kikwete ndiye Rais mpenda Demokrasia.

CUF Ngangari

JF-Expert Member
Aug 11, 2011
273
51
katika marais wote waliopita nchini ni kikwete ndiye anayeoneka kuendeleza demokrasia nchini, amevipa uhuru mkubwa vyombo vya habari uhuru mkubwa wa kukosoa serikali yake, maandamano yameruhusiwa kinyume kipindi cha mkapa ambapo serikali yake iliuwa watu zaidi ya 70 katika maandamano yaliyoitishwa na CHAMA CHA WANAINCHI- CUF, Leo magazeti yanachora katuni za kumtusi na kumdhalilisha Rais kikwete, kwa kweli nchi imepiga hatua kubwa kipindi hiki cha kikwete.
 
Sometimes ni mabadiliko ya dunia na kwa Tanzania lazima yaanze kuonekana mapema kwasababu ya umasikini wetu!
 
Huna jipya na hujui utendalo wala unaloliandika, uhuru wa Demokrasia maisha mabovu, demokrasia iliyopo ni ya Chukua Chako Mapema watu wanamaliza Rasilimali zetu huku hakuna hatua zinazochukuliwa. Kwa Demokrasia hiyo namkubali Raisi Kikwete
 
katika marais wote waliopita nchini ni kikwete ndiye anayeoneka kuendeleza demokrasia nchini, amevipa uhuru mkubwa vyombo vya habari uhuru mkubwa wa kukosoa serikali yake, maandamano yameruhusiwa kinyume kipindi cha mkapa ambapo serikali yake iliuwa watu zaidi ya 70 katika maandamano yaliyoitishwa na CHAMA CHA WANAINCHI- CUF, Leo magazeti yanachora katuni za kumtusi na kumdhalilisha Rais kikwete, kwa kweli nchi imepiga hatua kubwa kipindi hiki cha kikwete.

Tehtehtehhh... WAtu wengine bwana.
 
sio siri humu JF leo tunaharibiana cku jamani!! ni menda nin?? democracy?? are u sure?? yan huna tofaut ***** anaitwa MWIBA eti anasema KI-KWETE AONGEZEWE MUHULA MWINGINE!! huu si ujinga au mmetumwa????
 
katika marais wote waliopita nchini ni kikwete ndiye anayeoneka kuendeleza demokrasia nchini, amevipa uhuru mkubwa vyombo vya habari uhuru mkubwa wa kukosoa serikali yake, maandamano yameruhusiwa kinyume kipindi cha mkapa ambapo serikali yake iliuwa watu zaidi ya 70 katika maandamano yaliyoitishwa na CHAMA CHA WANAINCHI- CUF, Leo magazeti yanachora katuni za kumtusi na kumdhalilisha Rais kikwete, kwa kweli nchi imepiga hatua kubwa kipindi hiki cha kikwete.

Eti amevipa uhuru vyombo vya habari? Uhuru upi huo wakati kuna waandishi wa habari wana kesi mahakamani et wanadaiwa kuwa wanaandika habari za uchochezi? Ni sheria ipi hiyo nzuri ya uhuru wa vyombo vya habari aliyobadilisha rais wako? sheria iliyopo ni toka enzi za mkoloni. Elewa pia kuwa suala la uhuru wa vyombo vya habari ni shinikizo la wahisani na kuna chombo kilichoundwa na wamarekani kuchunguza kama kuna uhuru wa vyombo vya habari ktk nchi zinazofadhiliwa na Marekani na kila mwaka huwa wanatoa tathmini ya uhuru wa vyombo vya habari ktk kila nchi.
 
katika marais wote waliopita nchini ni kikwete ndiye anayeoneka kuendeleza demokrasia nchini, amevipa uhuru mkubwa vyombo vya habari uhuru mkubwa wa kukosoa serikali yake, maandamano yameruhusiwa kinyume kipindi cha mkapa ambapo serikali yake iliuwa watu zaidi ya 70 katika maandamano yaliyoitishwa na CHAMA CHA WANAINCHI- CUF, Leo magazeti yanachora katuni za kumtusi na kumdhalilisha Rais kikwete, kwa kweli nchi imepiga hatua kubwa kipindi hiki cha kikwete.

Haya aweke SHERIA ya kama wewe NI FISADI 1. Kunyongwa 2. Jela Maisha

Hapo Tutajua kuwa kweli Anaipenda hii demokrasia ya Kiafrika na Maendeleo ya Wengi
 
Unajuwa JK anafuturisha pale magogoni sasa vibaraka wake kama hawa lazima waende na thread kama hizi ili kumchekesha bwana mkubwa baada ya futari.
 
Nchi ipo katika anguko kuu, we unasema demokrasia!!!!! leo hii mnataka kuendesha nchi kwa viinua mgongo vya wafanyakazi wakati madini yapo. Usipandishe watu hasira bure na we kama umetumwa kaanzia kwa WASIRA na MKAMA na NAPE kuwaeleza haya.
 
naona wana CUF Mnaanza kuwasifia CCM ili kulinda heshima ya ndoa yenu........ MIPOFANYA HIZVI SI NDOA ITAVUNJWA.......
 
katika marais wote waliopita nchini ni kikwete ndiye anayeoneka kuendeleza demokrasia nchini, amevipa uhuru mkubwa vyombo vya habari uhuru mkubwa wa kukosoa serikali yake, maandamano yameruhusiwa kinyume kipindi cha mkapa ambapo serikali yake iliuwa watu zaidi ya 70 katika maandamano yaliyoitishwa na CHAMA CHA WANAINCHI- CUF, Leo magazeti yanachora katuni za kumtusi na kumdhalilisha Rais kikwete, kwa kweli nchi imepiga hatua kubwa kipindi hiki cha kikwete.
Nakubaliana na wewe 100%, na nakugongea LIKE. Wapo wasio ona hilo, na wanadhani ingekuwa awamu ya tatu, wangeweza kuwa na uhuru walio nao wa kuzunguka nchi nzima na m4c. Ni kweli uchumi unayumba, ila uhuru wa kusema na kutoa maoni bila mpaka, hawauoni. NAWAPA POLE, WASIO ONA HILO.
 
katika marais wote waliopita nchini ni kikwete ndiye anayeoneka kuendeleza demokrasia nchini, amevipa uhuru mkubwa vyombo vya habari uhuru mkubwa wa kukosoa serikali yake, maandamano yameruhusiwa kinyume kipindi cha mkapa ambapo serikali yake iliuwa watu zaidi ya 70 katika maandamano yaliyoitishwa na CHAMA CHA WANAINCHI- CUF, Leo magazeti yanachora katuni za kumtusi na kumdhalilisha Rais kikwete, kwa kweli nchi imepiga hatua kubwa kipindi hiki cha kikwete.
jk analazimishwa na nchi za nje. nchi za nje zikimpa msaada hua zinahahakisha aongeze zaidi demokrasia.. asipo fanya hivyo wanakataa kumpa misaada. kumbuka tanzania hata bajeti yetu asilimia 40% tunatengemea msaada.
 
katika marais wote waliopita nchini ni kikwete ndiye anayeoneka kuendeleza demokrasia nchini, amevipa uhuru mkubwa vyombo vya habari uhuru mkubwa wa kukosoa serikali yake, maandamano yameruhusiwa kinyume kipindi cha mkapa ambapo serikali yake iliuwa watu zaidi ya 70 katika maandamano yaliyoitishwa na CHAMA CHA WANAINCHI- CUF, Leo magazeti yanachora katuni za kumtusi na kumdhalilisha Rais kikwete, kwa kweli nchi imepiga hatua kubwa kipindi hiki cha kikwete.
Kumbe katuni ni maendeleo, mbona mkapa kachorwa sana tu
 
Huna jipya na hujui utendalo wala unaloliandika, uhuru wa Demokrasia maisha mabovu, demokrasia iliyopo ni ya Chukua Chako Mapema watu wanamaliza Rasilimali zetu huku hakuna hatua zinazochukuliwa. Kwa Demokrasia hiyo namkubali Raisi Kikwete

Wewe ni nani aliokuzuwia wewe kwenda kuchukuwa hiyo rasilmali yako? mnaongea utumbo.
 
Unajuwa JK anafuturisha pale magogoni sasa vibaraka wake kama hawa lazima waende na thread kama hizi ili kumchekesha bwana mkubwa baada ya futari.

HAHAHA, Kweli kama ilivyo kawaida baada ya futari lazima mpishi asifiwe. mie nakumbuka nilipokuwa mdogo nilikuwa naongozana sana na babu yangu ambaye alikuwa sheikh pale iringa, nakumbuka baada ya kila maulid wakati tunarudi nyumbani utawasikia wazee wakisifia kulikuwa na shaba ngapi , pilau ilitulia kisawa sawa, mama mpishi kajaaliwa nk. haya yote ni maongezi baada ya shibe, kweli nimeamisni shekhe mtegee sahani ya pilau tu utamnasa
 
Back
Top Bottom