Kikwete On TBC1: Aongea na wazee wa mkoa wa Dar

anasema sisi kwetu lazima mawaziri wawe wabunge

Badala tupate Mawaziri kulingana na taaluma zao, anasisitiza 'tupate mawaziri kutokana na siasa' hii ni shida sana na ndio maana mtu kama Zakia Meghji aliwahi kuwa waziri wa AFYA, MALIASILI na FEDHA sasa ukujiuliza taaluma yake ni nini hupati picha. Au alisomea uwaziri? Hatutaendelea na namna hii ya kufikiri, ndio maana hata tulikuwa na akili ya kupandisha bei ya mafuta ya taa kuzuia uchakachuaji ilhali tunasema tuko makini kwenye utunzaji wa mazingira, Mungu saidia hawa watu UBONGO
 
Tatizo la kikwete ni uislam wake, wakristo wengi wana chuki na kwa kuwa wao ndio waandishi wa magazeti ya udaku.
 
kwa taarifa yako-jukwaa hili lina zaidi ya member elfu 40,nazani utaona wangapi hawataki kumfatilia rais wako
wanazidi kuongezeka!!

There are currently 609 users browsing this thread. (207 members and 402 guests)
 
Wanabodi,
Leo nataka kuanzisha zogo jingine jipyaaaaa!... Taralilaaaa!

Inakuwaje Viongozi wetu wote toka waliotangulia akiwepo na Nyerere walikuwa wakikutana na wazee wa Dar?.. Je kuna ukweli kwamba hawa ndio founding fathers of our nation?

Hao ndio walio karibu karibu...kumbuka hawa anawatumia tu, lengo ni kutoa mipasho kwa CDM.
 
Hapa amechemka zaidi. Anaanza kulisemea bunge? mmh! Ndiyo tatizo la kuwa na kiongozi anayependa kusema kila kitu.
 
Kwa anayoyaongea nimeamini kwa nini alitaka aletewe wazee wa CCM!!, ili mamshangilie hata kwa mambo yasiyo na msingi!!!. Anaongea vitu rahisi kwa matatizo mazito huku akidhani watu wote hawana akili na usomi wao wote ni bure isipokuwa magamba!!!!.
 
Kama ni rais basi watanzania tunaye. Usanii hautamtoka kamwe. Ni kama kidonda ndugu vile. Anaongea na watu waliojichokea eti ndiyo wazee wa Dar. Sijui amewakusanya kutoka wapi!!
 
Raisi wa JMT anahutubia Taifa kuhusu masuala ya UCHUMI na KATIBA mpya ... nyie bado mnamkatia UMEME?

Kweli nimeamini nyie mpo juu ya SHERIA na Katiba!!!
 
naona hata wanaomsikilza wanasinzia-na wengi wamechoka,hii inayonyesha kiasi gani anawaboa hata hao waliopo hapo alipo
what a shame.......
 
Back
Top Bottom