Kikwete: Walimu wenye digrii kufundisha Shule za Msingi

hoja ina mantiki sana tu. kikwete kila siku anayaongea lazima yana mapungufu kibao. kinawauma nini kutajwa salma kikwete. kwani ana nini cha ziada zaidi ya cheti cha ualimu wa msingi? leo hii taifa linaharibu kodi nyingi sana kugharamia mambo ya huyu mama. ana cheo gani kikatiba? eti naye anasomea taarifa za mikoa nk. yeye kawa nani?
 
sidhani kama itakusaidia kwa kujua niliposoma, point ni kwako ku-concentrate kwenye uzi!

Nivema tukafahamu,,kama umesoma hapa tz alafu unadiriki kukashifu elimu yetu lazima utakuwa na mapungufu ya kifikra...kama elimu ya tz ndo imekufikisha hapo ulipo huna budi kushukuru...!!
 
nimerithi kwa mkeo hii fani! Nipo naye hapa!
Mke wangu hawezi kuwa na viburudisho vya UKAWA. Yaani thamani yako ni sawa na zile korosho tunazotumia wakati wa mikutano au kwenye ofisi zetu. Hustahili hata kuwekwa ndani. Ni kitu cha kutafuna tu mara moja na kumaliza. Ukishatumika huna thamani tena
 
mke wangu hawezi kuwa na viburudisho vya ukawa. Yaani thamani yako ni sawa na zile korosho tunazotumia wakati wa mikutano au kwenye ofisi zetu. Hustahili hata kuwekwa ndani. Ni kitu cha kutafuna tu mara moja na kumaliza. Ukishatumika huna thamani tena
naona jinsi ambavyo elimu yako imekusaidia! Yaani nakuhakikishia, yote uliyoyasema juu yangu nimerithi bila mapungufu kwa mkeo! Ukirudi leo nyumbani kwako, muulize kuhusu mimi, hata course anaponifundishia huna idea, poor you! Yeye si tu korosho, yeye ni gloves za madoctor na ma-nurse hospitalini! Hata kwenye dustbin hafai!
 
hoja ina mantiki sana tu. kikwete kila siku anayaongea lazima yana mapungufu kibao. kinawauma nini kutajwa salma kikwete. kwani ana nini cha ziada zaidi ya cheti cha ualimu wa msingi? leo hii taifa linaharibu kodi nyingi sana kugharamia mambo ya huyu mama. ana cheo gani kikatiba? eti naye anasomea taarifa za mikoa nk. yeye kawa nani?

Unafahamu ni kiasi gani cha fedha ya ruzuku slaa na mbowe wanaharibu na vimada wao huko dubai kila mwezi!!???
 
nivema tukafahamu,,kama umesoma hapa tz alafu unadiriki kukashifu elimu yetu lazima utakuwa na mapungufu ya kifikra...kama elimu ya tz ndo imekufikisha hapo ulipo huna budi kushukuru...!!
kaka si vema wala haki kijudhalilisha! Elimu yangu haitakusaidia chochote! Narudia kusema stick kwenye thread, nadhani itakusaidia zaidi!
 
naona jinsi ambavyo elimu yako imekusaidia! Yaani nakuhakikishia, yote uliyoyasema juu yangu nimerithi bila mapungufu kwa mkeo! Ukirudi leo nyumbani kwako, muulize kuhusu mimi, hata course anaponifundishia huna idea, poor you! Yeye si tu korosho, yeye ni gloves za madoctor na ma-nurse hospitalini! Hata kwenye dustbin hafai!
Ah! Kiburudishoooooooooo! Sijui leo utatumika kwa stahili gani
 
Mke wangu hawezi kuwa na viburudisho vya UKAWA. Yaani thamani yako ni sawa na zile korosho tunazotumia wakati wa mikutano au kwenye ofisi zetu. Hustahili hata kuwekwa ndani. Ni kitu cha kutafuna tu mara moja na kumaliza. Ukishatumika huna thamani tena

Nimecheka sanaa...duhh
 
kaka si vema wala haki kijudhalilisha! Elimu yangu haitakusaidia chochote! Narudia kusema stick kwenye thread, nadhani itakusaidia zaidi!
Kwani wewe tangu umeanza kuchangia umegusia mada hii zaidi ya kuuza sura tu?
 
Mke wangu hawezi kuwa na viburudisho vya UKAWA. Yaani thamani yako ni sawa na zile korosho tunazotumia wakati wa mikutano au kwenye ofisi zetu. Hustahili hata kuwekwa ndani. Ni kitu cha kutafuna tu mara moja na kumaliza. Ukishatumika huna thamani tena

nimerithi kwa mkeo hii fani! Nipo naye hapa!
Guys inatosha. just take it easy.
hatuwezi wote kuwa na hoja zilizo sawa kutofautiana ni kawaida.
Calm down tuendelee na ishu nyingine.
 
Nitajie shule ya kata ambayo haina walimu. Kwenye kijiji changu mwaka huu wamepelekwa walimu wa shahada 5 kufundisha kwenye shule ya Kata yetu. Bado serikali inaendelea kusomesha vijana wake na itafikia hatua shule za msingi zitakuwa na walimu wenye shahada. Ni suala la muda tu

shule moja ya kata ipo pale kata ya lizaboni (kuelekea subira) songea ina upungufu mkubwa wa walimu, hasa wa masomo ya sayansi. Shule ya salma kikwete hapo dar ni majanga matupu. Haina walimu wa kutosha.

Yu wont mo idiotum?
 
Back
Top Bottom