Kikwete na Utumishi, tangazeni na toeni ajira za maofisa ICT wa Mkoa na Wilaya

Haya kwanyongeza someni hii paper

http://www.tzonline.org/pdf/ictsastoolsforpovertyreduction1.pdf

Ni ya mwaka 2005 .Lakini inaonyesha kwenye makaratasi tuna nia yakutumia ICT lakinikivitendo kinachoksekana mpaka sasa ni Link ya wataalam upande wa serikali na kushirikiana na makampuni kama TTCL au taaisis kama mashule au vikundi vya uzalishaji kama wavuvi na wakulima etc.
 
Si unakubaliana na mimi kuwa kila mtu angependa kuendesha vogue.

Je unajuwa kwanini wengine wanaendesha baiskeli na wengine wanatembea kwa miguu?

hii mada ni tamu sana...ingawa imenitouch mule mule nimeajiliwa ni wiki mbili sasa kama ICT officer lakini sijafanya kazi zaid ya kuscan vyeti vya walimu wapya sijajua huko mbeleni
 
Nafikiri hizo ulizo sema hapo (nilizo underline )sio kazi za Afisa ICT. Kuna afisa biashara ambaye atakuwa anatoa Ilmu ya ujasiriamali.

Mambo ya ICT zinaweza kutolewa na watu mbalimbali ikiwemo katika blog kama hizi na kusoma vijarida mbalimbali ikiwemo kupitia mtandao.

Vile vile huko Tz kuna hizi skuli binafsi zinazotoa ilmu ya ICT na ujasiriamali.

Ni vigumu sana na haiingii akilini kumwajili afisa ICT wakti huna vitendea kazi vya kumwezesha kufanya kazi zake vizuri bali kutegemea kuwa atakuwa mtu wa kupiga domo. Hiyo ni sawa na Mbwa bila meno.
Haiwezekani na haikubaliki.

Samahani unazijua kazi za CIO. Chief information officer.? Unaijua e-government?. Vioanishe na mazingira yetu kisha utakuwa na jibu kwa nini hatusogei
 
hii mada ni tamu sana...ingawa imenitouch mule mule nimeajiliwa ni wiki mbili sasa kama ICT officer lakini sijafanya kazi zaid ya kuscan vyeti vya walimu wapya sijajua huko mbeleni

mmmmmmh umenifurahisha mkuu uko mkoani au wilayani,heri yako ww wilaya yako ina umeme yangu haina hata umeme mkuu!
 
Kuna mfano mzuri wa wataalamu wanaosomea health information system, hawa tunawazalisha wenyewe hapa nchini kwa kodi zetu, tungewatumia vizuri kuanzia ngazi za hospitali za wilaya tungepunguza sana kero za afya na uhaba wa wataalamu...... Ni suala tu la kimkakati na serikali iamue
 
Samahani unazijua kazi za CIO. Chief information officer.? Unaijua e-government?. Vioanishe na mazingira yetu kisha utakuwa na jibu kwa nini hatusogei

Nyanyado.

nafikiri unajidanganya saaana.

Suala la E Govt kwa Tanzania baado kabisa kwani iili E Govt iweze kufanya kazi ni laazima kuwe na mtandao katika computer nati ya Serikali Kuu na Serikali za Halmashauri na mtandao huo uende mpaka kwa Village Exec Officcers na Ward Exec Officers kwani huko ndio kwenye serikali zenyewe za mitaa. Kilichopo ni katika E Govt ni kuunganisha tu mtandao wa Fedha kutoka Wizara ya fedhwa na Wizara nyingine tena zile za Dar tu.

Lakin suala la kuajiri mtu wa ICT katika ngazi ya wilaya au Mkoa labda utufafanulie atakuwa anafanya kazi gani? Unajuwa uwezi ajili mtu bila kujua unamuajiri kwa kazi gani na vile vile kama vitendea kazi vya kumuwezesha kutenda kazi hiyo unavyo.
 
Back
Top Bottom