Kikwete ana kipi special hadi asingiziwe?

Ukileta ubishi wa kipumbafff mbele watu international na walioenda shule kama vile wikileaks na American Embassy unaonekana bonge la b.w.e.g.e!
 
Hilo nakubaliana nawe kabisa.Huyu bwana kila mtu anamjua tabia yake ,hivyo hata Salva alivyokanusha ni kazi bure.Tokea ameingia madarakani wananchi tulio wengi tumeshamsoma.Ni mtu asiye na upeo wala kujua anachofanya na madhara yake baadae
 
jamani hii ni aibu ya karne kwa viongoz wetu yaani hana tofauti na chifu mangungo aliyepewa pipi akagawa rundo la dhahabu na watumwa kama ni kweli ina maana =mangungo
 
Kuna mambo ambayo yako wazi kabisa kuonyesha kuwa Kiwete na serikali yake wameshindwa kutawala na wameonyesha UDHAIFU wa hali ya juu. Hapa ni kwa uchache tu ingawa yako mengi.

1. AMESHINDWA KUMALIZA MFUMUKO (INFLATION) WA BEI.
2. AMESHINDWA KUWAKAMATA WEZI WA FEDHA YA EPA.
3. AMESHINDWA KUWAKAMATA WEZI WA RUSHWA YA RADA.
4. AMESHINDWA KUBATILISHA MIKATABA FEKI YA WAWEKEZAJI KWENYE MADINI.
5. AMESHINDWA KUMALIZA MGOGORO WA MADAKTARI.
6. AMESHINDWA KUBORESHA ELIMU YA MSINGI HADI SEKONDARI.
7. AMESHINDWA KUZUIA WIZI WA MITIHANI KUANZIA MSINGI HADI SEKONDARI.
8. AMESHINDWA KULETA MAISHA BORA KWA KILA MTANZANA
9. AMESHINDWA KUZUIA UNUNUAJI WA MASHINGINGI YA SERIKALI.
10. AMESHINDWA KUMALIZA MGOGORO WA KERO ZA MUUNGANO,
11. AMESHINDWA KUWAPA WAISLAMU MAHAKAMA YA KADHI.
12. AMESHINDWA KUSIMAMIA SERA YAKE MWENYEWE YA KILIMO KWANZA.
13. AMESHINDWA KUMALIZA TATIZO LA BODI YA MIKOPO KWA WANAFUNZI WA VYUO VIKUU,
14. AMESHINDWA KUMALIZA TATIZO LA MAUJI YA MA-ALBINO.
15. AMESHINDWA KUJUA KWANINI TANZANIA NI MASKINI.
16. ALIANZISHA MCHAKATO WA KATIBA MPYA KWA SHINIKIZO LA UPINZANI-CHADEMA.
17. NI RAIS ANAYEKIMBILIA NCHI ZA NJE PINDI ANAPOONA KUNA MIOGORO NCHINI.

THE LIST IS ENDLESS..................................!



 
Hali zenu jamani. Nawatafuta International Correspondence Schools, Dar-es-salaam. Hawapatikani kwenye simu zao za Landline.

Nisaidie kunielekeza walipo.

Asanteni.
 
Ana hiki hapa:

tz.number.of_.schools-2010-09-12-01-36.jpg


Nyerere, Mkapa, Mwinyi a total of 43 years = 745 Secondary schools = 17 per year (Nimetoa 1,000 za mkoloni = 745 / 43 =).
Kikwete, 7 Years = 5,000 Secondary schools = 714 per year.
 
Back
Top Bottom