Kikwete atoa taarifa ajali ya meli.

mMILIKI anajulikana ila hana ofice, so no where to trace the owner
hii kali , sasa walipo sajili hawakuweka physical address ya owner au ofisi zao zitakuwa wapi namba za simu, ? na je hawawezi tumia njia mbadala kumpata sema director/owner badala ya kuitafuta hiyo ofisi ambayo haipo? maana toka imeagizwa toka usa, mpaka imelipiwa kodi, na kuandikishwa lazima mwenye mali atakuwa anajulikana na zanzibar ilivyo ndogo hata nyumbani kwake watu watakuwa wanafahamu. ndio maana nikasema hapa ni mpaka vyombo vyetu vya ulinzi na usalama vifanye kazi yake na kuundwa kwa tume ya bunge amasivyo atakuwa hapatikani kama yule mmiliki wa imalaseko
 
alafu zanzibar wanataka wawe na nchi yao wakati shuhuli kama hii imebidi wapewe msaada wa uokoaji kutoka tanganyika.. ndio mjue mnahitaji muungano nyie watu
 
Dahh, mleta mada si ungei-edit kuiweka kwenye format ambayo itasomeka kwa urahisi hiyo habari.
 
hii kali , sasa walipo sajili hawakuweka physical address ya owner au ofisi zao zitakuwa wapi namba za simu, ? na je hawawezi tumia njia mbadala kumpata sema director/owner badala ya kuitafuta hiyo ofisi ambayo haipo? maana toka imeagizwa toka usa, mpaka imelipiwa kodi, na kuandikishwa lazima mwenye mali atakuwa anajulikana na zanzibar ilivyo ndogo hata nyumbani kwake watu watakuwa wanafahamu. ndio maana nikasema hapa ni mpaka vyombo vyetu vya ulinzi na usalama vifanye kazi yake na kuundwa kwa tume ya bunge amasivyo atakuwa hapatikani kama yule mmiliki wa imalaseko

Vyombo ya usalama VIMEPEWA MAJUKU MAALUM havina muda wa kushughulikia mengine zaidi ya haya;
  1. Kumchunguza Mnyika na nyendo zake
  2. kudhibiti mikutano ya CDM
  3. Kumshughulikia Dr.slaa hadi afe
  4. Kumshughulikia Tundu Lissu
  5. Kuhakikisha operation sangara huko singida haifanikiwi
  6. Kuwa dhibit madaktari wasigome tena
  7. Kuhakikisha mgomo wa waalimu haufanikiwi
Majukumu haya na mengine watayopangiwa na DR. DR. DR.Kikwete
 
Tatizo la nchi au viongozi wetu ni kushughulikia tatizo pale linapotokea kisha kukunja nne kwenye ofc zao hakuna mikakati ya kuzuia uwezekano wa the same ajali kutokea. Ajali ya Nungwi ilitakiwa iwe fundisho kwetu. Hata hivyo kama kawaida walioathirika wengi ni watu wa daraja la kipato cha chini (kutokana na bei ya nauli kama ilivyotangazwa) so haiwagusi viongozi wetu moja kwa moja wala hawatosikia uchungu kiviiile
 
may my living lovely God.rest their soul in peace HUWA NAWASIKITIKIA WATOTO WADOGO SANA KATIKA AJALI KAMA HII HUWA WANAISHIA KUFA WAKIJIONA HIVI HIVI HAMNA BABA WALA MAMA KILA MTU ANAKIMBIA KIVYAKE OH MY GOD PLIZ REST THEM IN PEACE ,
 
vipi yule mgeni wetu mama sirleaf ameshaondoka?
huyu ni lazima amiri j. Mkuu wa kunyonga watu kwa meli. Yeye si ndiye aliyepenyeza muswada wa vitu chakavu kununuliwa na serkali. Sasa ni saa ngapi atachukua hatua ya kuzuia vitu chakavu kama yeye ndiye anaruhusu kisheria. Infact hamna haja ya matanga. Nikugopa na wananchi waandamane na kumuuliza ni kwa nini aliruhusu matumzi ya vitu chakavu kisheria?
 
may my living lovely God.rest their soul in peace HUWA NAWASIKITIKIA WATOTO WADOGO SANA KATIKA AJALI KAMA HII HUWA WANAISHIA KUFA WAKIJIONA HIVI HIVI HAMNA BABA WALA MAMA KILA MTU ANAKIMBIA KIVYAKE OH MY GOD PLIZ REST THEM IN PEACE ,

Siyo siri ktk umri wangu wa miaka 47 umenifanya kwa sentesi yako kuhusu watoto nilie. Naamini The Lord Jesus Christ atakuwa amewasahaulisha na haya machungu. Tuseme wote Amen
 
Tunaangalia tukiangamia, tumehamisha mapenzi yetu kwenye vyama vya siasa badala ya taifa letu! Maadui wamejua udhaifu wetu sasa tunakwisha, tunapeana mipasho bungeni, huku wakuu wengine wakijikomba kwa wakubwa zao, huku wagonjwa wakifa kwa kukosa dawa, meli za kuokoa zikiwa hazina mafuta, tanesco wakilazimishwa kuwasha mitambo kuondoa mgao bila ya mafuta kwenye mitambo, yoooooooooooooooote kumfurahisha mtu mmoja dhaaaaaaaaaaaaaaaaaiiiiiiiiiiiiiiiiifuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu!!!!!!
 
tatizo ni pale raisi anapotoa taarifa kama anaripot kituo cha televishen...hana tofauti na waandishi wa habari......
 
Back
Top Bottom