kikwete ndiye Rais mpenda Demokrasia.

Mie binafsi naomba ofisi kubwa wapewe mashekhe kwa sababu itakuwa rahisi sana kuwahonga, sahani ya pilau tu unapata kiwanja kujenga samora avenue
 
Wewe ni nani aliokuzuwia wewe kwenda kuchukuwa hiyo rasilmali yako? mnaongea utumbo.
Zomba mbona kila wakati unatokwa mapovu mdomoni?? kulikoni??? by the way,.. unaweza kunielekeza sehemu wanakouza urojo poa nikashushie futari ya mkuu??
 
Back
Top Bottom