Kombo
JF-Expert Member
- Oct 29, 2010
- 1,812
- 509
Idont mean just specialist i Mean officers kama walivyo wa Afisa kilimo,Mifugo,afya , elimu... wa mikoa
Daaah! Haya endelea kusubiri hao Maofisa!
Idont mean just specialist i Mean officers kama walivyo wa Afisa kilimo,Mifugo,afya , elimu... wa mikoa
Jana nilikua kwenye workshop moja pale udsm,alikuja profesa toka Carnegie Mellon University
akawa anaongea juu ya umuhimu wa Cloud computing,na kwanini wameamua kufungua
tawi la chuo chao Rwanda.
Aliongea mengi sana,ila akasema najua sasa hivi mkituona watu weupe mnachukia
kwa sababu tume waibia raslimali zenu na tunaendelea kuchukua.
Marekani hatuna mkonga wa taifa kama huku,kule ili upitishwe ni gharama kweli kweli
maana uta negotiate na kila mtu kuchimba chini kupitisha,lakini hapa kwenu aaah
unachimba popote tu.
Tanzania mna nafasi ya kufanya makubwa,lakini mmesinzia,kama wazungu
walivo waibia raslimali zenu,ndivyo WANYARWANDA WATAKAVO WAIBIA KAZI ZENU
KWA MAANA WAMEWEKEZA KWENYE TEKNOLOJIA HII.
Wao hawana raslimali ardhi kama nyie,lakini kagame anasema wana raslimali watu
na wanataka kila mtu ajue TEKNOHAMA ili wasambae africa kote na Rwanda iwe center
ya "silicon valley" ya Africa.
Ni kweli kabisa,tume lala fofofo.
Lets make a difference.
Mkuu,
Speaker huyo professa hajakuwa muwazi na facts unapozungumzia Rwanda wenzio washaweka fundamentals tayari sasa hivi wanaelekea katika technology. Last week wamenunua bandwith ya fiberoptic of up to 1.2GB per second. But huyo professa wenu anasahau inflation Rwanda is 7% Tanzania inflation is 20%. Rwanda development index is very high wamejenga barabara ya lami hadi vijijini. Tanzania mji mkuu wa biashara Dar-es-Salaam hauna lami jiji zima. We rank lower katika corruption and development despite the fact we are growing economically. Rwanda GDP is growing by 8% ours is growing by 7%. Literacy rate Rwanda is high sisi inaporomoka kila siku.
Rwanda wana haki ya kuanzisha cloud computing kwasababu washaweka misingi tayari.
Mdondoaji Hivi wilaya na mikoa yote haina umeme .Na mambo ya umeme ni wajibu wa taaluma nyingine .Tusichanganye mambo.Ndio maana kunawahandisi wamikoa . Kama hawafanyakaziyao hilo ni ni suala lingine
iweje mwanafuzi wa tambaza au jangwani ashindwe kuona practical ya chemistry/Physics hata kwenye video ?IS it umeme. Sawa wa kibondo hana umeme Vipi wa kniondoni/mwanza arusha mjini badodo anasoma practical kwa kukariri maandishi kama tulivyosoma zamani wakaati tunaimba TEKNOHAMA ....?
Iweje maktaba ya taifa za mikoa haina machapisho latest ya kada mbalimbali wakati tungeweza wangeweza kujinga na mkataba za online kupatacopy yanakakwabei nafuu . is it umeme ?
Kwa nini nishidwe kuona jina la kijiji au mtaa wangu kwenye googlemap? Is it umeme?
Jamani kama kweli wanasiasa wanaimba TENHAMA waonyeshe utayari kwa vitendo na kuwezesha
Mdondoaji am not even talking about E-government .Naongea Potenetial amabazo zipo tayari zinatakiwa kutumika lakini haizitumkia sababu watu hawana taarifa au hajui wafanyeje .Ni hilo tu Hakuna cordinationna awareness ..... Na ukisema vipaumbeele then ICT in the current ni key. Ndio maana nimeandika mwanzo kuwa la sivyo miradi expensive kama mkonga wa taifafaida zake zitaishia kwenye internte cafe tu . Au do mean tuikosea hata kugharamia kwamkopo mradi wa fiber optic? Muulize RC yeyote wanategmea FIber optic italetafaida gani kwenye mikoa yao .
