza mahusiano mapya na hatimaye kufuata taratibu za kimila na kuanza kuishi naye. Kila Nikithubutu hata kumuuliza hao anaotembea nao ni kina nani au kwa nini ananifanyia hivi ananigeuzia kibao mimi kwamba sina usafi wowote wa kumuuliza ningekuwa msafi nisingekuwa na watoto wawili kila mmoja na baba yake. Ukweli jambo hili linaniuma nashindwa la kufanya maana yeye ni mpekupeku akikuta hata nasalimiana na mtu anashuku vibaya na kutoa matishio kibao,nipo lonely vibaya maana namuogopa na ninajisikia kuteseka sana rohoni. Nifanyeje ili kumfanya walau aone anayofanya ni mabaya na kwamba mimi pamoja na historia iliyopo ni mtu mwema wala si entertain masuala ya kukosa uaminifu?? Kumuacha ni ngumu maana nachelea kutengeneza historia ya kutisha kwa jamii na kumnyima mwanangu mdogo haki ya kukua na baba yake.'' Haya,wale wenye neno hebu tupia hapa,lakini msilete mzaha

mhm...mpe pole.
hapa issue ni hivi....huyu jamaa janja kweli aliona kuwa huyu mwanamke hana tena market hivyo she is in a desparate situation so to speak. watoto watatu na wanaume watatu duh!! yaani makbila yote ya tz atayamaliza lol
thing is huyo mwanaume anajua kabisa hapo mwanadada hana ujanja....hawezi ondoka ata kama jamaa anagegeda nje. akiondoka mwanaume gani atamkubali mwanamke ambaye amezaa watoto watatu na wanaume tofauti. hivyo basi yeye akubali tuu her past is catching up with her. atagegedwa na jamaa ataendelea kugegeda nje. chakufanya hapo ni yeye kukamatia kivulana cha kumgegeda nae apate raha ya utamu.
 
YESU NI JIBU!!!!!!!!! Omba Mungu tu bi dada maana inasikisha kwa kweli! Wanume watu wabaya sanaaaa! A sister is being abused! Again![/QUOTE

I told her! Anadai ameshapoteza resources zake nyingi na sasa anaona tabu kuanza upya! Lakini ukweli ni kwamba hana furaha na wala hatokaa awe kamwe - akichagua kubaki na huyo bazazi wake!
hahah being used indeed!!!
 
katika ndoa ni lazima kuaminiana. nobody is perfect. wewe unatafuta nini kwenye simu ya mwenzio? simu zimevunja ndoa nyingi, un - neccessarily. kuchamba kwingi kutoka na m*vi. ushauri wangu; mpaka amekuoa ww, ujue anakupenda. kwani ameacha wangapi? acha kupekua simu ya mumeo.
 
kwani na wewe kila saa lazma uwe umeolewa ama una mwanaume? jiimarishe kiuchumi usepe. otherwize mtoe moyoni. ndo alivyo hiyo; mkewe angekuwa hai angekuthibitishia hili. usije ukafa na wewe na presha! jipange, ukimfumania tena unasepa mazima.
 
Ndugu yangu wa karibu ameniomba nimsaidie ushauri,nami nimelileta hapa jamvini tusaidiane kumshauri...............''Jamani hebu nisaidieni mwenzenu. Mimi ni mwanamke mwenye umri wa miaka 31. Nina mpenzi ambae ninaishi nae na tumezaa mtoto mmoja,tatizo lake ni serial cheater,ukimkamata leo na huyu kesho kaishahamia kwa mwingine na haachi na mara nyingine mambo hadharani kama meseji za kupongezana jinsi gemu lilivyonoga n.k ni kawaida kukuta kwenye simu yake. Sasa tatizo ni kwamba nilikutana nae nikiwa na watoto wawili tayari bali baba zao tulishaachana kabisa hata mawasiliano nao sina na niliamua kuachana na mahusiano yote kabisa ndipo nikaanza mahusiano mapya na hatimaye kufuata taratibu za kimila na kuanza kuishi naye. Kila Nikithubutu hata kumuuliza hao anaotembea nao ni kina nani au kwa nini ananifanyia hivi ananigeuzia kibao mimi kwamba sina usafi wowote wa kumuuliza ningekuwa msafi nisingekuwa na watoto wawili kila mmoja na baba yake. Ukweli jambo hili linaniuma nashindwa la kufanya maana yeye ni mpekupeku akikuta hata nasalimiana na mtu anashuku vibaya na kutoa matishio kibao,nipo lonely vibaya maana namuogopa na ninajisikia kuteseka sana rohoni. Nifanyeje ili kumfanya walau aone anayofanya ni mabaya na kwamba mimi pamoja na historia iliyopo ni mtu mwema wala si entertain masuala ya kukosa uaminifu?? Kumuacha ni ngumu maana nachelea kutengeneza historia ya kutisha kwa jamii na kumnyima mwanangu mdogo haki ya kukua na baba yake.'' Haya,wale wenye neno hebu tupia hapa,lakini msilete mzaha

Maelezo yako yanaonyesha wazi kuwa mumeo si mwaminifu, na amezoea kucheat na pia anatumia sababu ya kukukuta wewe tayari una watoto kama justification ya kuendeleza ufirauni wake!

