Kila nikimkamata ananizushia...!

kwani lazima uwe na huyo mtu? Kuna faida gani ya kuwa na mtu lakini daily unasononeka? Maisha mafupi shaurilo
 
Kukua kazi

Mie kuna mmoja alinihakikia anaachana na mmewe sababu anam-abuse, baada yaa miezi 3 nikamkuta ana mimba.

Nikaapa sitakaa nitoe ushauri kwa wanandoa.

kwani na wewe kila saa lazma uwe umeolewa ama una mwanaume? jiimarishe kiuchumi usepe. otherwize mtoe moyoni. ndo alivyo hiyo; mkewe angekuwa hai angekuthibitishia hili. usije ukafa na wewe na presha! jipange, ukimfumania tena unasepa mazima.
 
Back
Top Bottom