But kama wewe ni mchumi naweza kukuelewa lol
Mdondoaji kama uko well infomed utaelewa kuwa ICT ni zaidi ya internet .Internet ni key lakini its not the only driving force.Nitakupa mfano.
kama mtalamu naweza kushauri kuwa wanafunzi wa shule za sekodary (wanafeli sana hesabu Wich is true true ) na kuna shule hazi na walimu wa hesabu basi napendekeza kuchukua na kuziwea video kama hii hapa kwenye CD/DVD then kuzigawa kwa shule au wanafuzi. Zaidi ya yale waliyofundishwa Video hizi zitajazia.Hata kama shule haina internet Ni kaasi cha kuwa na VIdeo room tu.Aways kuna work arroundou hata ama hakuna intenet . Anahitajika mshauri wa kitaallam
As a serius but somehow expensive project unaweza kupendeka zitengezzwe video kama hizo na walimu wa tanzania.for sure Video kama hizo zitageuza japo F 20 kuwa D au C .
Je wahusika wanataarifa ya resouces hizi? Je wanajua hataka kama hkauna internet bado inawezekanakuzinakwenyesimuna TVna kuboresha huduma kadhaa ? Hapo sasa ndio ushauri wa kitaalam unapokuja. Mambo ya cordiantion na awareness hakuna ........ Wanafuzi/Wazazi/Shule/Mawaziri etc wengi hawajui kuwa Video DVD si lazima iwe ya kanumba tu. inaezekana hata kutazama DVD ya trigonometryauProbabiity kwene TV ya nyumbaniau shuleni
Hii la umeme ni excuse ya Kisiasa zaidi. Mini nasema nasikitika Nikiona bado mpaka leo mwanfuzi tenawa mjini anasoma practical wa kukariri na wakat huohuo hao wanaisasa wanasema TEKHOHAMA.NAsikitika nikiona Detail za tanzania kwenye googe hazijashiba( Ramani ziko makabatini).list goes on ............
Kwa hayo machache Mdondoaji hizo sio fikra za kimweri ni kuondoa mawazo ya kisasa tu .Waweke hata mkoa michache ya majaribio. Tena hapa dar naweza kujitolea kuonyesha how shule ambazo hazifanyi vizuri zinaweza kutumia kunufaika fursa zilizopo hatak kama hazina intenet. Then in in just two years with vey minium cost utapata majibu.
Mkuu,
Speaker huyo professa hajakuwa muwazi na facts unapozungumzia Rwanda wenzio washaweka fundamentals tayari sasa hivi wanaelekea katika technology. Last week wamenunua bandwith ya fiberoptic of up to 1.2GB per second. But huyo professa wenu anasahau inflation Rwanda is 7% Tanzania inflation is 20%. Rwanda development index is very high wamejenga barabara ya lami hadi vijijini. Tanzania mji mkuu wa biashara Dar-es-Salaam hauna lami jiji zima. We rank lower katika corruption and development despite the fact we are growing economically. Rwanda GDP is growing by 8% ours is growing by 7%. Literacy rate Rwanda is high sisi inaporomoka kila siku.
Rwanda wana haki ya kuanzisha cloud computing kwasababu washaweka misingi tayari.
Si Mbeya tu! Kote mikoani na wilayani huenda pia na wizarani hao walioajiriwa si lolote si chochote ndio maana Serkali ilalipa pesa nyingi kwa wataalamu kutoka nje kwa ajili ya kazi za ICT!!!
Hii ndio Tanzania
Tengenezeni ajira mjiajiri
Mkuu naomba nichukue fursa hii kukutaarifu kuwa karibu mikoa yote Tanzania ina watu wa ICT na baadhi ya Halimashauri zadi ya 66 inao. mimi nina jamaa zangu ni ma ICT huko, ila wanalalamika kuwa serikali haitilii mkazo kazi zao na hata watu wa halmashauri hawawapi ushirikiano wowote. Hata bajeti kwa ajili ya kuendeshea shughuli zao ni kazi. Hebu nakuomba ufanye utafiti uthibitishe haya niliyosema.
Hapo kwenye nyekundu, unaweza kupaelezea kidogo? mbona hiyo kitu ndogo sana.
Nafikiri tatizo sio kujiajiri tatizo ni kwanini uwepo mkonga wa taifa ulitumia mabilioni wa sh, harafu usitumike?
Pia nafikiri kila mkoa kuna engineer wa mkoa huyu mara nyingi huwa ni civil ama mechanical engineer ningependekeza kama ni civil ama mechanical basi msaidizi wake awe ICT kama engineer wa mkoa ni ICT basi msaidizi wake awe civil, vivyo hivyo kwa wilaya. Hapo nadhani hawatatengeneza ajira mpya kwa kisingizio cha bajeti.
