Kikwete: Mazungumzo yangu na vyama vya siasa yamekwenda Vizuri!

CCM imefikisha mchakato huo hapo ulipofikia kwa kiburi cha uwingi wao Bungeni, muafaka ni mgumu kwani cha muhimu ni Akidi au maoni ya wananchi? CCM imenyonga maoni yetu sasa tunatafuta muafaka upi.

Mwanya huo wa maelewano utakuwepo tu pale kamati zitakapoanza kujadili RASIMU ya Tume ya jaji Warioba ambayo ndiyo maoni yetu sisi wananchi kujadiliwa kwa upya.
 
Siri ya nini? Kwani walikuwa wakiongea mambo yao au walikuwa wakiongea mambo ya Taifa ambalo ni letu sote?
Mkuu Kimbunga, asante kwa hii, kiswahili kina upungufu wa misamiati, neno siri linawakilisha secret, discreet, privacy na confidential, hivyo ukisema siri, mwingine atatafsiri ni secret, but no!, its not secret na there is no secrets kwenye mazungumzo yale bali usiri wake ni" confidential!".

Mazungumzo yoyote ya kufikia muafaka fulani ni dialogue, na yanahitaji process fulani, sasa wakati process hiyo ikiendelea, there has to be some kind of confidentiality ili kuizua hiyo process isiwe polluted na outside ingredients!, kama ilivyo chemical process, ikianza, inapaswa kusubiriwa mpaka mwisho ikamilike ndipo upate desirable by products.

Kwenye mazungumzo yale, kuna majukumu wamepeana yanayohitaji consultations na wenzao, hivyo ni muhimu at this stage, everthing must be kept in low profile, not secretive, but confidentiality, and patiently ili kupata desirable results.

Hata wewe Mkuu Kimbunga, ndani ya nyumba yako, sio kila kila kitu unachopanga, unakimbilia kusema, kuna vitu utapanga in silence, utasubiri kupata uhakika wa mipango yenyewe ndipo uta break the silence kwa mkeo, na yeye utamwambie asifungue mdomo wake, then wakati muafaka ukifika ndipo mtawajulisha watoto, majirani, the rest of the familiy and finally kila mtu atajua!.

Hivyo wakati wa wote kujua kimezungumzwa nini ukifika, wote tutajua!.

Thanks.

Pasco
 
Kwenye andiko lako ulianza vizuri sana ukaja kuharibu pale uliposema ukawa walegeze misimamo yao! Nikuulize kati ya ukawa na ccm nani kaweka msimamo? Ukawa wanaunga rasimu ya pili ya Tume ya Rais iliyokuwa chini ya jaji Warioba. Ccm wanaunga mkono serikali mbili nje kabisa ya Rasimu ya tume ya Rais, sasa hapo ni nani kaweka msimamo? Tujisahihishe ndugu zangu.
 
Hata MUNGU hawez kupokea maombi hayo zaid ya kumfanya kikwete aendelee kuwa na moyo uleule kama farao
 
Kukwamua mkwamo uliokwama
Yaani ashindwe kutumia busara na nafasi aliyonayo ategemee maombi? Nina mambo mengi ya kuombea...hata pia kumwombea Reais katika mambo mengine lakini siyo hilo. Hilo liko ndani ya uwezo wake, yeye mwenyewe hataki tu. Na kama anataka lori likwamuke tu bila kurekebisha barabara, ni hatua mbili tu linakwama tena. Kwa hiyo fikisha taarifa kwa Rais, asawazishhe barabara, lori litatembea tu...
 
Na kama ni suala la akidi, si nilimsikia mzee Tyson kwenye mdahhalo Ubungo Plaza (na Profesa Lipumba na Tundu Lisu) akisema akidi 2/3 itapatikana tu kwa sababu lile kundi la 201 walibaki zaidi ya 175 na wote wanaunga mkono hoja za Lumumba?
 
Hivi ni kwa nini hakuona haja ya kufanya maridhiano mapema kabla ya sasa!?
Hivi ni kwa nini hakuona ukweli na uhalali wa wanachokitetea UKAWA tangu hapo kabla,
Kwa nini Raisi wangu hakutoa maoni yake tangu hapo awali kwenye tume akaja kuyatolea bungeni?
Bado naendelea kujiuliza mimi raia jama...
 
Hii hesabu nilikuwa sijaigundua hata kidogo, pengine ndio maana CCM wanaona hakuna wanachopoteza.

Ndo maana kila siku nasema ukshakuwa mpinzan bongo hata akil yako inalala pia, hko kitu mazwazwa hawewez tambua zaid ya kuongea vitu kishabik tuuu
 
Jk anawahofia UKAWA na kitendo cha yeye kuomba kukutana na TCD ni kufunika aibu tu, UKAWA warudi bungeni kufanya nini wakati rasimu imechakachuliwa? hiyo katiba ya serikali mbili ni pendekezo kutoka kwa nani na kwanini muundo wa S3 ambao ndio maoni yaliyokusanywa na tume ya jaji warioba yakataliwe? UKAWA komaeni, siku wakiingia ikulu wataanzisha mchakato wa katiba ya wananchi maana CCM imeshindwa.
Yaani wewe nakukubali sana, UKAWA ndiyo nuru kwa Watanzania ole wao wapenda madaraka na walafi wa ccm mujue hukumu inawangoja.
 
mchakato mzima ulivurugwa na yeye halafu anategemea mkutano wa TCD? kweli nchi hii hatuna rais
 
Mkuu Kimbunga, asante kwa hii, kiswahili kina upungufu wa misamiati, neno siri linawakilisha secret, discreet, privacy na confidential, hivyo ukisema siri, mwingine atatafsiri ni secret, but no!, its not secret na there is no secrets kwenye mazungumzo yale bali usiri wake ni" confidential!".

Mazungumzo yoyote ya kufikia muafaka fulani ni dialogue, na yanahitaji process fulani, sasa wakati process hiyo ikiendelea, there has to be some kind of confidentiality ili kuizua hiyo process isiwe polluted na outside ingredients!, kama ilivyo chemical process, ikianza, inapaswa kusubiriwa mpaka mwisho ikamilike ndipo upate desirable by products.

Kwenye mazungumzo yale, kuna majukumu wamepeana yanayohitaji consultations na wenzao, hivyo ni muhimu at this stage, everthing must be kept in low profile, not secretive, but confidentiality, and petiently ili kupata desirable results.

Hata wewe Mkuu Kimbunga, ndani ya nyumba yako, sio kila kila kitu unachopanga, unakimbilia kusema, kuna vitu utapanga in silence, utasubiri kupata uhakika wa mipango yenyewe ndipo uta break the silence kwa mkeo, na yeye utamwambie asifungue mdomo wake, then wakati muafaka ukifika ndipo mtawajulisha watoto, majirani, the rest of the familiy and finally kila mtu atajua!.

Hivyo wakati wa wote kujua kimezungumzwa nini ukifika, wote tutajua!.

Thanks.

Pasco

Ahsante Pasco Naona umedadavua
 
Last edited by a moderator:
Siyo kila mtu anapaswa kuombewa afanikiwe. Maombi huwa hayapokelewi hadi mwenye dhambi atubu. Sasa Jk na uovu huu na mwingine mwingi aliofanyia taifa nani amuombee???!!! Atubu yeye na ccm yake kisha ataombewa.Ikulu na ccm waliwamtukana viongozi wa dini na kuwazushia uongo kwa masilahi yao ya kisiasa. Sasa leo wanataka wawaombee. Hawa wanatembea kwenye laana na kimsingi hadi kusudi la bwana lifikiwe kila watakachofanya ccm watakuwa mnawaona ka watoto wadogo ndio mtajua yupo Mungu. Ukiangalia na kusikiliza bunge dodoma utaelewa kuwa wamepigwa upofu wasione hadi watumbukie shimoni.
 
Kwa nini yasifanikiwe nyie viumbe wa ajabu sana msioitakie mema taifa letu, roho imekuuma sana JK kukutana na UKAWA.

Ritz kuna watu hawana hata busara ya kawaida. Mkuu wa nchi anatamani sana kuona mchakato unabaki njiakuu lakini sasa ni shidaaah!!
 
Hayatafanikiwa
Mkuu Baba Lao, asante kwa hili, hata kwa mawazo mabaya, hata kwa mawazo maovu, bado naanza kwa kukupa asante kwa sababu hii inaitwa "negativity", na hii negativity ni moja ya matatizo makubwa sana humu jf, some people are just negative!, they are negative for nothing!, hizo negativity zinaradiate "negative energy" ambazo ndizo huwa zinakwamisha mipanga mizuri isifanikiwe!.

Kuna watu wengi ni witches kulivyo unavyodhania na wengi ni wachawi bila wao kujijua!, its pity that Mkuu Baba Lao, ni one of these witches!, but its not too late to change, just be positive kwenye kila mipango mizuri inayopangwa, by being positive, uta radiate "positive energy" itakayosaidia kufanikisha mazungumzo hayo!.

For more about "positive energy" na "negative energy", haya ni mambo ya "powers from within", karibu unitembelee huku

[h=3]Psychic Powers: Ni Nguvu za Kufanya Miujiza. Wengi wanazo Bila Kujitambua!.[/h]Thanks.

Pasco
 
mchakato mzima ulivurugwa na yeye halafu anategemea mkutano wa TCD? kweli nchi hii hatuna rais

Mwenye laana huanzisha jambo zuri kisha huliua kwa mikono yake mwenyewe. Mwenye laana akianzisha biashara hata faida iwe kubwa vipi ataishia kula mtaji kwa mdomo wake mwenyewe. Methali inasema, "Mwanamke mpumbavu huvunja nyumba yake kwa mikono yake mwenyewe"
 
Mkuu Baba Lao, asante kwa hili, hata kwa mawazo mabaya, hata kwa mawazo maovu, bado naanza kwa kukupa asante kwa sababu hii inaitwa "negativity", na hii negativity ni moja ya matatizo makubwa sana humu jf, some people are just negative!, they are negative for nothing!, hizo negativity zinaradiate "negative energy" ambazo ndizo huwa zinakwamisha mipanga mizuri isifanikiwe!.

Kuna watu wengi ni witches kulivyo unavyodhania na wengi ni wachawi bila wao kujijua!, its pity that Mkuu Baba Lao, ni one of these witches!, but its not too late to change, just be positive kwenye kila mipango mizuri inayopangwa, by being positive, uta radiate "positive energy" itakayosaidia kufanikisha mazungumzo hayo!.

For more about "positive energy" na "negative energy", haya ni mambo ya "powers from within", karibu unitembelee huku

[h=3]Psychic Powers: Ni Nguvu za Kufanya Miujiza. Wengi wanazo Bila Kujitambua!.[/h]Thanks.

Pasco

Magamba kwa kuzungusha mambo kona kona nyiingi. the issu is straight forwad bible inasema "Geukeni mkaziache njia zenu mbaya, mkamrudie bwana, Asema bwana wa majeshi"
So hakuna kitakachofanikiwa hadi maccm yakubali kuiacha njia yao mbaya. Wakubaliane wasikubaliane umma tupo hapa kusulubu maghamba is just a matter of time.
 
Back
Top Bottom