Gwallo
JF-Expert Member
- Oct 15, 2010
- 3,200
- 3,761
CCM imefikisha mchakato huo hapo ulipofikia kwa kiburi cha uwingi wao Bungeni, muafaka ni mgumu kwani cha muhimu ni Akidi au maoni ya wananchi? CCM imenyonga maoni yetu sasa tunatafuta muafaka upi.
Mwanya huo wa maelewano utakuwepo tu pale kamati zitakapoanza kujadili RASIMU ya Tume ya jaji Warioba ambayo ndiyo maoni yetu sisi wananchi kujadiliwa kwa upya.
Mwanya huo wa maelewano utakuwepo tu pale kamati zitakapoanza kujadili RASIMU ya Tume ya jaji Warioba ambayo ndiyo maoni yetu sisi wananchi kujadiliwa kwa upya.