For you glimpse information Mkuu,
I have a PhD in Economics from one of the top university in the world ambayo nimeipata karibuni, a Masters degree in Economics from one of the top three universities in the world, another Masters degree also from one of the top university in the world na Degree ya kwanza nimeipata Dar hapo. Bado nina degree nyengine ya kwanza nimeisomea hapo Dar. So I happened to know pretty well what I am talking about.
Mkuu hatuwezi kuruka kabla ya kutembea efficiency comes after building a very solid fundamentals. Nyie mnajipigia debe kampuni zenu na profession zenu but mnasahau Tanzania bado haina solid fundamentals. Kaeni mfikirie kwanza vp tutatua tatizo la umeme, tutaweza kufundisha watu wakawa na elimu ya kutosha. Watu ambao ndio watumiaji wa hizo computer mnazozipigia debe hapa na umeme. Nyie mnawaza ICT wakati umeme wa computer hamna je hizo Computer zenu mtawasha na mafuta ya taa??? Au hao watu laki sita mtawasambaza Tanzania nzima ndio watumie computer halafu watu milioni 44.4 wawe watazamaji tu??? Leo hii watoto wetu wanaomaliza darasa la saba wanaenda form one hawajui hata kusoma na kuandika. Sasa watoto hao watakuja kweli kuelewa DOS-Language 01010101 au SQL Language, au C++++ ?
Hebu jiulizeni vizuri kwanza.
@Mdondoaji & barubaru, naona kama mnachanganya economics na ICT. Na pia naona mnatumia nguvu nyingi sana ku-address tatizo ambalo ni wazi na halihitaji PhD ya aina yoyote. Hebu tujiulize, Ni kweli Tanzania nzima haina umeme? Hakuna Wilaya ambazo zina umeme? Na kwenye Wilaya ambazo umeme unapatikana mfano Dar es Salaam 'leverage' ya ICT ikoje? anachojaribu kuongea Zing na Narubongo ni Leverage ya ICT.
Kwa taarifa nilizo nazo Mikoa yote Tanzania sasa hivi imeshaunganishwa kwenye mkongo wa Taifa! Kama ndivyo swali ni je, unatukimaje huo mkongo? Kwa maneno mengine mkongo (fibre optic) una faida gani na sisi Tanzania? tumevuna nini tangu tuwe na mkongo wa taifa? Kama kuna sehemu ambazo hazina umeme ni tatizo moja, lakini kwenye wilaya zenye umeme mambo yakoje baada ya kuwa na huo mkongo wa Taifa?
Hoja kwamba hakuna umeme ni kukata tamaa! Kutokuwepo kwa umeme Tandahimbia kunazuiaje kuimirisha ICT Wilaya ya Ilala? Kwa maneno mengine, serikali inaweza kuanza na Wilaya chache then wakapambua wigo huko mbeleni, lakini hatuwezi kukaa chini kusubiri umeme ufike kila kona ya nchi ndio tuanze sasa ku-exploit ICT! Mawazo kama haya hayatasaidia hata kidogo.
Ukipata nafasi soma sehemu ya report iliyoandaliwa na World Economic Forum.
Hii hapa:
Mkuu hatuwezi kuruka kabla ya kutembea efficiency comes after building a very solid fundamentals. Nyie mnajipigia debe kampuni zenu na profession zenu but mnasahau Tanzania bado haina solid fundamentals. Kaeni mfikirie kwanza vp tutatua tatizo la umeme, tutaweza kufundisha watu wakawa na elimu ya kutosha. Watu ambao ndio watumiaji wa hizo computer mnazozipigia debe hapa na umeme. Nyie mnawaza ICT wakati umeme wa computer hamna je hizo Computer zenu mtawasha na mafuta ya taa??? Au hao watu laki sita mtawasambaza Tanzania nzima ndio watumie computer halafu watu milioni 44.4 wawe watazamaji tu??? Leo hii watoto wetu wanaomaliza darasa la saba wanaenda form one hawajui hata kusoma na kuandika. Sasa watoto hao watakuja kweli kuelewa DOS-Language 01010101 au SQL Language, au C++++ ?
Hebu jiulizeni vizuri kwanza.
Siungi mkono hoja, hii itaongeza mzigo kwa serkali. Hawa maafisa habari utamaduni na maichezo ndio wawe na kazi yakuintergrate informations toka idara zote ktk wilaya na kuziweka kwenye soft copy. pia watengeneze na update website ya wilaya c ndo kazi ya habari. Kama ni incompetents ondoa weka new blood
Najua JK na wanasiasa wengi wa CCM CDM CUF NCRR, etc wanatambua umuhimu wa TEKNOHAMA kuleta maedeleo ya uchumi na uboreshji huduma mbali mbai mbali za kijamii na upatikanaji wa taarifa .
Lakini maendeleo na ma mabadiliko ya kweli hayawezi kuja bila kuwepo na uongozi , usimamzi,uratibu na ushauri kutoka kwa watu wenye utaalam.
Ndio maana kwenye Mikoa na wilaya kuna maofisa wa kilimo, Elimu,Afyaa Uhandisi,Mifugo ,nk Sababu hiyo hiyo karne hii ni muhimu kuwa na maofisa ICT .Kwa kushirikiana na hao maofisa wengine kwenye Mikoa/wilaya hata mambo kama elimu yanaweza kusonga mbele kwa kasi
Kama Kweli CCM ,JK na wanasiasa wanataka Tanzania ifaidike zaidi na kutumia vizuri fursa za TEKNOHAMA na internet na miradi kama ya mkonga wa taifa iwe namanufaa zaidi basi ni wazi na muhimu kila mkoa na wilaya kunatakiwa kuwa na maofisa Wakuu mwenye utaalam wa mambo ya ICT. Bila hivyo faida Mkonga wa taifa na fursa nyingine zitaishia kwenye Internet cafe tu na kuisihia kuwaona wanasiasa wetu wakishilkilia Ipad bungeni.
Maenedeleo ya ya ICT hayabadiliki kwa bajeti kusomwa kwa Ipad au ukwenye kwenye dafatari......
- Maedeleo ya ICT yatakuja pale shule isyokuwa na maabara kiwa na video/VIsual room yawanafunzi kuona experiment mbalimbali mbali ziizorekodiwa.
- Maendeleo yata kuja pale makataba zisizokuwa na vitabu na zinazkufa kwa kutokuwa na machapisho latest zikiwanauwezo wakuapata machapisho ya afya,elimu,uhandisi kutoka maktaba za online duniani kwa muda muafaka
WAJIBU WA MAOFISA ICT WA MKOA NA WILAYA
- Kwa utaalamu walionao watatakiwa kutoa ushauri kwenye taasisi za umma(Kama shule,Maktaba) hata binafsi jinsi gani wanaweza kufaidika na na TEKNOHAMA na jisni gani wanaweza kuwezesha. So far matamko mengi yanatolewa ni ya wanasisa na kisiasa. Vijana/Watu wenye uwezo na ufahamu wa haya mambo hawajapewa nafasi .Ndio maana tunasikia maneno kam kila mwanafuzi kupewa kopmyuta.....
- Watatakiwa kutoa report za mafanikio na changamoto za TEHAMA katika kila mkoa au wilaya na mapendekezo nini kifanyike kiboreshwe
- Watashirikiana na waratibu wahuduma hizi kama TRCA na watoa huduma kama makampu ni ya simu na ISP katika kuependekeza namna bora ya kutoa hduma mbali mbali
Hayo ni baadhi tu .......
Ndugu yangu kazi ya IT sio hiyo ya uafisa habari unayoitaja. IT ni professional ya mhimu sana sio kama unavoifikilia wewe. Nakuambia ingekua kuna IT technician wa kutosha kwenye kila halmashauri za wilaya na mikoana tusingekuwa na hati chafu au hati chafu zingepungu maana kila kitu kingekuwa automated. Na serikali inajua kabisa ukipeleka IT wilayani ulaji kupitia miradi utakua umekwisha so ndo maana wanaziba maskio ili ndugu zao waendelee kukwiba tu.
Hao maafisa habari utamaduni na maichezo wafanye kazi zao za kuinua vipaji na sio kazi za kuapdate website wala sio kazi za IT, hivi wewe unadhani IT wanahitajika kwenye hizo halmashauri kwa ajili ya kuapdate habari za utamaduni? Kukiwa na IT kwanza kila wilaya inaweza kuwa na accounting package ambayo itasaidia ktk kumonitor budget kuliko sasa ambapo kila kitu kiko kwenye mafaili pia itasaidia sana kuwasaidia hata hao ma afisa utamaduni ambao mara ya mwisho kushika komputa ni siku walipokua vyuoni wanasoma somo la IT. Hakuna cha new blood wala old blood in short and loud and clear maafisa habari utamaduni na maichezo hawawezi kufanya kazi za IT professional hata kwa 000000.1%
Nakuunga mkono zing. Hii inaendana na nia ya rais ya kufanya shule zote ziwe na mfumo wa kujifunza kutioka kwa mwalimu mmoja mtaalamu wa somo fulani katika mpango ambao rais aliutaja kwamba unaitwa:Tanzania beyond tomorrow'
Sijui huu mpango umeishia wapi. Yote yanahusu ICT