Kikwete on WEF Panel (Video)

The man is too shallow,he cant even raise a serious aurgument equivalent to his legacy ktk international politics.point zake nyingi hazina malengo ya kumkomboa mtanzania soon,it is so sad but ndo ukweli wenyewe

Ofcourse,if the truth were to be told,we have a serious as society! Mpaka hapa,the president alitakiwa iwe ndo term yake ya mwisho,we need a serious reform>he cant bear that.
 
The man is too shallow,he cant even raise a serious aurgument equivalent to his legacy ktk international politics.point zake nyingi hazina malengo ya kumkomboa mtanzania soon,it is so sad but ndo ukweli wenyewe

Ofcourse,if the truth were to be told,we have a serious as society! Mpaka hapa,the president alitakiwa iwe ndo term yake ya mwisho,we need a serious reform>he cant bear that.

Hili ndilo tatizo letu Tanzania, siasa za chama kimoja mpaka tunatimiza miaka 50. Kwa ufikiri wa kawaida tu, hivi ni wa aina gani anayeweza kukubali kutawaliwa hata na Baba au Mama yake kwa kipindi cha miaka hamsini mfululizo? Liko TATIZO TANZANIA! Kwingineko Afrika pia lipo lakini ni hakika letu ni baya zaidi maana tumejifanya tunayo Demokrasi lakini ni ulaghai mtupu ni ubabe mtupu ni uhuni mtupu na ushirikina uliooza.
 
Kikwete amekosa hata common courtesy, ana chat na moderator wakati delegate wa ADB anaongea, what is this?

Delegate wa China kanimaliza sana around 0:20:00

"You cannot always talk, this is important... you have to make concrete plan to fulfill the plans year by year, day by day, month by month" . Jamaa kasema kweli kabisa, viongozi wa Afrika wanafanya Davos na Paris Club kuwa ni talk shops.Kikwete kaenda ku list vitu katika what I call "stating the obvious", bila data.Bora hata huyu jamaa wa ADB anakupa data halafu anaonekana kuelewa kwamba Africa inatakiwa kuondoka katika dunia ya commodity dependency.Kikwete bado anaongea Smithsonian "comparative advantage of natural resources".

Kikwete kaongea kuhusu economic growth nzuri ya Africa ilivyokuwa sustained bila kutoa figures, even worse hajaonyesha imewafaidisha vipi wananchi wa Africa.Au hata Tanzania nyumbani kwake.

Kikwete anaongelea economic crisis ya 2008- kama "unprecedented", kwa watu wanaochambua neno kwa neno na kuweka ushairi pembeni anaonekana anachemka tu, this crisis is not unprecedented, and if you are judging it from a certain unprecedented angle you better qualify that.

Kikwete anaongea umuhimu wa investment za kutoka nje ya Africa kununua vitu Africa, na kuacha ku outsource sana, kuacha kununua vitu kama maji na chakula kutoka nje.Anaongea kama mtu aliye hana power katika decision making process, kama academician fulani ambaye hana ushawishi serikalini au bungeni, wakati yeye ndiye rais.Atueleze amefanya nini to make this happen, na kama kuna ugumu ni ugumu gani na uondolewe vipi.

Kwenye agriculture nako hivyo hivyo, ana state the obvious, hana jipya, angalau hata Nyerere alikuwa ana dare kuongelea mambo ya subsidies za nchi za magharibi zinazoua agriculture ya Africa (kumbuka the classic Cancun exchange na Reagan/ Thatcher).Nyerere alikuwa anaongea kitu unapata kitu kipya angalau, Kikwete anaongea kama mtoto wa form four anajibu swali kwa kukariri.

Anaongea education hana data, ameshindwa hata kutoa experience yake alivyoanzisha shule kibao za makuti zisizo walimu.

Hopeless.
 
Don't get me started now...did you see him cut them off at times? When someone cuts you off that means he's upset. He kinda lost his cool during some of those exchanges. At one time he didn't even answer the question from Tom Price (of GA, of course).

Now, I'm not saying he's that bad. All I'm saying is he's not a great of a speaker as he's cracked up to be. He's not as he's advertised. He's not persuasive coz if he was then the healthcare bill would have been passed long ago when they had their super majority.

Halafu juzijuzi tu hapa alienda kuongea mbele ya vitoto vya elementary sijui kindergarten vile na akatumia teleprompter. POTUS please!

I don't feel like goin' in on him but if I need to I can...

Jaluo is a 'movement leader' of ' yes we can', but when it comes down to the presidency 'duties' I have a lot of reservations, same I can say of our H.E President.
 
OPP,

Most people can probably afford not to spit this tongue as most people are not POTUR. Kikwete cannot afford not to spit, he is el presidente.

