Kikwete: Walimu wenye digrii kufundisha Shule za Msingi

Naona umemlinganisha Josephine Mushumbusi na Salma Kikwete. Hawalingani hata kidogo na JK ana washauri wengi nje ya mke wake

Kama washauri wake ndiyo wa namna hii ni bora hata angeshauriwa na huyo unayemwita Mushumbusi.
Heri ujinga wa mwenye akili timamu (Josefina) kuliko busara za mwendawazimu (Yule Mwalimu wa pale Magogoni). Mama Salma Kikwete hoyeee!!!!!


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
shemeji..eti kwasababu unamuelekeza kibra dada yetu ndo utudharau...m na digrii yangu nikafundishe shule ya msingi kweli...au kwa vile 2015 nimefika unatafta OUTRO
 
mimi nauliza salma kikwete kulitia gharama taifa kwa mambo yake kawa nani kikatiba? mikoani anaposomewa taarifa na wakuu wa mikoa ni kama nani? ili afanye nini? halafu mtu mzima unaleta hoja sijui ruzuku, slaa na mbowe vina uhusiano gani na hii mada? hata kama wewe ni shabiki wa ccm, tumia akili vizuri.
 
kwani wewe tangu umeanza kuchangia umegusia mada hii zaidi ya kuuza sura tu?
ndipo nilipoanzia, sikutegemea kashfa, nadhani ningechangia vizuri, ila kwa kuwa umetanguliza kashfa, basi tuendelee hivyo!
 
guys inatosha. Just take it easy.
Hatuwezi wote kuwa na hoja zilizo sawa kutofautiana ni kawaida.
Calm down tuendelee na ishu nyingine.
at least someone is very matured here! Am humbled! Wale wengine, puuuuuunazihurumia familia zao kwa kweli!
 
Naona umemlinganisha Josephine Mushumbusi na Salma Kikwete. Hawalingani hata kidogo na JK ana washauri wengi nje ya mke wake

...we jamaa acha ujinga basi,angalau mara mojamoja uwe na uhalali wa kuwepo jukwaani aahgrr...!
 
ah! Kiburudishoooooooooo! Sijui leo utatumika kwa stahili gani
kwa style hiyo hiyo aliyotumika nayo mkeo, just now! Yaania ndio katoka tu kubanjuliwa hapa namuona! By the way umefanya vema kuuliza!
 
NAona uzi mzima ni personal attacks hakuna wa kuchangia la maana! Kikwete amejisemea tu alikuwa hamaaanishi kama ilivyokawaida!!
 
Naona umemlinganisha Josephine Mushumbusi na Salma Kikwete. Hawalingani hata kidogo na JK ana washauri wengi nje ya mke wake

yaani umlinganishe mwalimu wa UPE mama Salma na mtaalamu mwenye shahada ya IT?.
 
Mke wangu hawezi kuwa na viburudisho vya UKAWA. Yaani thamani yako ni sawa na zile korosho tunazotumia wakati wa mikutano au kwenye ofisi zetu. Hustahili hata kuwekwa ndani. Ni kitu cha kutafuna tu mara moja na kumaliza. Ukishatumika huna thamani tena

Kwa dharau hizi kwa zao la korosho,nawapongeza wana kusini kwa umoja wao wakukataa gesi isiende bagamoyo
 
Alimaaniasha hawa wa primary wote watarudi darasani wote hivyo hawa wa secondary inabidi waende kufundisha primary,
Hayo ndio maelezo niliyopewa na Mwl Salma na ndio ushaur aliompa shemeji yenu.
 
Back
Top Bottom