Kila mtu atavuna anachopanda

ndege JOHN

JF-Expert Member
Aug 5, 2015
20,000
46,100
Napenda kuwashauri waliokuwa wabunge wastaafu wa CHADEMA na hasa viongozi wa kamati kuu kuanzia mnyika na wengineo kwamba waige mifano ya sugu na professor jay baada ya kuona wameshaukosa ubunge kwenye ule uchaguzi uliojaa matimba waliamua wakae kimya wafanye biashara zao.

Si kwa ubaya Bali Ni kutokana na Hali halisi ya kisiasa nchini watanzania hawasaidiki bado hawana hasira na uchungu ndo maana hata maandamano ambayo Ni haki yao wamenyimwa ila wamekaa tu kimya.

Inafaa tu wakae kimya waache kuhangaikia wenyenchi kwani hakuna faida yoyote CCM wameshaamua kuwatumia jeshi la polisi Basi hakuna namna matatizo ya kujitafutia ya nini..kila mtu afanye biashara zake tu hizi za siasa Ni kupoteza muda.
 
Basi hata huduma za usafiri zisimame kutoa huduma katika jamii
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom