Kikwete awasili South Africa

Status
Not open for further replies.

Mzalendo80

JF-Expert Member
Oct 30, 2010
2,508
1,338
Ndugu Kikwete amewasili jana nchini Afrika kusini kwa wale wanahesabu safari zake watupe namba
 
amepokelewa na mwamvita,moja ya shughuli atakazofanya akiwa sa ni kujionea na kusikia malamiko juu ya balozi wa tz nchini sa,na by the way kama muda utaruhusu atamtembelea kibanda ili aweze kunogesha hotuba ya mwisho wa mwezi
 
Kama angekuwa msikilizaji wa malalamiko angeenda Mtwara.
 
Dr. Slaa amesharudi kutoka Israel?

Na Mh. Mnyika naye amesharudi kutoka UK?

Mwenye record na budget ya safari zao (Dr. Slaa na Mh. Mnyika) ninaomba anisaidie kuziweka hapa.

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
amepokelewa na mwamvita,moja ya shughuli atakazofanya akiwa sa ni kujionea na kusikia malamiko juu ya balozi wa tz nchini sa,na by the way kama muda utaruhusu atamtembelea kibanda ili aweze kunogesha hotuba ya mwisho wa mwezi

Akitoka huko aje asikilize na malalamiko ya watanzania kuhusu mtoto wake Ridhiwani!
 
Mzee wa Anga atatutembelea Alhamisi ijayo (14 Machi 2013) kwa mara ya kwanza na ya mwisho tangu aingie madarakani akimalizia muhula wake wa mwisho.
 
Dr. Slaa amesharudi kutoka Israel?

Na Mh. Mnyika naye amesharudi kutoka UK?

Mwenye record na budget ya safari zao (Dr. Slaa na Mh. Mnyika) ninaomba anisaidie kuziweka hapa.

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums

Hao wanatumia kodi za wananchi wanaposafiri?
 
Anayehoji safari za Wenje Mnyika Mbowe na Slaa hana akili! Wao wanatumia ruzuku za chama, sisi tunahoji huyu atumiaye kodi za wananchi!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom