Kikwete - Tuhuma nzito dhidi ya CHADEMA

Jamani huo udini na ukabila unaohubiriwa na Chadema mbona wengine hatuusikii? Sijawahi kusikia DR wa ukweli akitamka maneno yanayohubiriwa. Kweli mfa maji haachi kutapatapa. JK ndiye anayewapandikizia waTZ misamiati ambayo hawajaizoea. Kwani vipi gunia la ahadi limeisha sasa amebadili mikakati ya ushindi? GOD'S JUSTICE WILL ALWAYS PREVAIL!!!

Upuuuzi mtupu huna cha maana.Kama ni udini ni JK na CCM yake inahubiri hayo
 
Malaria Sugu, Mwiba, Kanda2, yaya, Pengo, Tandaleone, Padri, Dubo, Zawadi Ngoda, na Tumaini ni wasemaji wa kampeni ya Kikwete JF
List hii nimeipenda ngoja tuone after 31/10/2010 wataendelea kuwa wasemaji au!!!!!!!!!!
 
Upuuuzi mtupu huna cha maana.Kama ni udini ni JK na CCM yake inahubiri hayo

Huna hoja zaidi ya dharau soma Rai toleao Na. 891 la leo Octoba 21-27ukurasa wa 22 makala ya Edward Mwakalinga upate ufahamu wa hatari inayolikabili taifa hili. Nawawasilisha.
 
Wakuu , kulingana na aina ya majukumu yangu sipati nafasi ya kufuatilia habari mara kwa mara. Hata hivyo, katika nyakati zote ambazo nimepata fursa ya kupata habari kwa njia yoyote iwayo, sijabahatika kusikia au kusoma mgombe yoyote anayehubiri umwagaji wa damu. Nimepata kumsikia JK mara kadhaa akiwaonya wapiga kura kutowasilikiliza wagombea wanaohubiri umwagaji damu. Hii ni kauli nzito hasa inapotamkwa na Mkuu wa nchi kwamba kuna watu wanatangaza kumwaga damu. Sijua taratibu za kisheria zinasema nini kuhusu matamko kama haya na hasa yanapothibitishwa na mwenye nchi. Najiuliza kwa nini hakuna hatua zozote zinazochukuliwa dhidi ya waovu hawa? Je, ni kweli inatosha tu kuwaambia wananchi wajihadhari hali adui anafahamika?

Mara zote ambazo nimepata kumsikia akitamka/akitoa onyo hilo, uelewe wangu umekuwa ukinipeleka moja kwa moja kwa washindani wake wa kisiasa. Nikifikiria hivyo, nahoji tena uwendawazimu wa hao wanaoitwa wapinzani. Hii ni awamu ya tano ya uchaguzi wa vyama vingi na katika awamu zilizotangulia zote wapinzani wameshindwa na hawakuona haja ya kumwaga damu. Leo watu wanaambiwa mkiwapa kura hao watamwaga damu. Hainiingii akilini WAPEWE KURA WAMWAGE DAMU? Yaani baada ya ushindi ambao wamekuwa wakiupigania siku zote watangaze kumwaga damu? Damu nani? Kwa sababu ipi? Hainiingii akilini.

Ninachokiona katikati ya maneno hayo, ni kwamba hakuna mtu aliyetangaza kumwaga damu, na ndo maana hakuna yoyote ambaye amefikishwa mbele ya sheria kujibu tuhuma hizo. Isipokuwa lisemwalo lipo, kama halipo laja, yeyote anaweza kuanzisha. Tafakari chukua hatua.
 
mara akawaambia wananchi ,,nitawaletea daraja'' wanananhi wakamjibu kuwa hatuna mto

ndipo akaongeza kwa kusema '' na mto pia nitaleta''

huyu kikwete achunguzwe akili maana anaongea bila kufikiri
 
Sheria ipo na inatakiwa ifanye kazi la sivyo tusidanganye watu. Kamateni hiyo mitu inapeleka nchi pabaya.
 
KIKWETA TUNAKUPENDA SANA LKN KURA ZA HAPANA ZIMEKUPENDA ZAIDI HIVYO ACHIA NCHI NCHI INAYUMBA KAMA GARI LILILOVUNJIKA CENTER BOLT PLSE KAMA KWELI WEWE NI MZALENDO ACHIA NGAZI

nimetumia herufi kubwa nikimaanisha
 
JK achana na mambo hiyo!!!!! Utajimaliza mwenyewe????? Radio na magazeti ya kiislamu(radio imani, magazeti ya annoor na alhuda) yanahubiri udini mkubwa mno huku yakimchafua waziwazi Dr. Slaa(ambaye wao humwita Padre Slaa)!!!! na wakati huohuo yakimpa JK sifa kemkem(hata ambazo hana)....Vyombo hivi vya habari vimediriki kuwaaminisha waislam kuwa makosa yaliyofanywa na marais wastaafu wa kiislam walisingiziwa tu ila hawakufanya wao bali yalifannywa na wasaidizi(au viongozi wenzao) wa kikristo....mfano ni mauaji ya Pemba, na yale ya Mwembe Chai!!!!!! Mbegu hii mbaya ya udini inayopandwa na wenzetu waislam haijawahi kukemewa na serikali hata mara moja!!!!!!! Badala yake, serikali na CCM wamekuwa ikikejeli matamshi yoyote yanayotolewa na viongozi wa dini ya kikristo (e.g., Kakobe and more recently Malasusa) hata kama yanatoa angalizo la kawaida juu ya uchaguzi lisilo na udini wowote!!!!!

Hii inatoa taswira kuwa serikali ya CCM haikerwi na udini unaoipa CCM competitive advantage ya forthcoming election....ila wanakerwa na udini ambao hauifagilii CCM..... Jicho hili la kengeza la JK lidhibitiwe mapema kabla halijaleta mazara kwa taifa.....
Mkuu wangu tafadhali!...
Tunapozungumzia swala la JK ni muhimu kuli isolate lenyewe na maswala mengine yaliyokwisha pita kwa sababu Udini haukuletwa na Waislaam bali sisi wote ni wahusika wa mijadala ya kipumbavu iliyokuwa ikitokea miaka ya Nyuma. Toka Nyerere, Mwinyi, Mkapa na hata JK tumekuwa tukitumia sana maneno ya udini kiasi kwamba haina mwanzilishi isipokuwa ni baadhi ya watu wanaotaka kutumia dini kama sababu ya matatizo yao.

Huyu huyu JK toka ameingia madarakani amekuwa akisemwa kwa Udini na kwamba sijui baraza lake la mawaziri, makatibu wakuu na kadhalika wake ni Waislaam.. watu wamekuwa wakifuatilia kila mtu alochaguliwa kwa dini yake hapa hapa JF na tumeyaona haya! Hivyo hivyo wakati wa Mwinyi hadi Mkapa, watu wamekuwa wakitaka Uuwiano wa dini ktk uongozi wa nchi pasipo kujali uwezo wa mtu hata kama....

Viongozi wetu wamekuwa wakitumiwa sana na hizi propaganda za udini kuonyesha chuki zetu baina ya dini hizi. Mimi nina hakika kuna chuki kubwa sana baina ya Waislaam na Wakristu na imejificha ndani ya mioyo ya watu ila huitumia tu pale wanapoona salama kwao na ndio maana kila siku mnatumia neno HAO,WALE, WAO hali mkitaka tuamini kwamba sisi wote ni Watanzania.

Hivyo, swala la JK na CCM kutangaza udini dhidi ya Dr.Slaa ni swala linalozungumziwa na hata wakristu ndani ya CCM. Wapo viongozi wakristu ndani ya CCM wanatumia propaganda hizi kisiasa na hivyo sisi wannchi tunatakiwa kuwa makini sana tunapotumia jina la Uislaam kwa sababu tu gazeti la Alnoor limeandika maandishi kadhaa hali yapo magazeti kibao na radio za Kikristu zinazotukana sana Uislaam na hata viongozi wake...Lakini maadam hawa wote ni wanafiki binafsi siwezi kuwaweka ktk kundi la Wakristu wenye imani ya kweli ila chuki hivyo ghadhabu zao humalizia ktk mijadala wanapopewa nafasi..

Kikwete kuzungumzia Udini hali chama na wanachama wake ndio wamekuwa wepesi kumhukumu DR.Slaa na Chadema ni sawa na kupelekea wananchi ujumbe kwamba Dr.Slaa ni Mkristu na Chadema na chama cha Wachagga ndio maana kawekea sana mkazo kuhusu UDINI naq UKABILA akiwa na maana wananchi wajihadhali na Upinzani..Ni muhimu sana sisi wananchi wapigakura kufahamu nini dhamira ya mhusika kabla hujafikia kulaumu dini nyinginezo. Kikwete maji ya shingo, hivyo ni sawa na mfa maji ambaye hutapatapa na kuvamia hata unyasi akifikiria utaweza kumwokoa. Na atakufa kama Kikwete na CCM yake hakuna Uislaam wala Ukristu hapo!
 
now i believe, JK huna sera, unahubiri udini, ukabila, umwagaji damu kupotosha watu, hivi JK iweje unawahadaa watu, mara nyingi maneno yako kumwaga damu every time vp ww? mara udini heeh, mzee are ok? ukabila mmmh, upo soooooooo negative kupotosha watu na unadanganywa na magazeti uchwara, shauri yako. ww ndiye mdini saaaaana period. halafu ni nani CCM anagombea urais, ni Baba, mama au watoto ? mm sielewi naona mnawamia tu majukwaa vululu vululu, vp? Green guard wako huko Tarime wamesha mwaga damu, ww unazidi kutudanganya kama ss wote wajinga, mafisadi unawabeba, mikataba mibovu ww kimya, drug dealers unawajua ww kimya, wafanyakazi unawatisha na hawa ndio wanangugu kibao mm sijui mwaka huu oooohhhh, DR Slaa akisema nyie CCM ndio mnasubiri kutenda tumpe nafasi period, alisema EPA mkakataa, baadae ukweli ukajulikana, juzi tu kasema vifaa vya ujenzi atavishusha bei ili watu waweze kujenga makazi bora, then Serikali yako kupitia wizara ya viwanda, biashara na masoko ( katibu mkuu mwananke) kasema watashusha bidhaa za ujenzi now we are feed up DR Slaa is our only choice
 
nafikiri amesahau nasaha ambazo alitakiwa kusema na kuwakemea waislamu wenzie
pale alipokuwa mgeni rasmi wa sherehe za idd kule tanga sasa anazitoa kwenye kampeni
kweli elimu si wingi wa kukusanya madarasa, bali ni kuongezeka kiuelewa,
mwe! mwe! mwe! mwe! kyama kya mapindusi huyu jamaa mmekyemusya mnoo wajameni
 
Anajisumbua. Watanzania walishapiga kura kabla ya 31 october mwambieni aanze kudeki ile nyumba yake pale msitu wa Chalinze
 
JK has lost his mind...as the president he must arrest anyone who wants to breach peace and security of the country. What he does now is politics at best. Bora anyamaze tu maana sikio la kufa huwa halisikii dawa
 
Ni jambo jema na la hekima kupinga udini athari zake wote tutazipata
Aache udini kwanza yeye maana yeye na chama chake ndio waasisi wa udini. Mnaficha nini kumwambia? Leo baada ya hoja zake za udini kukataliwa bungeni ndio anaona athari za udini? imekula kwake maana anabwagwa na hakuna issue za udini hapo.

Sisi m ndio walianzisha hoja ya udini hata kabla kampeini hazijaanza na sasa muasisi wa propaganda za udini amezinduka na kujisema.
 
Big up JK !!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!Let Wananchi be alerted,nobody to be relented for wrong decision.bravooooooooooooooooooooooooooooo CCM !!!!!!!!!!!!!!!!!!!!vote for CCM
sisi m :A S thumbs_down::A S thumbs_down::A S thumbs_down::A S thumbs_down::A S thumbs_down::A S thumbs_down::A S thumbs_down::A S thumbs_down::A S thumbs_down::A S thumbs_down::A S thumbs_down::A S thumbs_down: dont vote for sisi mafisadi but vote for Dr Slaa and Chadema.:A S thumbs_up:
 
Jamani wana JF,
fORUM hii ni ya wana "Great Thinkers". Ukweli ni kwamba lipo kundi la waislamu wenzetu ambao hapo nyuma wamekuwa wakilalamika kuwa wamebaguliwa hasa katika nyanja za elimu na uchumi na kutupa lawama kubwa kwa Hayati Mwl Nyerere kuwa alikuwa anawapendelea Wakatoliki na kwamba serikali inaendeshwa kwa shinikizo la maaskofu. Alipochaguliwa Rais MWISLAMU, basi kundi hili likadhani wamepata mkombozi wao, wazo ambalo kabisa ni la kipuuzi. Ndio maana anapokosolewa kakikundi haka, kanadhani anapingwa kwa sababu ni Muislamu. Maskini, wangejua!!

Kwa kuwepo dhana hii ndio mzizi wa mjadala wa udini ambao kwa bahati mbaya ndiyo unaanza kuwakumba hata viongozi wetu ambao wamejipendekeza kwa dini moja kiasi cha kuingiza hoja ya Mahakama ya kadhi katika ilani ya uchaguzi uliyopita kinyume na katiba, na wakati mwingine kuoneka mstali wa mbele katika Harambee za Makanisa ili kujionyesha.

Ninacho washauri wana JF tuache kutia utambi katika mambo ya udini, na ukabila. Haya ni mambo ya watu waliokata tamaa na wasiokuwa na maono. Ukiona mtu anajikita katika udini ili aungwe mkono, huyo tayari keshaona kashindwa, anawatafuta wajinga kwa mgongo wa dini apate kuungwa mkono. Dini HAITUSAIDII CHOCHOTE, tunataka mgombea jasiri wa kupigana na mafisadi hata kama hana dini, mzalendo hasa, ambaye hana uswaiba na wezi wanaotumia siasa kama kichaka cha kuficha maovu yao.

Ni kweli Mwl alionya kuwa Tanzania sasa tunaanza kuongelea mambo ya udini, basi kazi yetu wote kukemea kirusi hiki kisiingie katika kizazi hiki wal kijacho, wala asiwepo anayeshabikia upuuzi huu
 
Mkuu wangu tafadhali!...
Tunapozungumzia swala la JK ni muhimu kuli isolate lenyewe na maswala mengine yaliyokwisha pita kwa sababu Udini haukuletwa na Waislaam bali sisi wote ni wahusika wa mijadala ya kipumbavu iliyokuwa ikitokea miaka ya Nyuma. Toka Nyerere, Mwinyi, Mkapa na hata JK tumekuwa tukitumia sana maneno ya udini kiasi kwamba haina mwanzilishi isipokuwa ni baadhi ya watu wanaotaka kutumia dini kama sababu ya matatizo yao.

Huyu huyu JK toka ameingia madarakani amekuwa akisemwa kwa Udini na kwamba sijui baraza lake la mawaziri, makatibu wakuu na kadhalika wake ni Waislaam.. watu wamekuwa wakifuatilia kila mtu alochaguliwa kwa dini yake hapa hapa JF na tumeyaona haya! Hivyo hivyo wakati wa Mwinyi hadi Mkapa, watu wamekuwa wakitaka Uuwiano wa dini ktk uongozi wa nchi pasipo kujali uwezo wa mtu hata kama....

Viongozi wetu wamekuwa wakitumiwa sana na hizi propaganda za udini kuonyesha chuki zetu baina ya dini hizi. Mimi nina hakika kuna chuki kubwa sana baina ya Waislaam na Wakristu na imejificha ndani ya mioyo ya watu ila huitumia tu pale wanapoona salama kwao na ndio maana kila siku mnatumia neno HAO,WALE, WAO hali mkitaka tuamini kwamba sisi wote ni Watanzania.

Hivyo, swala la JK na CCM kutangaza udini dhidi ya Dr.Slaa ni swala linalozungumziwa na hata wakristu ndani ya CCM. Wapo viongozi wakristu ndani ya CCM wanatumia propaganda hizi kisiasa na hivyo sisi wannchi tunatakiwa kuwa makini sana tunapotumia jina la Uislaam kwa sababu tu gazeti la Alnoor limeandika maandishi kadhaa hali yapo magazeti kibao na radio za Kikristu zinazotukana sana Uislaam na hata viongozi wake...Lakini maadam hawa wote ni wanafiki binafsi siwezi kuwaweka ktk kundi la Wakristu wenye imani ya kweli ila chuki hivyo ghadhabu zao humalizia ktk mijadala wanapopewa nafasi..

Kikwete kuzungumzia Udini hali chama na wanachama wake ndio wamekuwa wepesi kumhukumu DR.Slaa na Chadema ni sawa na kupelekea wananchi ujumbe kwamba Dr.Slaa ni Mkristu na Chadema na chama cha Wachagga ndio maana kawekea sana mkazo kuhusu UDINI naq UKABILA akiwa na maana wananchi wajihadhali na Upinzani..Ni muhimu sana sisi wananchi wapigakura kufahamu nini dhamira ya mhusika kabla hujafikia kulaumu dini nyinginezo. Kikwete maji ya shingo, hivyo ni sawa na mfa maji ambaye hutapatapa na kuvamia hata unyasi akifikiria utaweza kumwokoa. Na atakufa kama Kikwete na CCM yake hakuna Uislaam wala Ukristu hapo!

That is it bro!, hii ni janja ya wahuni na matapeli ndani ya CCM. Wanatumia dini na ukabila kum-descredit yeyote on their way na hii si mara ya kwanza. In fact si mjadala au onyo genuine kuhusiana na hatari ya udini na ukabila kwenye siasa. Lakini kubwa linalonishangaza ni kwa nini JK ameamua naye kuingia kwenye siasa za namna hii tena hadharani???? Hizi ni siasa za akina Makamba, Guninita type.........

Why him? Hivi haelewi kwamba yeye bado ni raisi wa jamuhuri ya Tanzania?????????
 
USHAURI KWA WAANGALIZI HAWA WA KIMATAIFA: Waache Tabia ya kulala na kusubiri siku ya uchaguzi ndio waanze kufanya 'uangalizi wao wa kisanii' utakaoleta majibu yale yale ya Zimbabwe...! Hawa jamaa wanatakiwa waambatane na Wagombea wanakokwenda, waone performance zao, Wasikilize ni yupe anaeneza uchochezi, kauli zao na kukubalika kwao ili baadaye hawa CCM watakapochakachua matokeo na kujitetea kwa uharibifu wao, Waangalizi hawa waweze kuwa Mashahidi kule the Heaugue, Mahakana ya Kinataifa dhidi ya wachochezi hawa!
 
JK achana na mambo hiyo!!!!! Utajimaliza mwenyewe????? Radio na magazeti ya kiislamu(radio imani, magazeti ya annoor na alhuda) yanahubiri udini mkubwa mno huku yakimchafua waziwazi Dr. Slaa(ambaye wao humwita Padre Slaa)!!!! na wakati huohuo yakimpa JK sifa kemkem(hata ambazo hana)....Vyombo hivi vya habari vimediriki kuwaaminisha waislam kuwa makosa yaliyofanywa na marais wastaafu wa kiislam walisingiziwa tu ila hawakufanya wao bali yalifannywa na wasaidizi(au viongozi wenzao) wa kikristo....mfano ni mauaji ya Pemba, na yale ya Mwembe Chai!!!!!! Mbegu hii mbaya ya udini inayopandwa na wenzetu waislam haijawahi kukemewa na serikali hata mara moja!!!!!!! Badala yake, serikali na CCM wamekuwa ikikejeli matamshi yoyote yanayotolewa na viongozi wa dini ya kikristo (e.g., Kakobe and more recently Malasusa) hata kama yanatoa angalizo la kawaida juu ya uchaguzi lisilo na udini wowote!!!!!

Hii inatoa taswira kuwa serikali ya CCM haikerwi na udini unaoipa CCM competitive advantage ya forthcoming election....ila wanakerwa na udini ambao hauifagilii CCM..... Jicho hili la kengeza la JK lidhibitiwe mapema kabla halijaleta mazara kwa taifa.....

Mbona hujazungumzia gazeti la kiongozi na radio maria,tumaini na Tv mbalimbali zinazomfagilia Padre Slaa.

Kumbuka lisemwalo lipo tena sana. Chadema acheni ukatoliki na ukaskazini.

Jiulize ni viti maalum wamepata wakatoliki na wakaskazini asilimia ngapi?
 
Back
Top Bottom