KIKWETE anatimiza ahadi yake ya AJIRA?

VUTA-NKUVUTE

JF-Expert Member
Nov 25, 2010
6,135
17,802
Baraza la Mawaziri limeongezeka idadi kutoka 50 hadi 55. Nafasi mpya 5 zimeundwa kwenye Baraza la Mawaziri.Pia,nafasi za George Simbachawene na January Makamba kama Wenyeviti wa Kamati za Kudumu za Bunge nazo zi wazi.Zahitaji kujazwa.Pia,wabunge wa kuteuliwa na Rais wameoongezeka kutoka 3 hadi 7.Je,hizi ni harakati za Rais kutimiza ahadi yake ya kukuza ajira nchini?
 
Ahadi ya ajira ilishatimia zamani sana, bodaboda na vibajaji tu zimekamilisha ahadi million moja na ziada.
 
..bodaboda na bajaj badala ya kuongeza ajira zimepunguza sana hasa kwa vifo vitokanavyo na izo boda boda!
 
Na ongezeko la bar maids na house girls limeongeza sana ajira

Kwani hao si Watanzania? Kama umepata uwezo wa kuajiri house-girl kipindi cha Kikwete na kuna ongezeko la ma-barmaid basi ina maana ahadi ya maisha bora pia imetimia.
 
Kuongeza ukubwa wa baraza la mawaziri siyo kutimiza ahadi za ajira, bali kuwakomoa watanzania
 
Next time atasema hata wale wauza karanga mtaani na maji ni ongezeko la ajira

Kama si ajira ni nini ile? tena hao ni wajasiriamali na kuna taasisi zinazowafundisha njia bora za ujasiriamali.

Nakushangaa sana unapomuona muuza maji na karanga ukawaona kuwa ile sio ajira. Maji na karanga zisingekuwepo wangeuza nini? nanihii labda kama wewe?

Hizo ni ajira pia tena ni nzuri sana na zina faida kuliko unavyofikiria.
 
Kuongozwa na kichwa cha nazi kunahitaji ujasiri wa hali ya juu
 
Kama si ajira ni nini ile? tena hao ni wajasiriamali na kuna taasisi zinazowafundisha njia bora za ujasiriamali.

Nakushangaa sana unapomuona muuza maji na karanga ukawaona kuwa ile sio ajira. Maji na karanga zisingekuwepo wangeuza nini? nanihii labda kama wewe?

Hizo ni ajira pia tena ni nzuri sana na zina faida kuliko unavyofikiria.

Tukushae wewe na ndoo yako ya maji. Tumwombe mungu ukauze maji kweli au uangalie watoto wako wakiuza maji uone raha yake. ndio maana mlimshauri baba yenu Mkapa auze viwanda mkanunue ya mchina kuja kuuza. Nyinyi ndio wachawi wa maendeleo ya watanzania. Mungu atawaumbua tuuuuuuuuuuuuuuuu.

People'sssssssssssssssssss powerrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrr:israel:
 
..bodaboda na bajaj badala ya kuongeza ajira zimepunguza sana hasa kwa vifo vitokanavyo na izo boda boda!

:biggrin1: hasa boda boda... sijawahi panda na sitakaa nipande ni bora nitembee kwa miguu...ukipanda boda boda ni sawa sawa na umekata ticket ya kwenda ICU muhimbili...
 
Back
Top Bottom