Kikwete (Rais Mstaafu) ni Muungwana kuliko, mwenye huruma na utu uliopitiliza

Kyambamasimbi

JF-Expert Member
Feb 7, 2022
570
1,229
Jamani habari wanajf, ukweli Rais Mstaafu Dkt. Kikwete ni kiongozi wa kipekee Sana tangu nianze kuwafahamu viongozi wengine. Ni kiongozi anayeguswa na matatizo ya watu moja kwa moja hasa misiba, na matukio ya kijamii. Mhe. Kikwete hajawahi kusikia Msiba kwa watu ambao unafikika akashindwa kufika. Ni Kiongozi aliyejishusha kuliko. Nani kiongozi Kama Dkt. Kikwete. Ubarikiwe Sana Mhe. Tumuombe Sana huyu kiongozi wetu Mstaafu. Leo nimemuona kwenye Msiba wa mke wa mtangazaji Gerald Hando. Viva Dkt. Kikwete.
 
na mie nilikuepo pale msibani na nimeguswa na msiba huu sana...

, Je, sistahili Baraka kama hizo unazomuombea JK, na sistahili kuombewa pia kama JK?

JK ni kiongozi, ameguswa na hujihusisha ktkt matukio mbalimbali katika Jamii mathalani misiba....

Pia mie ni kiongozi ninaeguswa na kujihusisha na matukio miongoni mwa Jamii kama vile misiba nastahili Baraka, maombi na kutambulika pia au unaonaje 🐒

mitusi napokea pia....
 
Pia mie ni kiongozi ninaeguswa na kujihusisha na matukio miongoni mwa Jamii kama vile misiba nastahili Baraka, maombi na kutambulika pia au unaonaje

mitusi napokea pia....
Trust me ungekuwa na status kama ya mzee JK unajiona keki
 
Jamani habari wanajf, ukweli Rais Mstaafu Dkt. Kikwete ni kiongozi wa kipekee Sana tangu nianze kuwafahamu viongozi wengine. Ni kiongozi anayeguswa na matatizo ya watu moja kwa moja hasa misiba, na matukio ya kijamii. Mhe. Kikwete hajawahi kusikia Msiba kwa watu ambao unafikika akashindwa kufika. Ni Kiongozi aliyejishusha kuliko. Nani kiongozi Kama Dkt. Kikwete. Ubarikiwe Sana Mhe. Tumuombe Sana huyu kiongozi wetu Mstaafu. Leo nimemuona kwenye Msiba wa mke wa mtangazaji Gerald Hando. Viva Dkt. Kikwete.
Kama muungwana angemchinjia shosti yake Lowasa bahari
 
na mie nilikuepo pale msibani na nimeguswa na msiba huu sana...

, Je, sistahili Baraka kama hizo unazomuombea JK, na sistahili kuombewa pia kama JK?

JK ni kiongozi, ameguswa na hujihusisha ktkt matukio mbalimbali katika Jamii mathalani misiba....

Pia mie ni kiongozi ninaeguswa na kujihusisha na matukio miongoni mwa Jamii kama vile misiba nastahili Baraka, maombi na kutambulika pia au unaonaje 🐒

mitusi napokea pia....
mkuu wewe pia unastahili pongezi hakika una moyo wa utu.

ila kibongobongo kiongozi mkubwa kuhudhuria shughuli za kijamii kama misiba,harusi n,k ni kwa nadra,maranyingi wanabanwa na ratiba zao au vinginevyo.
 
na mie nilikuepo pale msibani na nimeguswa na msiba huu sana...

, Je, sistahili Baraka kama hizo unazomuombea JK, na sistahili kuombewa pia kama JK?

JK ni kiongozi, ameguswa na hujihusisha ktkt matukio mbalimbali katika Jamii mathalani misiba....

Pia mie ni kiongozi ninaeguswa na kujihusisha na matukio miongoni mwa Jamii kama vile misiba nastahili Baraka, maombi na kutambulika pia au unaonaje

mitusi napokea pia....
Mkuu, unastahili mara 100 ya yule mzee. Yule mzee namuonaga ni Mnafiki mkubwa.

Lazima aendelee kuuma na kupuliza ili akupumbaze, lakini ndani yake hana wema wowote. Mtizame katika jicho la tatu mkuu.
 
na mie nilikuepo pale msibani na nimeguswa na msiba huu sana...

, Je, sistahili Baraka kama hizo unazomuombea JK, na sistahili kuombewa pia kama JK?

JK ni kiongozi, ameguswa na hujihusisha ktkt matukio mbalimbali katika Jamii mathalani misiba....

Pia mie ni kiongozi ninaeguswa na kujihusisha na matukio miongoni mwa Jamii kama vile misiba nastahili Baraka, maombi na kutambulika pia au unaonaje

mitusi napokea pia....
Inawezekana nawe una moyo kama wake ila yeye ni Kiongozi anayejukikana pakubwa.
Kama nawe ni kiongozi unayejulikana sawa, ila hapa jf unaonekana wa kawaida maana hujulikani.
 
Kuna mshua moja alikua jirani hapa mtaani alikua mtu poa sana ni mtu anayeguswa na matatizo ya watu hasa misiba yuko sikukuu atapita nyumba za wahitaji na kutoa kama ni pesa atawapa zawadi atatoa pia ila siku amekuja kukamatwa pale kwa kufanya biashara ya dawa za kulevya hakuna aliyeamini kila jirani alimtetea lakini ndo ilibaki hivyo
 
Ma Don wa Mafia wale Mafioso Capo di Tutti Capi lazima wawe hivyo.

Wako active sana kanisani, wanasaidia sana jamii.

Lakini kwenye u Mafia sada...
 
Back
Top Bottom