KadaMpinzani
JF-Expert Member
- Jan 31, 2007
- 3,715
- 86
Tukiamua lini ? Usifikiri wanaota kama uyoga ? Nilichokusudia ni hizo Chopper na sio marubani ,hatuna uwezo wa kumiliki chopper kwa kiwango cha kusafiria raisi na si mtu wa kawaida ambae roho yake ni moja tu ,ila Raisi anabeba watu wengi nyuma yake ,hivyo ndio ukaona msusuru wake unakuwa si mdogo au convoy lake sio dogo ,halafu mnataka kumpandisha katika chopa zinazobeba mikungu ya ndizi ,wacheni utani.
swadakta!
basi ajenge reli metropolitan ili sie wadanganyika tubanane huko ili iwe rahisi kwake yy kuzurura ovyo barabarani anavyotaka !