Tatizo ni kwamba umeomba ushauri na kisha pia umeweka mipaka kwenye ushauri kuwa kumuacha hutaki. Na kama ndo hivyo endelea kuvumilia huku ukimuomba Mungu labda anaweza kuja kubadilika huko baadaye. Wasi wasi wangu ni kuwa wakati unaendelea kuvumilia na yeye anaendelea kula bata na vimwana, asije akaukwaa na nyote mkapotea na hata huyo mtoto unayeona unamnyima haki ya kulelewa na baba, atakuja kujikuta anakosa wazazi wote wawili ...

Kumbuka kuna mambo ya kuvumilika lakini si yote (hasa hapo juu nilipobold) na pia huwezi kuishi kwa kuifurahisha jamii au kuangalia jamii inasema nini. Kikubwa ni kufanya mambo mema na yalio ndani ya uwezo wako bila kumuathiri au kumuumiza mtu na hayo mambo ya jamii inasema nini unaweza kuyapotezea. Ukipata UKIMWI unafikiri hiyo jamii itasema nini? Kama siyo kukuona hukuwa mjanja na kuwa na mawazo mapema ya kujinasua na hiyo hali?! Si watakusema na kukucheka zaidi?

HP
 
YESU NI JIBU!!!!!!!!! Omba Mungu tu bi dada maana inasikisha kwa kweli! Wanume watu wabaya sanaaaa! A sister is being abused! Again!

sio wote ni baadhi na hata baadhi ya wanawake ni wabaya. Usiweke wanaume wote kwenye kundi moja kila mmoja na tabia yake hivyohivyo kwa wanawake
 
Mpe pole shosti kwanza, jengine kwanini aishi maisha yake kwakuangalia jamii? asiudhikishe moyo wake huyo mtoto atakua kama wanavyokua wengine ulionao,ila chamsingi ukishatoka hapo unako kwenda mungu akikujalia usikimbilie kuzaa,fanya aste aste...
 
Mimi sidhani kama kuendelea kuishi na mwanadamu wa jinsi hii ni suluhisho...huyu dada ajipange aanze maisha yake na wanae,Mungu atamsaidia. Kuliko kutumika kama zulia la kufutia miguu!

hili ndio tatizo letu wabongo...Mungu tuamuhusisha wakati mambo yamebuma....listen Mungu atakusamehe lakini consequences za decisions zako hataziondoa. ndio maana alitupa free will bwana unachague.
sasa mungu amsaidie nini wakati kabugi mwenyewe kwa kuzaa zaa hovyo...market value imeshuka na wataendelea kumgegeda tuu. the life u choose the price u pay simple as that
 
Ndugu yangu wa karibu ameniomba nimsaidie ushauri,nami nimelileta hapa jamvini tusaidiane kumshauri...............''Jamani hebu nisaidieni mwenzenu. Mimi ni mwanamke mwenye umri wa miaka 31. Nina mpenzi ambae ninaishi nae na tumezaa mtoto mmoja,tatizo lake ni serial cheater,ukimkamata leo na huyu kesho kaishahamia kwa mwingine na haachi na mara nyingine mambo hadharani kama meseji za kupongezana jinsi gemu lilivyonoga n.k ni kawaida kukuta kwenye simu yake. Sasa tatizo ni kwamba nilikutana nae nikiwa na watoto wawili tayari bali baba zao tulishaachana kabisa hata mawasiliano nao sina na niliamua kuachana na mahusiano yote kabisa ndipo nikaanza mahusiano mapya na hatimaye kufuata taratibu za kimila na kuanza kuishi naye. Kila Nikithubutu hata kumuuliza hao anaotembea nao ni kina nani au kwa nini ananifanyia hivi ananigeuzia kibao mimi kwamba sina usafi wowote wa kumuuliza ningekuwa msafi nisingekuwa na watoto wawili kila mmoja na baba yake. Ukweli jambo hili linaniuma nashindwa la kufanya maana yeye ni mpekupeku akikuta hata nasalimiana na mtu anashuku vibaya na kutoa matishio kibao,nipo lonely vibaya maana namuogopa na ninajisikia kuteseka sana rohoni. Nifanyeje ili kumfanya walau aone anayofanya ni mabaya na kwamba mimi pamoja na historia iliyopo ni mtu mwema wala si entertain masuala ya kukosa uaminifu?? Kumuacha ni ngumu maana nachelea kutengeneza historia ya kutisha kwa jamii na kumnyima mwanangu mdogo haki ya kukua na baba yake.'' Haya,wale wenye neno hebu tupia hapa,lakini msilete mzaha

Dada fanya yafuatayo; nenda kapime HIV kama utakuwa salama mshukuru Mungu na anza maisha upya achana na huyo Mume na kaa ulee wanao unajua wanaume wengine ni manyang'au utakubalije kuacha mwanao alelewe na mme mwingine?Salimisha maisha yako kwa Mungu ili uzaliwe upya na huenda ukakutana anayefanana nawe huko katika nyumba ya ibada.Kuendelea kuishi na huyo jamaa huenda ukawaacha wanao yatima kwani dunia ya sasa haina mchezo.
 
Nikupe pole kwa masahibu hayo.
Sioni tatizo ukiachana na huyo mwanaume, kama uliweza kuachana na baba wa mtoto wa kwanza, wa pili, kwa nini huyu iwe huwezi? Kwa tabia hizo unataka wanao wawe nyatima humu duniani. Fanya maamuzi magumu, achana na huyo mwanaume huo ndio ushauri bora kwako. Kama huwezi endelea kuvumilia yote na usije lalamika baadae maana utakuwa umejitakia.
Wanasema mvumilivu hula mbivu lakini uvumilivu ukizidi utakula vilivyooza.
 
Back
Top Bottom