Kikwete hunywa guiness moja kila siku

Ndugu yangu hii nimeipata kutoka kwa source za ndani...presidential vallei....rais kunywa pombe kali kama guiness huenda ikaathiri utendaji kazi wake je tija kwa taifa itakuwepo utendaji kazi wa rais ukiathirika? mbona hufikiri vizuri ndugu yangu?

GUINESS pombe kali????????????? vp we ndio wale mnaolewa coke nini????
 
Wadau someni 1Timothy 5:23 Mvinyo kidogo kwa tumbo lako siyo vibaya. Mtume Paulo alimruhusu kijana wake Timothy anywe pombe kidogo kwa afya yake. Obama naye alikunywa Guiness alipokuwa Dublin majuzi kwa heshima ya wagunduzi wa hiyo pombe. Guiness husaidia sana mtu mwenye low pressure ili astabilize. Jadilini mambo ya maendeleo ya mtanzania yaani tutoke vipi na siyo hoja za Guiness moja, mbili, tatu, nne, tano n.k. Naomba kuwasilisha hoja
 
Wadau ningependa kufahamishwa nimesikia kikwete hanywi pombe yoyote isipokuwa chupa moja ya guiness kwa siku, je ni kweli? watu wengi huona pombe ndio starehe inayoweza kuwatuliza baada ya majukumu kumbe naye ni mwenzetu?
Jk kipindi kile anatoka masasi kwenda kwenye uwaziri alikuwa anakunywa bia aina ya safari nina uhakika asilimia 100!Nashangaa sana wanaosema anywi labda waseme ameacha!
 
Wadau ningependa kufahamishwa nimesikia kikwete hanywi pombe yoyote isipokuwa chupa moja ya guiness kwa siku, je ni kweli? watu wengi huona pombe ndio starehe inayoweza kuwatuliza baada ya majukumu kumbe naye ni mwenzetu?

Mutu moya alinyiambiaka presdaa azali na avateri yake mu jf, sas hivi bintu munalandikaka juu yake akaya akasoma na ku delange si atatumaka ba busalama bwa taifa na kutufungilaka ka forum na biso?! tuwachage bayamaa batu monene bazari na nguvu na kati ya etat banaweza kufanya mubaya.
 
Mkuu, Mkapa alikuwa anakunywa konyagi na mdudu mbaya kabisa.That guy was something else kwenye konyagi, mizinga miwili in one sitting ni kawaida sana.
Hivi ni kweli....angekuwa hai ilinibidi nikae nae meza 1....konyagi na mdudu inashukaaaa tu taratibu
 
Back
Top Bottom