Kila mtu aweke matokeo yake hapa

Wazee,

Wakati mkiwa mnakamata Johnny Mtembezi, Gin, Vodka, Nyagi etc, jaribuni kukaa mbali na vitu viwili kati ya vingi.

Usukani, kwa sababu mnaweza kujiua.

JF, kwa sababu mnaweza kutuua kwa habari zenu zinazotapisha kupita delta ya Mississippi au Rufiji.
 
Back
Top Bottom