Umemuona Jaluo jana alivyochachafya Reds hapo Baltimore, on live TV no less? Hapo ndipo unaona he wasn't Harvard Law Review editor for nothing. Halafu nisikie tena upuuzi wa teleprompter.

Back to JK, lugha aside. Hata ukim "cut some slack" on grounds kwamba kajifunza ukubwani, tena choo kikuu cha Manzese, JK si mjenga hoja hata akiongea Kiswahili.

Kiingereza hata wazungu wa nchi nyingine wanachemsha, huyo mama anaintroduce hapo anasema "to put our foots together", horrible english, lakini ukimsikiliza unaona ana mtiririko unaotakiwa na unaweza kumsamehe lugha kwani ukisikia accent unaona si mother tongue.English is an illogical language anyway (not me, George Bernard Shaw said that, and I agree) so one's inability to master it may show logical thinking.Tatizo linakuja unaposhindwa kiingereza halafu ukakosa point vile vile.

I doubt ameshawahi kumsikia Ludwig von Mises ingawa anatakiwa kuwa economics major.You can never tell from his output. He might as well be a form four leaver.

Lightweight one at that.

Nakubaliana nawe kabisa ndugu yangu Kiranga.

Kuhusu Kikwete kwenye mjadala huu, hata mimi sina tatizo na command yake ya kiingereza, ni nzuri kabisa na nina imani kuwa anaongea kiingereza vizuri kuliko watu mashuhuri Marekani kama Dr. Henry Kissinger, Governor Arnold Schwarzenegger au Arianna Huffington

Kinachoniumiza ni ile shallowness ya ideas zake. Hana command kabisa kuhusu issues zinazooengelewa hapo. Huyu mtu ni mchumi, lakini haongei kama mchumi anayeona tatizo la umaskini wa Afrika kwa mapana na marefu bali anazungumuza kama mwanasisasa wa mitaani tu anayeongea ili kufurahisha masikio ya wanaomsikiliza. Ni kama amekalalili point za kuongea bila kuziunganisha kwa kina na mawazo yanayotolewa na wengine kwenye mjadala.
 
Kazi kweli kweli. Hivi naomba nihijack hii thread kwa kuomba kuulizwa swali ili niweze kuboost elimu yangu ya uraia ambayo imelala kwa kipidi kirefu Swali: Hivi kipindi hiki ambacho rais na makamu wake hawako nchini ni nani mkuu wa serikali? Je ni PM au Rais wa Zanzibar au ni speaker? thanks

Ni Waziri Mkuu.. tulibadilisha Katiba ili kumaccommodate Lowassa na kumuondoa Spika.
 
Kuhusu Kikwete kwenye mjadala huu, hata mimi sina tatizo na command yake ya kiingereza, ni nzuri kabisa na nina imani kuwa anaongea kiingereza vizuri kuliko watu mashuhuri Marekani kama Dr. Henry Kissinger, Governor Arnold Schwarzenegger au Arianna Huffington

Hapo kwenye bold napingana na wewe. Dr.Kissinger, Arnie, na Arriana wote wanaongea Kiingereza fasaha. Nadhani labda wewe unachanganya lafudhi zao zilizo nzito na kutoongea Kiingereza fasaha. Hivyo ni vitu viwili tofauti kabisa. Hao wote mimi sijawahi kuwasikia wakitumia 'tense' kimakosa na uchaguzi wao wa maneno huwaga ni mzuri tu na wana misamiati ya kutosha kabisa kuzungumza Kiingereza kizuri.

Kinachoniumiza ni ile shallowness ya ideas zake. Hana command kabisa kuhusu issues zinazooengelewa hapo.

Hili mbona mimi nililiona tokea siku nyingi tu...tokea enzi zile akiwa naibu waziri...haikunichukua muda kabisa kutambua kuwa huyu bwana ni lightweight. Nashangaa jinsi watu walivyompapatikia mwaka 2005 alipokuwa mgombea. Sijui waliona nini tu? Nilibishana na watu weeeh mpaka nikaanza kujihisi mwenyewe labda nimechanganyikiwa maana ilikuwa ni mimi peke yangu against everybody mpaka baadhi ya watu wakaacha kuongea nami na wengine kudai eti nilikuwa na wivu.

Huyu mtu ni mchumi, lakini haongei kama mchumi anayeona tatizo la umaskini wa Afrika kwa mapana na marefu bali anazungumuza kama mwanasisasa wa mitaani tu anayeongea ili kufurahisha masikio ya wanaomsikiliza. Ni kama amekalalili point za kuongea bila kuziunganisha kwa kina na mawazo yanayotolewa na wengine kwenye mjadala.

Kwani mchumi ni mtu yeyote tu mwenye shahada moja ya uchumi au mchumi ni title ambayo ni zaidi ya kuwa na shahada moja ktk hiyo fani? Manake mimi sidhani eti kwa vile tu mtu ana shahada moja ya fani flani basi mtu huyo anastahili kuitwa "mchumi" au "mkemia"....
 
Tatizo la Kikwete ni kutojiandaa mapema kabla ya kwenda kwenye mijadala kama hii.Inavyoonekana hapendi kujisomea na siyo mfuatiliaji mzuri wa mambo mbalimbali yanayoendelea duniani.Na hata katika maandalizi yake ya kuwa Rais hakujiandaa pia katika hili kitu ambacho angekifanya kwa uzuri sana alipokuwa Waziri Mambo ya nje kwa miaka 10 mfululizo.
Yaani inafikia tu wiki ijayo kuna forum basi anaandaliwa nondo,labda anaweza kupitia kidogo siku mbili tatu kabla kisha huyoo anakwenda mbele ya jukwaa.Hakai akatafuta informations za ziada kujaza nyama katika issues at hand kama mtu msomi na mwenye kuelewa kilichoandikwa na kitakachojadiliwa.Matokeo yake hata akiingia na desa na akasoma anashindwa kupata points nzuri za kujazia aliyoyasoma.
Yaani inafikia mahali mpaka unamuonea huruma kwa sababu saa nyingine mpaka washiriki wenzake huwa wanamcheka(rejea ile economic forum ya mwaka juzi kama sikosei na yule mama waziri wa kinigeria).
Halafu hivi ni lazima kila mwaka aende yeye kwenye hizi forums?Mimi naona saa nyingine angewaachia wasaidizi wake tu kina Membe halafu yeye akaendelea na mambo mengine muhimu zaidi huko bongo.
 
Mimi nadhani inaashiria Afrika kutokuwa na umuhimu ktk mambo ya kimataifa.

Wameangalia msemaji mwenyewe Kikwete, wakajua atakuja na talking points zake ambazo ukizitaka unaweza kuzipata kutoka The Eonomist weekly, in a better format and delivery, why waste time listening to Kiwete?
 
Wameangalia msemaji mwenyewe Kikwete, wakajua atakuja na talking points zake ambazo ukizitaka unaweza kuzipata kutoka The Eonomist weekly, in a better format and delivery, why waste time listening to Kiwete?

And he's the only head of state there...this guy loves the limelight man...
Kwa sababu kama sikosei, Zuma naye alikuwepo hapo Davos...lakini kwenye hii panel discussion hayupo. Labda alishiriki kwenye zingine na ma heavyweights kama Bill Clinton kwani na yeye alikuwepo huko. I'm not making it a big deal, however, it's just an observation.
 
mwenzenu huwa nasikia maumivu kabisa kumuangalia akizungumza. Yaani ni kama tunamuonea hivi.

Kweli ukimuangalia JK unamuonea huruma...hata kile alichoandikiwa kwenye karatasi hana ujasiri wa kukizungumza kutoka kichwani na kuongezea uzoefu wake wa hali halisi. Pale alipo hakuna mtu anayeijua Tanzania kama yeye lakini cha kusikitisha yeye anaongea kama kwamba anaishi nchi nyingine na Tanzania ameisoma kwenye vitabu..!!!

Hebu angalia alivyojazia jibu la huyo Dada wa Israeli..what a load of crap.


JK hakufaa kuwa President, kwa sababu HANA UWEZO...period.
 
Ukimsikiliza Mkapa huna haja ya kuuliza kama huyu ni President wa Tanzania...anayejua matatizo ya nchi yake, shida anazopata kuandaa bajeti na hata matatizo ya ahadi hewa anazopata kutoka nchi tajiri. Mkapa alikuwa na uwezo wa kuwa President lakini kila nikikumbuka KIWIRA etc sina hamu naye hata kidogo.

Ila Mkapa anaongea kwa kutumia maguvu sana aisee! Au anaongea kwa jazba? Nakumbuka kwenye Hardtalk yeye na Tim Sebastian...nilidhani bwana Sebastian angepigwa kabali...Lol
 
Ila Mkapa anaongea kwa kutumia maguvu sana aisee! Au anaongea kwa jazba? Nakumbuka kwenye Hardtalk yeye na Tim Sebastian...nilidhani bwana Sebastian angepigwa kabali...Lol

Mkapa bonge la mbabe, na limwili lake lile tena lilivyokaa kiajabu ajabu anasema utafikiri ana anger management problem, amekuwa kwenye system so long anajifikiria ni infallible kama pope or something.Probably alikuwa anaamini ana divine mandate kutawala kama wale wafalme wa kichina wa zamani.
 
Back
Top Bottom