Kila kitabu na zama zake, corner sofa ndiyo habari ya mjini leo.

Sky Eclat

JF-Expert Member
Oct 17, 2012
57,595
215,276
1698995262389.png

Corner sofa ndiyo habari ya town, ukiongeza na flat screen ukutani na TV table ya mstatiri.

Uzuri wa corner sofa mgeni anaweza kulala mpaka asubuhi omba tu asiwe kikojozi.

Kwa kweli ni mfuko tu lakini corner sofa ya ngozi inapendeza na inadumu kwa muda mrefu.

Ukiwa na ukuta mweupe blue halogen lights zinaleta urembo uliotulia sebuleni wakati wa usiku.

Pichani ameamua kuweka magnolia colour and lights.

Nyumba ikiwa nadhifu utapenda kuwa nyumbani muda wote.
 
Kwa nyumba na miundo ya nyumba za kiswahili hazipendezi kabisa tizama ukubwa wa sebule na aina ya muundo makochi utakayoweka.....nikajisemea mshamba mie
 
Kwa nyumba na miundo ya nyumba za kiswahili hazipendezi kabisa tizama ukubwa wa sebule na aina ya muundo makochi utakayoweka.....nikajisemea mshamba mie
Hii ni sehemu ya kuangalia TV kwa familia. Mpira, Cinema au harusi Sikuhizi wanaweka kwenye USB. Ukiweza unaweka sitting room mbili au tatu. Kama ni mfanya biashra kuna sitting room ya kuongea na wageni wako kikazi tu.
 
Hiyo sitting room ina makosa ya kiufundi au ya kimpangilio
Kimsingi sio sawa TV ikae mahala kwenye njia ina maana hapo kutakuwa na kusumbua watu/wageni pale mtu anapopita na kuzuia TV.
Yah ni kweli kabisa huwezi kuweka njia katikati ya sebule au wengine unakuta njia/mlango uko nyuma ya makochi. Ni vitu vidogo vidogo ila wengi hua hawazingatii
 
View attachment 2802191
Corner sofa ndiyo habari ya town, ukiongeza na flat screen ukutani na TV table ya mstatiri.

Uzuri wa corner sofa mgeni anaweza kulala mpaka asubuhi omba tu asiwe kikojozi.

Kwa kweli ni mfuko tu lakini corner sofa ya ngozi inapendeza na inadumu kwa muda mrefu.

Ukiwa na ukuta mweupe blue halogen lights zinaleta urembo uliotulia sebuleni wakati wa usiku.

Pichani ameamua kuweka magnolia colour and lights.

Nyumba ikiwa nadhifu utapenda kuwa nyumbani muda wote.
sky kumbe upo? sijakuona muda mtefu kule jukwaa pendwa nilijua umemfata roma mkatoliki america
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom