Kila mmoja anang'ang'ania awe ''JUU''.

Jamani wana JF kuna jambo linasumbua sana kichwa changu nashindwa hata kulala na kufanya kazi zangu. Naomba mnipe mawazo yenu. Eti ''KULINGANA NA MAZINGIRA ULIYOPO nani kati ya MWANAUME na MWANAMKE kila day anatakiwa awe JUU ya mwenzie ktk maisha NDOA'' naomba kla mmoja wenu alete mawazo yake kulingana na TASWIRA aliyoijenga kichwani mwake.

Note: be care wiz upper cases...!!!

:wink2::wink2:
 
Siku zote baba ndio kichwa cha familia hata kama pato lake ni dogo hapo hamna ubishi.cku hizi ndio maana ndoa nyingi zinavunjika kwa sababu wanawake wengi hawajui kuwa baba ni kichwa cha familia.
Mimi nashauri kwa wanawake pia kama wanataka wawe juu waruhusiwe kuoa wanaume wanaoweza kuwaweka chini wao wakae juu na wapo wengi watawapata
 
zam kwa zam juu chini yote sawa tu, ilmradi msingi wa uhusiano unazingatiwa
 
Jamani wababa na wamama mbona bado mnafura vichwa? Basi poleni sana. mi mwenzenu namanisha kuwa juu wakati tendo la ndoa! Nani anapaswa kuwa juu ya mwenzie regardless copying style 4rm western countries.

duh...hivi una miaka mingapi?

manake teasing mind za watu kwenye forum inayoheshimika kama hii is totally unacceptable, in fact kuna jukwaa la utani na mambo kama haya nenda huko kapost ivi vitu!
 
jina lako la PUUUUUUUUUUUU linanifurahisha sana hivi ni jinsia ya kike au kiume!
 
Baba ndio kichwa cha nyumba ndiyo maana hata mkuu mwenyewe yaani mungu tunamwita mungu baba!!na sio mungu mama halafu angalieni hata watoto wa mungu kwa waislamu mtume muhamad na kwa wakristo yesu maandiko yanasema wote hao walikua wanaume hakuna mwanamke mwenye miujiza so heshima mbele baba anatakiwa aheshimie kwani hata kama nyumba yako ikavamiwa na majambazi leo hii hutategemea eti mama ndiyo atoke akapambane nao no ni baba ndiye kichwa cha nyumba mbona ukweli upo wazi kwani ni akina nani wanaofanya kazi ngumu?na zinazotumia akili sana wewe angalia mpaka huko majeshini walio wengi ni akina nani na wanaopambana ni akina nani wanawake ni wachache sana ambao wanapenda kujiweka juu ya waume zao mie naona cha muhimu hapo anatakiwa kuwa juu ni baba ila cha muhimu kwamba kuwa juu isiwe ndio kigezo cha kugandamiza familia au kumkandamiza mwezako lazima kuwe na heshima wajameni!
Dume ndio anayetakiwa awe kiongozi awe juu ktk nyumba,ukiona wa2 wanapinga hilo ujue wanamuamini Mungu wa Mabox
 
Jamani wababa na wamama mbona bado mnafura vichwa? Basi poleni sana. mi mwenzenu namanisha kuwa juu wakati tendo la ndoa! Nani anapaswa kuwa juu ya mwenzie regardless copying style 4rm western countries.

Puuuuu my ass!
 
juu ya nini kwani ndoa ni uwanja wa mapambano mpaka tutafute mshindi au maelewano
 
Jamani wana JF kuna jambo linasumbua sana kichwa changu nashindwa hata kulala na kufanya kazi zangu. Naomba mnipe mawazo yenu. Eti ''KULINGANA NA MAZINGIRA ULIYOPO nani kati ya MWANAUME na MWANAMKE kila day anatakiwa awe JUU ya mwenzie ktk maisha NDOA'' naomba kla mmoja wenu alete mawazo yake kulingana na TASWIRA aliyoijenga kichwani mwake.

Note: be care wiz upper cases...!!!
Mwanaume ndio kichwa cha familia na imeandikwa tutawatawala ila sio kwa kuwanyanyasa tumia upole kumwongoza mwanamke huku akili ikimtawala
 
Back
Top Bottom