Jay Milionea
JF-Expert Member
- Apr 19, 2015
- 1,185
- 154
Acha kuwa bendera fata upepo wewe utaolewa!! umehongwa nini na baba zako hao wa Ukawa?Wewe ndo una matatizo. Tuliambiwa tena sote ni mashahidi kila Bango liliandikwa-Maisha Bora kwa KILA Mtanzania, miaka mitano baadae ikaandikwa-Ari Zaidi, Kasi Zaidi. Wakati ule tuliambiwa tuichague CCM kwa kuwa tutapata MAISHA BORA tena KWA KILA MTANZANIA. Au ilikuwa ni sentensi tata ya kulaghai wananchi? Ila kama Slogan ile ilikuwa ina maana halisi kama ilivyosema, basi ulaghai ulitumika!