Kikwete on WEF Panel (Video)

Mikutano dizaini hii tuwe tunampeleka Rais Mstaafu Ben Mkapa. Marekani hawaoni aibu kumpeleka Rais Mstaafu Bill Clinton.

Kwanza Mh. Ben Mkapa ana muda wa kusoma makabrasha, uwezo wa dosoa mambo haraka anao, pia mtiririko wa hoja anao.

Hii ni nafasi for the young turks kujifunza toka kwa Mh. Ben Mkapa namna ya kuiwakilisha ktk jukwaa la kimataifa (Mh. Mkapa amejifunza toka kwa Mwl Nyerere) maana masuala mengine huwezi kuyatambua ukiwa Chuo cha Diplomasia, serikalini, UDSM n.k

Lazima tukubali kuna kitu cha kujifunza positive toka kwa Mh.Mkapa(Jukwaa la Kimataifa) mbali na mapungufu yake, ikiwa kina George W Bush, Bill Clinton, Tony Blair n.k tunajua mapungufu yao, kwa nini tunashangaa mapungufu ya Mh. Mkapa ktk nyanja zingine?
 
People are funny in here. I doubt very much that if a handful of you can even spit in English proficiently. But when it comes to Monday morning quarterbacking (about someone's language skills) you are always there on the frontline.

Haa! We vipi?
Why are you trying to assess a student not in your classroom? Don’t shield our governor’s weaknesses using flimsy counteraccusations. He is there for our assessment.

He is a politician, on our highest political platform therefore very well exposed to everybody to see him in this country. Given his historical (or Biography) background: A graduate, a former deputy minister, A full minister (especially) commanding the famous foreign ministry, and since assuming the current presidency, who has traveled than Sindbad, Why should stammering persist?

Remember, it is only when he speaks English (Indicating never learn by experience). When he does in Kiswahili, that is where you hear all the idioms. Wahenga walisema ….., Kula uliwe …….. and all unnecessary adages.

Now that you are vindicating him from that, five (5) years on power how about his comprehension of the economic problems of our country?.
 
People are funny in here. I doubt very much that if a handful of you can even spit in English proficiently. But when it comes to Monday morning quarterbacking (about someone's language skills) you are always there on the frontline.

Hata Watanzania wengi waliosoma vyuoni nje ya nchi yetu, na ambao wanaishi katika nchi ambazo zinatumia Kiingereza kama lugha yao ya kwanza - UK, USA, Canada, Australia na nchi zingine - wanazungumza Kiingereza kibovu. Wengi wao hawamkaribii Kikwete. Wanachojaribu mara nyingi ni kuwaiga Waingereza, Wamerika na wengine wanavyotamka. Lakini ukisikiliza grammar yao, it's rotten. It stinks. Watanzania wengi hapa nchini ambao hawakusoma katika nchi hizo wanajua Kiingereza kuliko Watanzania wengi wanaoishi UK, USA, Australia na ambao walisoma huko.

Kikwete anajua Kiingereza. Anazungumza Kiingereza vizuri kuliko hata mawaziri wake waliosoma nje ya Tanzania, kwa mfano Bernard Membe. Membe hazungumzi Kiingereza vizuri kama Kikwete. Kuna maprofesa wetu hapa Tanzania ambao hawazungumzi Kiingereza vizuri kuliko Kikwete.

Hata Gavana wa Benki, Benno Ndulu, ukimsikiliza vizuri, utaona kwamba hazungumzi Kiingereza vizuri kama Kikwete ingawa amemzidi elimu na aliwahi kuwa profesa. Msikilize pamoja na kwenye video iliyowekwa hapa Jamii Forums alipohojiwa UK.

Tatizo la Kikwete ni kwamba anazungumza kama si mtu aliyesoma sana ingawa alisomea economics. Hazungumzi kama Nyerere na Mkapa ambao pia ujuzi wao katika lugha ya Kiingereza ulikuwa ni wa juu sana. Zaidi ya hayo, Mkapa na Nyerere walijua walichokuwa wanazungumzia. Pia walikuwa ni watu ambao wamesoma sana.

Kwahiyo lugha si tatizo ingawa ni muhimu kuijua vizuri ili ueleweke unapozungumza na watu na unapohutubia mikutano. Muhimu zaidi ni elimu. Unaweza kujielimisha zaidi kuliko ulivyofundishwa shuleni. Kikwete na wenzake wanaweza kufanya hivyo wakisoma vitabu ambavyo inabidi wavisome, na articles muhimu katika journals mbali mbali ambazo ni vizuri wazisome, ikiwa wanaka kuwa na broad knowledge katika mambo wanayoyazungumzia.

