Kikwete ni nabii au mzugaji?

Hakuna ulichopost hapa ni upupu tu. Kuwaza kutenda,kutendwa,kuwasupport watendaji na watendwa,kufanya mzaha ktk area hii ni dhambi kubwa mbele za Mungu, wote kwa ujumla wenu Mungu awasemehe.
 
Kila na jambo na wakati wake.Kwa wakati ule ni sawa alipokuwa anazungumzia gharama za kuitangaza tz na resources zake.Lakini kwa sasa mtu akizungumzia kuwa eti ukitaka kula ni lazima uliwe,huyo muangalie vizuri au kaa naye mbali huenda si riziki!

tena wa kumuogopa kama ukoma
 
Nauliza hivi maana alitwambia kuwa TUKITAKA KULA LAZIMA TULIWE. Je alikuwa ana maanisha nini? Maana sasa Waingereza wamesema mpake tulane ndio tupate misaada. Lakini cha ajabu M'kwere kakaa kimya hataki kutoa tamko. Na jumatano anakuja Mtawala wa hao wanaotulazimisha Tuwasujudie mashoga.

Bujibuji acha kutoa mada ambazo hazina kichwa wala miguu, thread yako imekaa kimzahamzaha sana. JK alipozungumza hilo alikuwa anawatania na tena lilikuwa ni suala la kutangaza utalii wetu nje ya nchi. Matangazo hayo yalitolewa CNN, ndipo katika kuchombeza akasema gharama za matangazo yale ni kama kuliwa na siyo kukung'ung'utwa kama unavyotaka kukuhusianisha na wewe. Hivyo JK is neither msanii nor mzugaji.

Hata mimi nilimsikia wakati akisema....na hata wabunge mwanzoni 'walimwelewa' kama Bujibuji anavyo imply....alvyoona wanacheka(wanamcheka?) ndio ikabidi aseme hamaanishi hicho ambacho wabunge walikuwa wanacheka!

But on a serious note, still ile kauli yake ina apply hata kwenye hili la masharti ya London....sisi tunataka msaada kutoka kwa waingereza ("tunataka kula"), hivyo hatuna budi kukubali masharti ("tukubali kuliwa"). Kimsingi sioni tofauti na huo mfano wa matangazo ya utalii kupitia CNN.....tunataka watutangaze ("tunataka kula") ni lazima tukubali kulipa gharama za matangazo ("tukubali kuliwa").
 
Nauliza hivi maana alitwambia kuwa TUKITAKA KULA LAZIMA TULIWE. Je alikuwa ana maanisha nini? Maana sasa Waingereza wamesema mpake tulane ndio tupate misaada. Lakini cha ajabu M'kwere kakaa kimya hataki kutoa tamko. Na jumatano anakuja Mtawala wa hao wanaotulazimisha Tuwasujudie mashoga.
we taahira membe anafanya kazi ya nani? membe alitoa tamko la nani? Narudia tena kuuliza wewe taahira jibu swali hilo.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom