Kila nikimdukua mke wangu sikuti kama ana mchepuko, nisaidieni wakuu

Habarini za muda wakuuu.

Najikuta napata hamu ya kumdukua shemeji yenu sasa kila ninavyojaribu kumdukua sikuti mchepuko,sio mara mbili au tatu ni mara kibao nafanya hvyo lakini bado naona sms akichati na marafiki zake tu.

Sasa kuna maneno yanayosemwa kuwa mwanamke hawezi kaa asichepuke,sasa nahisi ananificha huyu mke wangu.ila nakosa ushahidi wapi nimkamatiee.

Sisemi kama namtafutia sababu hapana.lakini sasa yale maneno ya kuwa mwanamke lazima achepuke yameniathiri sana.

Kila nikidukua najikuta natamani nidukue na mengine lakini sikuti kitu nipeni mbinu wakuu..

Nimchunguze vipi haswa haswa ili nijue ukweli.

Mana KUNA PICHA MOJA NILIIONA KWAKE AMEMTUMIA MWANAUME KWENYE WATSAP HUKU ILE PICHA YA KAWA IMEANDIKWA "KILICHOMO NI CHAKO,ONDOA HOFU"

sasa hyo picha kila nikienda watsap kwake kuIchunguza yani nione kama walifanya kuchati naona ile picha imefika lakini sasa jamaa hajibu,kila siku namdukua kuangalia ile namba kama wanawasiliana naoba eboo tu.

Hata katika sms za kawaida sioni kama wanachati aisee.

Sasa najiuliza ilikuwaje akaandika au akamtumia mtu picha ile yenye maneno ya ukakasi tena mwanaume??

Inawezekana akamtumia tu bila kuwa na mahusiano nae pjcha kam hyo wakuuw?
Mfukuze tu uache kuishi kwa wasi wasi.
 
Unacho kitafuta uta kipata Mwana kuyatafuta mwana kuyapata bora uyo yake yanaishia huko huko aji nayo nyumbani endelea kuchokonoa utakufa na presha huku yeye anakula maisha.
 
Kama umemchoka si umuache

Au unataka beef mkuu, umechoka amani
Mana kuna mahusiano tangu yanaanza mmeyadizaini kiugomvi tu,na mengine mmeyadizaini kwa heshima/amani

Wewe naona unataka ugomvi
 
Habarini za muda wakuuu.

Najikuta napata hamu ya kumdukua shemeji yenu sasa kila ninavyojaribu kumdukua sikuti mchepuko,sio mara mbili au tatu ni mara kibao nafanya hvyo lakini bado naona sms akichati na marafiki zake tu.

Sasa kuna maneno yanayosemwa kuwa mwanamke hawezi kaa asichepuke,sasa nahisi ananificha huyu mke wangu.ila nakosa ushahidi wapi nimkamatiee.

Sisemi kama namtafutia sababu hapana.lakini sasa yale maneno ya kuwa mwanamke lazima achepuke yameniathiri sana.

Kila nikidukua najikuta natamani nidukue na mengine lakini sikuti kitu nipeni mbinu wakuu..

Nimchunguze vipi haswa haswa ili nijue ukweli.

Mana KUNA PICHA MOJA NILIIONA KWAKE AMEMTUMIA MWANAUME KWENYE WATSAP HUKU ILE PICHA YA KAWA IMEANDIKWA "KILICHOMO NI CHAKO,ONDOA HOFU"

sasa hyo picha kila nikienda watsap kwake kuIchunguza yani nione kama walifanya kuchati naona ile picha imefika lakini sasa jamaa hajibu,kila siku namdukua kuangalia ile namba kama wanawasiliana naoba eboo tu.

Hata katika sms za kawaida sioni kama wanachati aisee.

Sasa najiuliza ilikuwaje akaandika au akamtumia mtu picha ile yenye maneno ya ukakasi tena mwanaume??

Inawezekana akamtumia tu bila kuwa na mahusiano nae pjcha kam hyo wakuuw?
Unafahamu wasifu wa baradhuli?????????????????????????????
 
Ukitaka kuishi maisha marefu Mwamini mkeo naye atakuamini kuhusu swala la yeye kuwa mwaminifu hilo halikuhusu na yeye pia hata kuwa na haja na uaminifu wako kikubwa ni nyie kuaminiana sio kuwa waminifu kwa kila jambo
 
Habarini za muda wakuuu.

Najikuta napata hamu ya kumdukua shemeji yenu sasa kila ninavyojaribu kumdukua sikuti mchepuko,sio mara mbili au tatu ni mara kibao nafanya hvyo lakini bado naona sms akichati na marafiki zake tu.

Sasa kuna maneno yanayosemwa kuwa mwanamke hawezi kaa asichepuke,sasa nahisi ananificha huyu mke wangu.ila nakosa ushahidi wapi nimkamatiee.

Sisemi kama namtafutia sababu hapana.lakini sasa yale maneno ya kuwa mwanamke lazima achepuke yameniathiri sana.

Kila nikidukua najikuta natamani nidukue na mengine lakini sikuti kitu nipeni mbinu wakuu..

Nimchunguze vipi haswa haswa ili nijue ukweli.

Mana KUNA PICHA MOJA NILIIONA KWAKE AMEMTUMIA MWANAUME KWENYE WATSAP HUKU ILE PICHA YA KAWA IMEANDIKWA "KILICHOMO NI CHAKO,ONDOA HOFU"

sasa hyo picha kila nikienda watsap kwake kuIchunguza yani nione kama walifanya kuchati naona ile picha imefika lakini sasa jamaa hajibu,kila siku namdukua kuangalia ile namba kama wanawasiliana naoba eboo tu.

