Kikwete and Family: Nani ni Nani?

Anatumia jina la baba kujikuza kwa wananchi ambao hawamtaki hata kumsikia. Sijui kasoma sheria gani ambayo haimwonyeshi umakinifu na ustaarabu hata
 
Ni bwana mdogo anaetumia vibaya madaraka ya baba yake kufisha haki ndani ya nchi ya Tanzania.
 
Hili swali la Ridhiwani ni nani angelijibu Mh Slaa ambaye amemtja kwamba Ridhiwani alifanya kikao na rais.
 
IS IT SHE OR HE? jamani toeni details zake hapa maana ndo leo nasikia hilo jina...can I date with her if is she? is she easy to go or has HIV? ni cerebiriti kama KIMAMBI? ananyonga kama RC? au? mwageni sie kama vipi tujae langoni....
 
ni lofa tu fulani anafanya kazi kwa FISADI mwenzake Lau Masha pale IMMA advocate cha kushangaza hajawahi kupewa kesi hata moja aitete mahakamani inasemekana ni kilaza wa kutupwa that y. Na alifeli masters yake kule UK alikokwenda kusoma hata law schol alifeli ila akapewa tu kwa heshiMA ya baba yake.!
 
Ni mpuuzi mmoja anayekanyaga vidole vya watu wengi, ambaye atakuja kujutia baada ya kipindi cha miaka mitano
 
Hana maana anajifanya ana nafasi flani hapa Tanzania,hajui kwamba tuliisha amka na hata tukilogwa hatuwezi tena kukubali kuongozwa na mtu mpuuzi wa calibre kama ya baba yake.anajidanganya kwamba atakua na nafasi hapa tanzania siku zijazo!
 
Ni mkwere anaependa mipasho kama babake! Hana sifa hata ya kuwa kilanja wa darasa la III-C la wanafunzi wasiojua kusoma na kuandika. Namfananisha na kiji- panya au kigari kidoogo kama Vitz.
 
Back
Top Bottom