Kikwete atoa taarifa ajali ya meli.

zanzibar ni nchi sasa naamini!

mkuu hata mimi inanishangaza raisi wa jamhuri ya muungano anatoa rambirambi, wakati yeye ni mfiwa pia, tena usikute asilimia 30ni wazanzibar na 70% ni watanganyika waliopoteza maisha kwanini atoe rambirambi!?
Sijui nani ataniambia vizuri kuhusu huu muungano mimi nimeukuta tuu na sasa unanichanganya! Ninachojua mimi serilaki ya zanzibar ni subset ya serikali ya tanzania!
Au ndo udhaifu mnyika aliyousema huu!?
 
Mheshimiwa rais tunataka kwanza report ya Mv Spice Islander tuone kama mapendekezo yalifanyiwa kazi. Halafu hawa wahusika wa usafiri wa baharini na wahusika wa kitengo cha maafa ni vizuri wakafikiria kujivua gamba wenyewe na wakichelewa waziri awavue gamba na waziri anayehusika nae akishamaliza kuwavua na yeye ajivue mwenyewe apotee.
 
mkuu hata mimi inanishangaza raisi wa jamhuri ya muungano anatoa rambirambi, wakati yeye ni mfiwa pia, tena usikute asilimia 30ni wazanzibar na 70% ni watanganyika waliopoteza maisha kwanini atoe rambirambi!?
Sijui nani ataniambia vizuri kuhusu huu muungano mimi nimeukuta tuu na sasa unanichanganya! Ninachojua mimi serilaki ya zanzibar ni subset ya serikali ya tanzania!
Au ndo udhaifu mnyika aliyousema huu!?

Kwakuwa ajali imetokea Zanzibar ndio maana ametoa rambi rambi.
 
mkuu hata mimi inanishangaza raisi wa jamhuri ya muungano anatoa rambirambi, wakati yeye ni mfiwa pia, tena usikute asilimia 30ni wazanzibar na 70% ni watanganyika waliopoteza maisha kwanini atoe rambirambi!?
Sijui nani ataniambia vizuri kuhusu huu muungano mimi nimeukuta tuu na sasa unanichanganya! Ninachojua mimi serilaki ya zanzibar ni subset ya serikali ya tanzania!
Au ndo udhaifu mnyika aliyousema huu!?
mi naona ni udhaifu Rais wa Jamhuri ya Muungano wa tanzania.....Je Kibaki leo atatuma salamu za rambi rambi kwa shein?
Huuu Udhaifu
 
Poleni sana ndugu zetu wa Z'bar kwa kupotelewa na wapendwa wenu.Mungu azilaze pema peponi roho za marehemu.amina.

Majanga yote haya yanatupata Watanzania kwasababu ya rais dhaifu,serikali dhaifu,sera dhaifu,bunge dhaifu na sumatra dhaifu.

Kwanini kila siku ajali za aina hiyo hiyo zijitokeze? Kila siku zinaundwa tume ambazo hazina majibu wala ufumbuzi wa matatizo ya ajali hizi!

Hizi mamlaka zinafanya kazi gani? Sumatra walikuwa wapi mpaka meli ikang'oa nanga wakti kapteni alishaambiwa hali ya hewa siyo nzuri?

Hapa kuna uzembe na udhaifu ambao unahitaji tiba mbadala. Tiba hiyo mbadala ni kuondoa utawala huu dhaifu unaoendelea kupoteza roho za watanzania wenzetu.
 
bado miliki hajajulikana, hivyo serikali imeviagiza vyombo vya ulinzi na usalama kufuatilia suala hili.....kwa kushirikiana na sumatra na lile shirika la zanzibar, wakati huo huo bunge nalo kwa kushirikiana na baraza la wawakilishi litaunda tume kufuatilia jambo hilo ili lisijirudie tenaaaaaaaaaaa.

kwani ile ajali ya nungwi tume haikuundwa ? tume zenyewe wizi mtupu mwisho wa siku hamna majibu
 
Hivi kweli Mamlaka ya Hali ya hewa walishindwa kutabiri mawimbi baharini kiasi cha kutoa tahadhari kwa wasafiri watarajiwa??
Pili wanapodai kuwa idadi ya watoto waliofariki ni 31 namba hiyo wameitoa wapi? Mimi MwanajamiiOne nina watoto mapacha wadogo chini ya miaka miwili, ninamtuma kaka yangu/ mume wangu akanikatie tiket, ananikatia tiketi ya mtu mzima mmoja (watoto wa umri huo hawakati tiketi). Idadi ya watoto wanaijuaje wakati the only thing/record waliyo nayo ni idadi ya tickets walizouza (ambayo haionyeshi kama nimesafiri na watoto wangapi)?

Afu sasa hivi Serikali inasema inatoa Boat ambayo wenye ndugu wanaotaka kwenda kukagua na kutambua miili ya ndugu zao wanalipia!!!
Nyie serikali ni ........................................ kabisa.
Wahusika kuanzia waziri mpaka mkurugenzi wa Sumatra mnatakiwa mjiuzuru kabisa.....................................
 
Wapo bize na safari wanatafuta Perdiem
 
Back
Top Bottom