Si lazima Kikwete awe msomi kama Nyerere ambaye alimshangaza Kissinger alipokuja hapa Tanzania 1976. Profesa Kissinger alijaribu kum intimidate Nyerere na elimu yake. Kwa mfano, during their verbal exchanges, he quoted different philosophers, and Nyerere finished the sentence. Kissinger quoted from different works of Shakespeare and others - and Nyerere finished the rest, also quoting from them.

Baada ya ziara hiyo ya Kissinger and what happened in Dar during the meeting between the two leaders, "The Washington Post" described Nyerere as "professorial."

Mkapa came close, very close, to Nyerere katika lugha na broad knowledge. Unfortunately, Kikwete is far behind them, ingawa Kiingereza chake si kibovu and he speaks better than most of his colleagues in the government and even better than some professors here in Tanzania.
 
Dah wabongo siye..mfano wake unanikumbusha misemo ya watu wa vyuo vikuu vya bongo eti bachelors ya bongo ni sawa na masters ya ulaya!!
Mengine ni kama umerudia kilichokwisha semwa.
 
Mi nakumbuka enzi za udogoni tulikuwa tunadanganyana eti jeshi la Tanzania linaweza kulipiga jeshi la Marekani na bogo ilikuwa kali sana kwa u-spy....Lol
 
Kwenye majadiliano hayo, Kikwete alikwepa hata kusema yeye ni economist. Alisema yeye ni mwanasiasa na hajui ikiwa anafaa awe ndiyo wa kwanza kujadili masuala yanayolihusu bara letu; badala ya kuongeza kusema kwamba ingawa yeye ni mwanasiasa, ni mwanasiasa ambaye pia alisomea uchumi.

Lakini hakutaka kusema hivyo kwa sababu hakuwa tayari kuzungumzia masuala ya kiuchumi kwa undani. Inaonyesha ni elimu gani anayo katika economics ingawa alipokuwa mwanafunzi UDSM miaka ile, kulikuwa na maprofesa wa economics maarufu sana, kama mzalendo mwenzetu Kassim Guruli, John Saul kutoka Canada, na wengineo.

Ikiwa viongozi wetu hawawezi kutuwakilisha vizuri wakienda nchi za nje, hata wakiwa hapa nchini Tanzania wanapokutana na wageni, ingekuwa vizuri wangewachagua wasomi kutoka wizara mbali mbali au hata kutoka vyuoni, na ambao wanazungumza vizuri, waende kutuwakilisha badala ya kuaibishwa hivyo.

Msikilize Bernard Membe alipokuwa University of Edinburgh kwenye kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere. He couldn't even express himself well although he has a master's degree in international relations. Na huyu ndiye mwakilishaji wetu mkuu next only to the president ambaye pia ana matatizo in terms of knowledge although he speaks better than the foreign affairs minister.

Mara ngapi tutaendelea kusema ni Nyerere na Mkapa tu ambao walikuwa na uwezo wa kuzungumza na kutuwakilisha vizuri in terms of addressing subjects, which they did very well with their comprehensive knowledge? And they were the only intellectual presidents Tanzania has had so far.

Raisi atakayefwata baada ya Kikwete mwaka wa 2015 does not necessarily have to be an intellectual like Nyerere and Mkapa; what's important is that he should be intelligent and knowledgeable; knowledgeable enough to articulate his or her position effectively, with logic and compelling arguments backed up with facts, figures, and empirical evidence, instead of spewing empty rhetoric.
 
Mi nakumbuka enzi za udogoni tulikuwa tunadanganyana eti jeshi la Tanzania linaweza kulipiga jeshi la Marekani na bogo ilikuwa kali sana kwa u-spy....Lol

Sometimes you have to think big, nani aliamini Marekani inaweza kushambuliwa ndani ya USA wakati CIA na FBI ipo, nani alijua kuwa Urusi inaweza kushambuliwa nchini mwao wakati KGB ipo, au huko Israel ikashambuliwa wakati Mossad ipo.

Mojawapo ya mbinu ni kuwatisha wapinzani wako kuwa chochote unachofikiria, unachopanga vyombo vya usalama vinajua, hivyo magaidi ambao sio jasiri watafyata mkia- simple end of the story.
 
Nikisoma komenti za Lumumba walivyokuwa wanaupamba mkutano huu na leo wanavyouponda nashindwa kabisakuwatofautisha na nyumbu.
 
Back
Top Bottom