Hata katika sms za kawaida sioni kama wanachati aisee.

Sasa najiuliza ilikuwaje akaandika au akamtumia mtu picha ile yenye maneno ya ukakasi tena mwanaume??

Inawezekana akamtumia tu bila kuwa na mahusiano nae pjcha kam hyo wakuuw?
muulize tu hiyo picha uliyomtumia jamaa ilikuwa ya nini. atakupa majibu. Ila kuna wanawake wanatongoza wanaume, inawezekana alijaribu kwa huyo jamaa kumtumia picha jamaa akapotezea au wapo naye siku nyingi na sasa wana mgogoro. Hawaamini kabisa hawa watu
 
Habarini za muda wakuuu.

Najikuta napata hamu ya kumdukua shemeji yenu sasa kila ninavyojaribu kumdukua sikuti mchepuko,sio mara mbili au tatu ni mara kibao nafanya hvyo lakini bado naona sms akichati na marafiki zake tu.

Sasa kuna maneno yanayosemwa kuwa mwanamke hawezi kaa asichepuke,sasa nahisi ananificha huyu mke wangu.ila nakosa ushahidi wapi nimkamatiee.

Sisemi kama namtafutia sababu hapana.lakini sasa yale maneno ya kuwa mwanamke lazima achepuke yameniathiri sana.

Kila nikidukua najikuta natamani nidukue na mengine lakini sikuti kitu nipeni mbinu wakuu..

Nimchunguze vipi haswa haswa ili nijue ukweli.

Mana KUNA PICHA MOJA NILIIONA KWAKE AMEMTUMIA MWANAUME KWENYE WATSAP HUKU ILE PICHA YA KAWA IMEANDIKWA "KILICHOMO NI CHAKO,ONDOA HOFU"

sasa hyo picha kila nikienda watsap kwake kuIchunguza yani nione kama walifanya kuchati naona ile picha imefika lakini sasa jamaa hajibu,kila siku namdukua kuangalia ile namba kama wanawasiliana naoba eboo tu.

Hata katika sms za kawaida sioni kama wanachati aisee.

Sasa najiuliza ilikuwaje akaandika au akamtumia mtu picha ile yenye maneno ya ukakasi tena mwanaume??

Inawezekana akamtumia tu bila kuwa na mahusiano nae pjcha kam hyo wakuuw?
kama umempa sababu ya kuchepuka bas ujue atachepuka tuu.
 
Mimi simu ya mke wangu ni ya kwangu, coz sina smart phone, naitumia ya kwake kuingia kwenye mitandao ya kijamii. Pamoja na yote naamini kabisa atakuwa anamegwa tu kwa usiri mkubwa.
Bata achunguzwi, ukimchunguza huta weza kumla nyama.
 
Mkuu kama aliweza kumtumia jamaa picha na akamwambia kila kilichomo ni chako
Hapo bila ya chenga Mkuu UNATOMBEWA NA MGONGO VILEVILE JAMAA ANACHEZA NAO
achana na kudukua mwite chumbani hlf MPE KIPONDO CHA KUTOSHA MPAKA HAPO ATAPOSEMA UKWELI hakuna kubembelezana Taifa La Leo
 
Habarini za muda wakuuu.

Najikuta napata hamu ya kumdukua shemeji yenu sasa kila ninavyojaribu kumdukua sikuti mchepuko,sio mara mbili au tatu ni mara kibao nafanya hvyo lakini bado naona sms akichati na marafiki zake tu.

Sasa kuna maneno yanayosemwa kuwa mwanamke hawezi kaa asichepuke,sasa nahisi ananificha huyu mke wangu.ila nakosa ushahidi wapi nimkamatiee.

Sisemi kama namtafutia sababu hapana.lakini sasa yale maneno ya kuwa mwanamke lazima achepuke yameniathiri sana.

Kila nikidukua najikuta natamani nidukue na mengine lakini sikuti kitu nipeni mbinu wakuu..

Nimchunguze vipi haswa haswa ili nijue ukweli.

Mana KUNA PICHA MOJA NILIIONA KWAKE AMEMTUMIA MWANAUME KWENYE WATSAP HUKU ILE PICHA YA KAWA IMEANDIKWA "KILICHOMO NI CHAKO,ONDOA HOFU"

sasa hyo picha kila nikienda watsap kwake kuIchunguza yani nione kama walifanya kuchati naona ile picha imefika lakini sasa jamaa hajibu,kila siku namdukua kuangalia ile namba kama wanawasiliana naoba eboo tu.

Hata katika sms za kawaida sioni kama wanachati aisee.

Sasa najiuliza ilikuwaje akaandika au akamtumia mtu picha ile yenye maneno ya ukakasi tena mwanaume??

Inawezekana akamtumia tu bila kuwa na mahusiano nae pjcha kam hyo wakuuw?

Mjomba wanawake wachepukaji wazoefu ni watu hatari sana kweli. wepesi wao ni kama Messi, ukipwesa tu amekupita ubavuni.
Hiyo msg uliyoikuta katuma naviashirio tosha vya uchepukaji.

Kuna mengi yanawozefanyika bila ya wewe kufahamu. Msg na call history kufutwa baada ya chatting na mazungumzo, Kua na line Special ya michepuko na mengine mengi ukija kuyagundua unaweza ingia wazimu.
 
Back
Top Bottom