simplemind
JF-Expert Member
- Apr 10, 2009
- 16,409
- 9,183
Is it? No wonder mkuu wa kaya is Foreign Extra!
taifa lina maswala tete yanayotukabili eg mauaji ya serikali dhidi ya raia (north mara), nani mmiliki wa kagoda? kupanda kwa kasi kwa gharama za bidhaa, wizi wa kitaasisi unaofanywa na wabunge kupitia posho wanazojilipa kwa sheria walizojiwekea, ongezehttps://www.jamiiforums.com/jukwaa-la-siasa/146963-enyi-wabunge-acheni-fikra-mgando-new-post.htmlWadau ningependa kufahamishwa nimesikia kikwete hanywi pombe yoyote isipokuwa chupa moja ya guiness kwa siku, je ni kweli? watu wengi huona pombe ndio starehe inayoweza kuwatuliza baada ya majukumu kumbe naye ni mwenzetu?
Yule mlevi bwana, check cocktail party za safari zake, ful whisky duh! Na huko malaysia watamkoma leo!Wadau ningependa kufahamishwa nimesikia kikwete hanywi pombe yoyote isipokuwa chupa moja ya guiness kwa siku, je ni kweli? watu wengi huona pombe ndio starehe inayoweza kuwatuliza baada ya majukumu kumbe naye ni mwenzetu?
ndiyo, tena soda ndani ya kibuyuhiyo guiness ni soda?
Ndugu yangu hii nimeipata kutoka kwa source za ndani...presidential vallei....rais kunywa pombe kali kama guiness huenda ikaathiri utendaji kazi wake je tija kwa taifa itakuwepo utendaji kazi wa rais ukiathirika? mbona hufikiri vizuri ndugu yangu?
taifa lina maswala tete yanayotukabili eg mauaji ya serikali dhidi ya raia (north mara), nani mmiliki wa kagoda? kupanda kwa kasi kwa gharama za bidhaa, wizi wa kitaasisi unaofanywa na wabunge kupitia posho wanazojilipa kwa sheria walizojiwekea, ongezehttps://www.jamiiforums.com/jukwaa-la-siasa/146963-enyi-wabunge-acheni-fikra-mgando-new-post.html
wadau ningependa kufahamishwa nimesikia kikwete hanywi pombe yoyote isipokuwa chupa moja ya guiness kwa siku, je ni kweli? Watu wengi huona pombe ndio starehe inayoweza kuwatuliza baada ya majukumu kumbe naye ni mwenzetu?
viongozi wa nchi nyingi duniani hupiga kinywaji.
Sarkhozy=varieties of Cognac spirits
Obama= Corona Light
Bush=Jim Beam/Jack Daniels (lakini aliacha mitungi on his 40th birthday)
Kim Il Jong=Hennessy
Saadam Hussein=Johnnie Walker (Black label)
Saudi King=Hennessy
Mkapa=variety of beers
Gadhafi=sauvignon wines
Berlusconi=Cinzano
Putin=Greygoose Vodka
Hu Jintao=Sake beer
sasa kama mkuu wa kaya anagonga Guiness basi shega tu
hata kama hatumpendi tusimzushie, jk ni alhaj,tumpe heshma yakekua na rais mlev pia ni tatizo
imetulia hii mkuu.Hivi ni kweli tumeishiwa ya kujadili hadi tunajadili kinywaji anachokunywa JK? Jamani tuna mengi ya kujadili kwa manufaa ya taifa na si hili la Kikwete anakunywa au hanywi ni nini! Tuna masualaya uhaba wa chakulauliokumba baadhi ya maeneo hapa nchini, kuporomoka kwa thamani ya sarafu yetu kunakoongeza ughali wa bidhaa na kuongeza ugumu wa maisha, masuala ya bunge kuendeshwa kishabiki zaidi kama timu za Yanga na Simba na nchi kuvamiwa na virusi vya ufisadi kiasi cha kutishia nchi kufilisika. Ni kweli yote hayo na mengine kibao hayatutoshi mpaka tuanze kumjadili JK kama anakunywa chai, Konyagi au Guiness wakati hiyo ni starehe yake binafsi ambayo ni haki yake kimsingi? Mijadala kama hii inampa JK na CCM yake likizo dhidi ya kuandamwa kwa madhambi yanayofanywa na serikali na chama chake.
Ni kweli anakunywa. Inazuia kuanguka angukaKuna maisha mengine ni personal sana kwa sisi Raia kuingilia huo ni uhuru wake ..mwacheni anywe vyovyote vile anavyotaka kwa sababu ni maisha yake binafis...kilio chetu kiko katika misimamo yake na maamuzi pia nchi inangamia hii