Zing
JF-Expert Member
- Jun 24, 2009
- 1,767
- 470
Najua JK na wanasiasa wengi wa CCM CDM CUF NCRR, etc wanatambua umuhimu wa TEKNOHAMA kuleta maedeleo ya uchumi na uboreshji huduma mbali mbai mbali za kijamii na upatikanaji wa taarifa .
Lakini maendeleo na ma mabadiliko ya kweli hayawezi kuja bila kuwepo na uongozi , usimamzi,uratibu na ushauri kutoka kwa watu wenye utaalam.
Ndio maana kwenye Mikoa na wilaya kuna maofisa wa kilimo, Elimu,Afyaa Uhandisi,Mifugo ,nk Sababu hiyo hiyo karne hii ni muhimu kuwa na maofisa ICT .Kwa kushirikiana na hao maofisa wengine kwenye Mikoa/wilaya hata mambo kama elimu yanaweza kusonga mbele kwa kasi
Kama Kweli CCM ,JK na wanasiasa wanataka Tanzania ifaidike zaidi na kutumia vizuri fursa za TEKNOHAMA na internet na miradi kama ya mkonga wa taifa iwe namanufaa zaidi basi ni wazi na muhimu kila mkoa na wilaya kunatakiwa kuwa na maofisa Wakuu mwenye utaalam wa mambo ya ICT. Bila hivyo faida Mkonga wa taifa na fursa nyingine zitaishia kwenye Internet cafe tu na kuisihia kuwaona wanasiasa wetu wakishilkilia Ipad bungeni.
Maenedeleo ya ya ICT hayabadiliki kwa bajeti kusomwa kwa Ipad au ukwenye kwenye dafatari......
WAJIBU WA MAOFISA ICT WA MKOA NA WILAYA
Hayo ni baadhi tu .......

- Maedeleo ya ICT yatakuja pale shule isyokuwa na maabara kiwa na video/VIsual room yawanafunzi kuona experiment mbalimbali mbali ziizorekodiwa.
- Maendeleo yata kuja pale makataba zisizokuwa na vitabu na zinazkufa kwa kutokuwa na machapisho latest zikiwanauwezo wakuapata machapisho ya afya,elimu,uhandisi kutoka maktaba za online duniani kwa muda muafaka
WAJIBU WA MAOFISA ICT WA MKOA NA WILAYA
- Kwa utaalamu walionao watatakiwa kutoa ushauri kwenye taasisi za umma(Kama shule,Maktaba) hata binafsi jinsi gani wanaweza kufaidika na na TEKNOHAMA na jisni gani wanaweza kuwezesha. So far matamko mengi yanatolewa ni ya wanasisa na kisiasa. Vijana/Watu wenye uwezo na ufahamu wa haya mambo hawajapewa nafasi .Ndio maana tunasikia maneno kam kila mwanafuzi kupewa kopmyuta.....
- Watatakiwa kutoa report za mafanikio na changamoto za TEHAMA katika kila mkoa au wilaya na mapendekezo nini kifanyike kiboreshwe
- Watashirikiana na waratibu wahuduma hizi kama TRCA na watoa huduma kama makampu ni ya simu na ISP katika kuependekeza namna bora ya kutoa hduma mbali mbali
Hayo ni baadhi tu .......