Kila nikiliangalia bwawa la Mwl. Nyerere natamani kuwachapa makofi wafuatao

Wakati Rais wa awamu ya tano hayati Magufuli akitangaza kwamba Tanzania inaenda kutekeleza mradi wa kufua umeme wa bwawa la Mwl Nyerere kwa gharama yoyote bila kuangalia makunyanzi ya mtu yoyote, kuna watanzania wenzetu walipinga mradi huo na kutusaliti kwa wazungu ili mradi huo ukwame.

Mungu saidia Magufuli hakulegeza kamba wala kukata tamaa na mradi huo ukaendelea na sasa umekamilika na mashine moja imefungwa hivyo kupelekea kupungua kwa kiasi kikubwa kwa mgao wa umeme uliokuwa unatesa wananchi na kuuwa uchumi wa nchi yetu.

Sasa ili kukomesha tabia ya watanzania wenzetu kusaliti na pia ili kuongeza uzalendo kwa nchi yetu wanasiasa waliohamasisha wananchi kupinga mradi huo wasiruhusiwe kutumia umeme kutoka bwawa la Mwl nyerere.

Wanasiasa hao ni Tundu Lisu, Nape Nnauye, January Makamba, God bless Lema, John Heche, Freeman Mbowe, Sugu, Peter Msigwa, Martin Maranja Masese, Prof Muhongo, Zito Kabwe. Na wengine wengi ambao tutaendelea kuwataja.
Stress zitakuua ...kila siku nyuzi yako ni hii hii 😄😄

Kwani hilo Bwawa ni la Baba yako mzee?
 
Huyo boya wako ameshakufa zungumzia habari za walio hai si wafu.
 
Wenzako walikuwa wanazungumzia sustainability wewe unazungumzia a short term gain.
 
Ningeshangaa sana kama usingemtaja Wakili Msomi mwenzangu Tundu A.M. Lissu. Maana wewe na Lissu, Lissu na wewe. Hakukauki mdomoni mwako. Pamoja na porojo na vituko vyako vyote kwake, Lissu amekuzidi kila kitu. Naamini huwa unaona fahari na unapata wachangiaji wa porojo zako ukiwa unamtaja. Bure kabisa!
 
Alichonizidi ni uaaliti na familia yake kulelewa na kulishwa na wazungu ubelgiji
 
Tujifunze taratibu hilo bwawa nimapema kuiongelea value for money na productivity yake!!
SWALI; Yamewekezwa ma trilioni ya fedha Jee, yamesharudi??
Ujinga ni mzigo mzito saaana kuubeba japo nirahisi kuupata...akili na ujinga nikama pesa na Mafi kimfuatano(respectively)
💩
Bora baba yako angevaa kondomu kuliko kutuletea matatatizo haya
 
Namshanga Sana samiaa eti anasema alilikuta bwawa liko asilimia 32 na linajengwa kwa kusuasua ila alivyo ingia madarakani akapamban nalo na SAS amalekamilisha kwa miaka mitatu
 
Back
Top Bottom