KARLO MWILAPWA
JF-Expert Member
- Apr 10, 2019
- 2,590
- 4,603
Hii si ndoto ila ndio uhasia ulivyo na kama mtu ataiona ni ndoto basi aifikirie Ile ndoto tamu sana ya kufurahisha ambayo inaacha kumbukumbu za furaha. Ninaamini baada ya 2030 tutakuja kusema YAMETIMIA, RAIS SAMIA AMEFANIKISHA.
Kufika nchi ya Ahadi sio jambo dogo na ugumu wake tunaona kwenye Biblia wana wa Israel wakipambana Kwa miaka 40 kufika nchi Ile yenye wingi wa maziwa na asali, ni safari ndefu iliyojawa na kukata tamaa lakini iliyoongozwa kwa nia, dhamira na utayari. Haikuwa jambo rahisi Kwa Wana wa Israel hivyo sitegemei litakuwa jambo rahisi kwa watanzania lakini ninaamini Rais Samia ndie Joshua wa Leo wa kutufikisha nchi ya Ahadi.
Kwa nini nimesema 2025-2030 Tanzania itafika nchi ya Ahadi chini ya Rais Samia
Kwanza, kufika nchi ya Ahadi ni mategemeo na matarajio ya watu na Rais Samia yupo Kwa ajili ya kutimiza matarajio yetu. Kutokana na hulka yake ya kupenda kutekeleza Ahadi tutafanikiwa kufika.
Pili, miradi mingi ya kimkakati iliyoanzishwa katika kipindi cha 2025 kuelekea 2030 itakuwa imekamlika. Mradi wa JNHPP na SGR ambayo wachumi wanasema italeta mwanga mpya kwenye maendeleo ya Taifa itakuwa imekamilika.
Tatu, Rais Samia atafanikiwa kutengeneza ajira nyingi sana Kwa vijana kupitia kilimo kama mpango wa Jenga Kesho iliyo bora utafanikiwa (Building Better Tomorrow -BBT). Kulinga na mpango wa BBT kilimo kinatarajiwa kuajiri vijana milioni mbili ifikapo 2030, Kitakuwa ni kiwango kikubwa Cha ajira kuwahi kutolewa.
Nne, Kuna uwezekano Tanzania ikawa ni kitovu kikubwa Cha uwekezaji, biashara na utalii mpaka 2030 Afrrika kulingana na sera za Rais Samia kufungua nchi.
Tano, Tanzania itakuwa imefanikiwa kufanya maboresho makubwa kwenye sheria na sheria kandamizi kurekebishwa. Zaidi ya yote kuelekea 2025-2030 Rais Samia amefanikiwa kutupatia katiba mpya na kufanikisha dhana nzima ya kufika nchi ya Ahadi.
Naomba nisisitize kwenye ili ieleweke vema, Rais Samia ndiye Joshua wa Leo wa Tanzania na ndie anatosha kutufikisha nchi ya Ahadi 2025-2030
Pia, niseme kwamba Uchaguzi mkuu wa 2025 utakuwa ni ama tuchague kupelekwa nchi ya Ahadi na Rais Samia au tupelekwe nchi ya kusadikika na wapinzani.