Kikwete in Dubai: On Transit.. kukutana na Al-Adawi?

Natumaini mkakati wao utafanikiwa. Dowans mtanunua tu majenereta hayo! Unless.. I get ahead of you...
 
juzi nimesema kama hukubaliani na suala la Dowans nitakupa namba za viongozi uwapigie kuwapa habari yao guess what? Mtu mmoja tu hapa na huyo ni mtu ambaye nina uhakika anaweza kufanya hivyo. Wengine wote wamebakia "conflict of interests"! doomed we are!


Tafadhali MM naomba hizo namba ili nitoe dukuduku langu kwao.
 
attachment.php

Karudi kwenye hio laptop kajaza DVD mpya......subirini kama atagusia hili saga..

Ameingia na ndege gani?
 
Slaa akisema Kikwete ndio mmiliki wa Dowans watu wanabisha, Ooh mmiliki simjui, ulikwenda Dubai kufanya nini wewe JK
 
Back
Top Bottom